babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,113
- 16,025
Zishakwisha sikuwepo akilipwa,wala kumpangia pia alikua mkali sana,Daaah!!!
Mzee ulimuacha sanaa!!
Experience inaonesha hakuna mstaafu aliyepewa mafweza akataka kuyamiliki mwenyewe alafu akatoka salama hakuna hata mmoja.
Hao inatakiwa kuwasaidia wasipokubari kwa hiari walazimishwe.
Ungeingilia kati mapema pengine asingepoteza kiasi hicho.
Nategemea Kumpangia mama kila kitu pindi atakapostaafu kwa sababu nikishindwa kufanya hivyo mm mwanae
Wapo mambulula huko nje they will do it instead of me.
Ingilia kati kumsaidia mzazi wako asife mapema.
Atakuchukia mwanzo lkn kadiri akili zinavyorudi ndo atakua anajua umuhimu wako.
Wastaafu
fikiria kahudumu miaka 40,kapata hela watu wanamshauri afungue kanisa.
Nä mimi kabisaa nilikua na mambo yangu so hela yake sina habari nayo.
Alinitibua siku hiyo tu nimpe hela akawape waumini.
Sikumbuki nilitoka na panga au gobore fukuzilia mbali wote na nikaita greda vunja hii kanisa hapa.
Nä Mama nikamwambia kama unampenda mungu sana jihusishe na taasisi za makanisa zilizopo tayari.
Yupo huko sa hii namhudumia kila kitu anyway.