mzee yuko smart sana binafsi namkubali----, hana kipya chakufanya
mzee yuko smart sana binafsi namkubali----, hana kipya chakufanya
we don't care, ni uchapakazi wake na uadilifu wake.Yaani hapo ndo katabasamu! Ilikuwa kazi siku hiyo anapigwa picha maana naona kama ni zile za film basi labda 3 au 4 ziliisha!
we don't care, ni uchapakazi wake na uadilifu wake.
Its true ni uchapa kazi lakini anaweza kufyeka msitu huo? Jamaa ana hasira huyo mkimkrofisha anajinyonga sa hiyo hiyo! Walimnyima kugombea wakampa Warioba nafasi akakihama chama! Nako upinzania walipomnyima kugombea uraisi nakao akahama akarudi CCM! Hana msimamo ndo bahati mbaya aliyokuwa nayo!
mzee yuko smart sana binafsi namkubali