Wastaafu wawe wanaandaliwa kisaikojia kabla ya kukabidhiwa mafao

Few months kabla ya kustaafu kuna semina huwa wanapewa... for a week or two weeks. Mara nyingi huwa inafanyika Mwalimu nyerere memorial or vyuo vya utumishi wa umma. My dad attended the semina but ni kama haikumsaidia hela zinavuruga, xinahitaji utulivu mkubwa sana wa akili
 
Mkuu yaani wazazi wawili wanaweza kulea vizuri kabisa watoto kumi lakin uzeeni kwao watoto wao hao kumi wanaweza kushindwa kuwalea wazazi wao hao wawili.

Watoto wa siku hizi sio kama wa zamani, wengi wao hawana mapenzi na wazazi wao sielewi kwanini! Je inaweza kuwa kwasababu ya kukosekana mafunzo ya dini yanayosisitiza kuwaheshimu wazazi?
 
Back
Top Bottom