be serious he is talking the truth.Source live on TBC1, Waziri Wasira nasema kuwa maandamano yanayofanywa na CHADEMA yanahamasisha vurugu kwa kauli zao, huku akisema kuwa Nguvu ya umma anayoijua yeye ni ya kwenye sanduku la kura.
Kwa hiyo ukimwita mtu anayefanana na sokwe SOKWE, na wewe unaweza kuja kufanana kama yeye?ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja juwa vinne vinakutazama,hujafa hujaumbika:spider:
ACHA UPUUZI!kichwani kajaa upupu tupu
Maskini! Kweli serikali ya mkapa ni tofauti na ya jk,
Blaa blaaa wakati watu wanataka umeme!
be serious he is talking the truth.
hao ndio mawaziri tunaowahitaji.hao ndo akina Nyerere waliobaki.BIG UP WASIRA WAPASHE.
Kwani Wasira ni kiongozi au mwendawazimu?? Hao ndo kundi la viongozi wanaotumia udhaifu wa Mkwere na kumdanganya kuwa kila kitu kiko sawa wakati mambo ynaharibika. Sasa hapo analeta uhusiano gani wa jamii wakati inaonyesha dhaili kuwa ana chuki na chama fulani. Kwanza ana hasira Dr Slaa alimchambua sana kwa wapiga kura wake Bunda kuwa waziri wa kilimo miaka kibao lakini wananchi wake wanategemea chakula cha msaada kila mwaka na ni wilaya ya mwisho kwa umaskiniKuna many valid points anaongea wasira na ni muhimu chadema kuzizingatia... tusikurupuke kuchukia kila kiongozi wa serikali anapoongea
CDM can win people's heart bila mihadhara yenye language zinaziashiria uchochezi
Lini uliwaona TBC1 wakizungumzia hotuba ya JK? Utanisaidia sana ukinikumbusha hiliAcha kuwa biased, tulianza kuwasikiliza CDM, CCM na serikali walikuwa wanatoa reaction yao, mbona tumbo joto, wapi nguvu ya kijiko?
Lini uliwaona TBC1 wakizungumzia hotuba ya JK? Utanisaidia sana ukinikumbusha hili
are sure? unaijua BUNDA?.nenda kajionee.Kwani Wasira ni kiongozi au mwendawazimu?? Hao ndo kundi la viongozi wanaotumia udhaifu wa Mkwere na kumdanganya kuwa kila kitu kiko sawa wakati mambo ynaharibika. Sasa hapo analeta uhusiano gani wa jamii wakati inaonyesha dhaili kuwa ana chuki na chama fulani. Kwanza ana hasira Dr Slaa alimchambua sana kwa wapiga kura wake Bunda kuwa waziri wa kilimo miaka kibao lakini wananchi wake wanategemea chakula cha msaada kila mwaka na ni wilaya ya mwisho kwa umaskini
Du hotuba ya JK ilikuwa ni reaction ya mwenendo na kauli za CDM, na vilipewa nafasi kwenye vyombo vyote vya habari kuanzia magazeti, redio,tv na mitandao yao, sasa ulitaka wapewe nafasi gani tena wakati wao ndio walikuwa wa kwanza kutoa case zao.
WEWE ndo huelewi kwakuwa uko biased.Of course kwa level ya uelewa wako unaona anaongea point lakini kwa muelewa jamaa anajichanganya. Anasema kwamba CDM wanavunja katiba ya nchi, na bado wapo hawakamatwi.
Anadai CDM wanatishia kuing'oa serikali kwa nguvu, anaambiwa CDM hawana uwezo huo, then anakubali kuwa kweli hawawezi. Naona hata anayemuuliza anabaki kutomwelewa.
WASIRA yuko sawa ameonyesha jinsi gani SERIKALI ilivyo makini sana kulinda nchi na wananchi wake.AMANI ya watanzania haiwezi kubinafsishwa mikononi mwa wasioitakia mema nchi yetu. kuwapa NCHI wapenda fujo ni KUMSALITI Nyerere.
Source live on TBC1, Waziri Wasira nasema kuwa maandamano yanayofanywa na CHADEMA yanahamasisha vurugu kwa kauli zao, huku akisema kuwa Nguvu ya umma anayoijua yeye ni ya kwenye sanduku la kura.
Unajua mvua wewe malaya!uuuwiiiii haki ya Mungu 2tajitoa muhanga mmetuchosha sana jamani nyie mbwa wewe Wasira umekuwa kiongozi tokea lini?