Mwanaitelejensi
Senior Member
- Jan 30, 2011
- 104
- 2
Wassira yupo kwenye ITV live sasa hivi.
Nimecheka mpaka maisha yangu yakaongezeka. Umeweka emotions zote kwenye reply hii.Wassira amekuwa mpumba mkuu siku hizi; akishika maiki tu basi ni pumba tupu zinazotoka hapo.
naona ameamua kujichafua kwa kasi ya ajabuWassira amekuwa mpumba mkuu siku hizi; akishika maiki tu basi ni pumba tupu zinazotoka hapo.
Biggie... unadhani anapenda hata kumhoji? siku hizi wanapewa memo tu kwamba mkubwa anakuja msimsumbue hali nimbayaHuyu jamaa anayehoji ni mnyonge sana.
Hafai. Anasikiliza tu!
Ok. Mtangazaji anambana sana. Wassira anaogopa nguvu ya umma kama ya Misri na Libya.mtujuze wadau, huku dowans washafanya mambo yao!
Huyu jamaa anayehoji ni mnyonge sana.
Hafai. Anasikiliza tu!
Sidhani ni hivyo. Anamsikiliza lakini pia anamhoji kwa maswali ya kimsingi.badala ya kumhoji maswali wasira,ameka kama anapga stori na mh.
Sidhani ni hivyo. Anamsikiliza lakini pia anamhoji kwa maswali ya kimsingi.