TEGETA KIBAONI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 651
- 142
nasikitika kumpamba mtu wako kwa kundi moja la wanyonge,mtu wa hvyo hatufai kwani twamtaka ambae atakuwa na maslahi kwa watanzania wote kwakuwa hili si taifa la wanyonge kama unavyohisi,huo unyonge ni mwamvuli wa kukatisha tamaa vjana wasichakarike kutafuta maisha badala yake wajione wanyonge,smkatai/smkubali bali naonesha kuwa twataka hoja na si kumvika mtu mazingira aonewe huruma na kundi fulani la watu,nashauri umpambe mtu wako kwa hoja zenye mashiko ili watz waamue wenyewe,pia epuka kauli jumuishi ili watu watumie akili zao vema kwenye kutafakali hoja zako.nakutakia kazi njema!