Wastaafu Zanzibar wapo Kimya, wa Tanganyika mbona hawatulii walisahau nini madarakani?

Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele.

Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
Mstaafu wa Tanganyika ni lifisadi. Linaona halijatosheka, hivyo linataka liendelee kuliendesha Serikali na genge lake (Power Mongers). Limemuweka samia kama Mwanasesere hapa mbele huku lifisadi letu na wahuni wenzake wakiendesha Serikali ili kuhalalisha uporaji wa rasilimali za nchi.
 
Hahahahahaaha wale wa Zanzibar wanacheza chini kwa chini
 
Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele.

Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
.trashed-1756668723-_When Your Pet Has a Bigger Personality Than Most Humans 😂🐶🐱_.jpeg
 
Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele.

Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
Mtamkumbuka JPM alipowaweka pembeni wastaafu na kuwaambia wasiwashwe. Haya ndiyo madhara ya kuwasogeza karibu. Kama ushauri unazingatia maslahi ya wananchi haiwezi kulalamikiwa.
 
Mstaafu wa Tanganyika ni lifisadi. Linaona halijatosheka, hivyo linataka liendelee kuliendesha Serikali na genge lake (Power Mongers). Limemuweka samia kama Mwanasesere hapa mbele huku lifisadi letu na wahuni wenzake wakiendesha Serikali ili kuhalalisha uporaji wa rasilimali za nchi.
Tena na mshipa wa aibu limeutoa kabisa
 
Zanzibar mstaafu anamiliki mahotel kibao, anapiga hela hat kipind alivyokuw madarakan alikuw hapati
 
Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele.

Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
Zanzibar kuna wastaafu watatu.
Nadhani umemsahau KOMANDOO dakta Salimini Amour Jumaa.
 
Wastaafu wa Zanzibar siyo wezi, lkn hawa wa Tanganyika ni wezi na wamejawa na tamaa.
 
Dira mpya ya kisiasa haitopatikana mpaka mauti ya msoga yatimie.

Kifo cha msoga ndio ukombozi halisi wa nchi hii.
 
Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele.

Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
Wengi wao enzi za uongozi wamefanya madudu mengi sasa wana wasi wasi kwaivo wanataka watengeze chain yao ya uongozi ili mengi yasifichuke na waendelee na ulaji kama kawaida.
 
Back
Top Bottom