OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 228
Mkuu huyu jamaa tabia za kuhonga na kutoa rushwa alianza zamani mpaka amewahi kutiwa hatiani na mahakama kuu kwa kosa la kutoa rushwa wakati wa uchaguzi,akafungiwa asigombee nafasi yoyote ya uongozi wa kisiasa kwa miaka 5! Ni aibu kwa mtu ambaye anasimamia wizara inayohusika na mahusiano ktk jamii kuwa mvurugaji,mzushi na msema ovyo! Huyu mtu pori kama amechoka kuishi mjini arudi kwao akapumzike najua wenzake wamemmiss kwa muda mrefu sasa!It too much illogical and un reasonable thought. Haya ni mawazo mgando kwani Wasira mwenye sura kama Sokwe ni auditor wa RC, Kanisa katolika limempa uafisa habari? Tunajua fika kuwa Wasira pale ikulu hana lolote kama si kijiwe cha kuganga njaa kama mpiga debe. Amesha filisika kisiasa ndo maana anazomewa jimbon kwake coz alimnunua mgombea cdm. Wasira na kundi lake wanajua fika kuwa mambo ni magumu, it is a matter of time.
ana watoto rundo,wanawake mbalimbali,idadi anajua yeye mwenyewekwani wassira amezaa na wanawake wangapi so far?
wote wezi wa wake za watu hakuna msafi hapo si wasira wala dk slaa
dr slaa ni nyani tena asiye na mkia!!!!! alisikika mfu mmoja huku akimfananisja na kiongozi mmoja afananaye na mnyama huyo kutokana na wote kuchukua wake za watu!!!!
umeniwahi mkuu hata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo!!mleta hoja tunaomba majibu tafadhari!
ff upo ata wewe ni mpuuzi kwa kusoma kila thread
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
Mwana FA aliimba, " ..ukimegewa nawewe Tafuta wako ummegeee"....,,
CCM watakuwa waneelemewa kujiingiza kwenye siasa chafu,kwani hawatabaki salama....na Huyo Lowassa wanayempeleka akitoka Arumeru halitafaa dodoki.....kashfa zake za uhujumu uchumi zitakuwa wazi sasa ....Nashauri Chadema wasimame kwenye sera kwani juhudi za Kuwaondoa kuongelea mambo ya msingi ya nchi.....wajikite asilimia 80 kwenye sera na makampeni meneja...wabaki na asilimia 20 za kusawazisha matusi yanayotolewa na ccm...
Tukirudi kwenye suala la Wassira...Huyu bwana alienda marekani na mama watoto wake..(anayefanya kazi wizara ya afya)...akiwa kule WaJanja wakamkazia mkewe.....akajirudia bongo!...kufika bongo hasira za kuporwa mke akazihamishia kwa mzee casmir ndege....akawa Anatembea nae kwa Siri ...,hii ikiendelea Hadi Yule mzee wa watu ajkajifia ....wakati huo mzee wassira hakuwa na pesa kwani tayari alikuwa amehamia NCCR mageuzi ambako njaa ili kamata kweli....akawa Ameajiriwa Kama marketing manager kuuza pale Samaki-namanga,Alipauka kweli, aliekuwa Anamsaidia ni Huyu hawara Yake mke wa mzee ndege.....,kwa kutumia pesa ya marehemu mumewe...na waliikamua kampuni Yake Hadi ikakaribia kufa...,,baada ya Hali kuwa mbaya sana watoto wa marehemu mzee ndege ..wakaamua kufanya board resolution ya kumuondoa mama Yao wa Kambo kwenye kampuni.....,...wakati haya yakitokea mzee wassira naye tayari mambo yalishamnyookea..akawa amekuwa waziri..,safari hii yeye ndie akawa Anamsaidia hawara Yake ...Akamfungulia kampuni mpya inaitwa Gati insurance company..na mtaji juu...na wakati haya yanafanyika ndio wassira Alianza juhudi za kuhalalisha ndoa Yake ...Pia uhasama wake na ndugu za mzee ndege tarime na dar ukawa mmbaya...na Huyu mama akishirikiana na "mumewe"..waliendelea na juhudi kubwa za kuhujumu kampuni ya famiilia ya mzee ndege ianguke....hata kuwashirikisha watu wengine akimhisisha mtoto wa kiogo mkubwa kabisa.........
Hivi karibuni kampuni hiyo imefurushwa kwenye jengo lake la ofisi...pale mtaa wa Ghana na Mirambo...
dr slaa ni nyani tena asiye na mkia!!!!! alisikika mtu mmoja huku akimfananisha na kiongozi mmoja afananaye na mnyama huyo kutokana na wote kuchukua wake za watu!!!!
huyu mkewe alienda nae Marekani ndo yule aliekuwa anaishi Ubalozi wa marekani zamani?
ni wajanja gani hao waliomfanyia hivi?walimpora kabisa au hit n run?
huyo mama yuko wapi now?
Akiwa waziri wa kilimo wassira alimpatia mwanaye Kambarage tenda ya kupeleka mbolea na dawa za Pamba kanda ya ziwa....,alipeleka feki na kupelekea wakulima wa Pamba kupata hasara kubwa sana kwenye mavuno!,..pia alimpatia tenda ya kuchimba malambo ...
Tenda za madawa ya Pamba na mbolea zilikuwa za mabilioni.