Wassira on ITV (kipindi maalum)

Source live on TBC1, Waziri Wasira nasema kuwa maandamano yanayofanywa na CHADEMA yanahamasisha vurugu kwa kauli zao, huku akisema kuwa Nguvu ya umma anayoijua yeye ni ya kwenye sanduku la kura.
be serious he is talking the truth.
hao ndio mawaziri tunaowahitaji.hao ndo akina Nyerere waliobaki.BIG UP WASIRA WAPASHE.
 
kwa ushabiki ninaouona hapa JF aliyosema Mhe Wasirayataonekana utumbo.
Lakini angepita slaa hata kama yuko UCHI ungeona ushabiki ulivyo.
 
Heheeeeeeeeeeeeee! Si..se.mi kweli wapumbavu na matah*ra ina mana rais KIWETE kamtuma huyu mzee HASIRA kuwatsha watz na hilo lisura mbaya kama kandambili za gest za Tandale. K*** la *am* yako we Hasira kwa maneno yako ulyoyasema kama huna kaz nenda china ukatengeneze hilo li sur* lako kanyagio ka kopo la chooni, umenichefua sana nashindwa hata kuchek mechi ya arsenal. Ole wenu CDM tuingie madarakan hasira utachomwa moto hadharani na jvu lako tutavutia ndumu. Hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Ng'ooooooooooooooooooooooooo!!
 
be serious he is talking the truth.
hao ndio mawaziri tunaowahitaji.hao ndo akina Nyerere waliobaki.BIG UP WASIRA WAPASHE.

Of course kwa level ya uelewa wako unaona anaongea point lakini kwa muelewa jamaa anajichanganya. Anasema kwamba CDM wanavunja katiba ya nchi, na bado wapo hawakamatwi.

Anadai CDM wanatishia kuing'oa serikali kwa nguvu, anaambiwa CDM hawana uwezo huo, then anakubali kuwa kweli hawawezi. Naona hata anayemuuliza anabaki kutomwelewa.
 
Kuna many valid points anaongea wasira na ni muhimu chadema kuzizingatia... tusikurupuke kuchukia kila kiongozi wa serikali anapoongea

CDM can win people's heart bila mihadhara yenye language zinaziashiria uchochezi
Kwani Wasira ni kiongozi au mwendawazimu?? Hao ndo kundi la viongozi wanaotumia udhaifu wa Mkwere na kumdanganya kuwa kila kitu kiko sawa wakati mambo ynaharibika. Sasa hapo analeta uhusiano gani wa jamii wakati inaonyesha dhaili kuwa ana chuki na chama fulani. Kwanza ana hasira Dr Slaa alimchambua sana kwa wapiga kura wake Bunda kuwa waziri wa kilimo miaka kibao lakini wananchi wake wanategemea chakula cha msaada kila mwaka na ni wilaya ya mwisho kwa umaskini
 
Acha kuwa biased, tulianza kuwasikiliza CDM, CCM na serikali walikuwa wanatoa reaction yao, mbona tumbo joto, wapi nguvu ya kijiko?
Lini uliwaona TBC1 wakizungumzia hotuba ya JK? Utanisaidia sana ukinikumbusha hili
 
WASIRA yuko sawa ameonyesha jinsi gani SERIKALI ilivyo makini sana kulinda nchi na wananchi wake.AMANI ya watanzania haiwezi kubinafsishwa mikononi mwa wasioitakia mema nchi yetu. kuwapa NCHI wapenda fujo ni KUMSALITI Nyerere.
 
Lini uliwaona TBC1 wakizungumzia hotuba ya JK? Utanisaidia sana ukinikumbusha hili

Du hotuba ya JK ilikuwa ni reaction ya mwenendo na kauli za CDM, na vilipewa nafasi kwenye vyombo vyote vya habari kuanzia magazeti, redio,tv na mitandao yao, sasa ulitaka wapewe nafasi gani tena wakati wao ndio walikuwa wa kwanza kutoa case zao.
 
Kwani Wasira ni kiongozi au mwendawazimu?? Hao ndo kundi la viongozi wanaotumia udhaifu wa Mkwere na kumdanganya kuwa kila kitu kiko sawa wakati mambo ynaharibika. Sasa hapo analeta uhusiano gani wa jamii wakati inaonyesha dhaili kuwa ana chuki na chama fulani. Kwanza ana hasira Dr Slaa alimchambua sana kwa wapiga kura wake Bunda kuwa waziri wa kilimo miaka kibao lakini wananchi wake wanategemea chakula cha msaada kila mwaka na ni wilaya ya mwisho kwa umaskini
are sure? unaijua BUNDA?.nenda kajionee.
usilopoke watakucheka watu.
BIG UP TYSON. wabikiri hao.
 
"The time comes in the life of any nation when there remains only two choices - submit or fight. That time has now come to South Africa.(Tanzania) We shall not submit and we have no choice but to hit back by all means in our power in defense of our people, our future, and our freedom." Nelson Mandela

The addition in Bold is mine
 
Du hotuba ya JK ilikuwa ni reaction ya mwenendo na kauli za CDM, na vilipewa nafasi kwenye vyombo vyote vya habari kuanzia magazeti, redio,tv na mitandao yao, sasa ulitaka wapewe nafasi gani tena wakati wao ndio walikuwa wa kwanza kutoa case zao.

Uliwaona TBC1 wakijieleza kama Chiligati au katika kipindi maalum kama Wassira?
 
Of course kwa level ya uelewa wako unaona anaongea point lakini kwa muelewa jamaa anajichanganya. Anasema kwamba CDM wanavunja katiba ya nchi, na bado wapo hawakamatwi.

Anadai CDM wanatishia kuing'oa serikali kwa nguvu, anaambiwa CDM hawana uwezo huo, then anakubali kuwa kweli hawawezi. Naona hata anayemuuliza anabaki kutomwelewa.
WEWE ndo huelewi kwakuwa uko biased.
ongea hoja na sio kujifanya huelewi usimsingizie mtangazaji yeye amemuelewa ndo ,maana anatikisa kichwa. we usitumike,si kila kiongozi mbaya. ninahofu na level yako ya uelewa.kama ni kubwa basi UMEIBIA SANA.
 
WASIRA yuko sawa ameonyesha jinsi gani SERIKALI ilivyo makini sana kulinda nchi na wananchi wake.AMANI ya watanzania haiwezi kubinafsishwa mikononi mwa wasioitakia mema nchi yetu. kuwapa NCHI wapenda fujo ni KUMSALITI Nyerere.

hivi kwa akili yako unafikiri jk na vibaraka wake (akina Wasira, RA, EL, etc) wanaitakia mema Tz? Wanaohatarisha amani ni viongozi wa ccm ambao wameweka rasiliali zetu kwa mafisadi wachache huku walio wengi wanateseka!
 
Source live on TBC1, Waziri Wasira nasema kuwa maandamano yanayofanywa na CHADEMA yanahamasisha vurugu kwa kauli zao, huku akisema kuwa Nguvu ya umma anayoijua yeye ni ya kwenye sanduku la kura.

Je, anajua kuwa kuna nguvu nyingine ya umma isiyotokana na sanduku la kura? Aulize kilichotokea Tunisia na Misri. He seems not well updated upstairs.
 
ssa hili limekaa kama liuza gongo la nini kulitazama....yaani mawazo yake na sura yake vinaendana 100%
 
Unajua mvua wewe malaya!uuuwiiiii haki ya Mungu 2tajitoa muhanga mmetuchosha sana jamani nyie mbwa wewe Wasira umekuwa kiongozi tokea lini?

we kijana umejuaje Wasira ni Malaya:
uliwahi kumuuzia mku** wako?
kwanza unafanana nae hapo bila shaka Mama yako alifil*** ukazaliwa.
punguza kuuza hatukuhitaji hata huku kwetu wapo.
kum**6 we!.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom