we don't care, ni uchapakazi wake na uadilifu wake.
Huyu mzee laghai ndiye unataka awe raisi? Mbona hata kwao hakubaliki na yeye mwenyewe anawaambia wananchi wake kwamba wasimwulize maendeleo kwa kuwa alipata ubunge kwa fedha zake?
Unashangaza. Ni kwa namna gani ameonyesha uchungu wa maisha ya watanzania zaidi ya ubabe na kulinda unyang'au wa ccm?
Haya tumekusia, kaa chini.
Mwenye hoja mwingine!!!!!!!!!