Wassira: Nitagombea urais 2015

Wassira: Nitagombea urais 2015

hata laptop hajui kutumia ukifika ofisini kwake utamkuta anakukuruka mkono wake na kalamu wkati wote hahaaaaa
 
Aisee kwani ccm imekosa kabisa hata wa kugelesha wanataka wampe huyu uenyekiti wa chama cha maj.....z😭😱😱😱
 
Kinachonihuzunisha zaidi ni kwamba kuna wajinga wengi watakaokuwa tayari kumpigia kura.
 
Hakuna mwadilifu ndani ya chama cha ccm kwani mafisani wanamkono mrefu ndani ya chama,, huyu hatokuwa na jipya zaidi ya kuendelea kulitafuna taifa na kulinda wezi... Wtz tunahitaji mabadiliko ya kuanzia chama mpaka viongozi wa juu
 
Sasa Siku hizi na Mpunu wanakuwa marais. Kweli mmetuchoka.
Wanawake wengi walimpigia JK kwa kuwa ni handsome, sasa mkiweka hiyo nyama haram, nani ataipigia kura.
 
Hebu toa uharo wako hapa JF! Mzee huyu kapitwa na wakati! unataka aje atufie ikulu? Ni muda wake wa kwenda kucheza na wajukuu jamani! Tuachane na hizi zilipendwa! mtu mwenyewe kila saa anasinzia!
 
Humjui bw Stephen Masatu vizuri! Hana hata sifa kiduchu kwa nafasi hiyo. Sifa zake za ziada ni mnafiki/mbinafsi/mtu wa visasi/ roho mbaya/ mpenda madaraka/ mtu wa fitina! Anajaribu kufikia mafanikip ya Mh Jaji Sinde warioba au kumpita. Ndiyo maana aliongoza kampeni kwenye bunge maalum la katiba kuchakachua rasimu ya Pili ya tume ya mabadiliko ya katiba. Hafai kwa kushiriki kupinga mawazo ya watanzania"! Hafai katu..... sifa zake za ziada no uchu Wa madaraka name ukigeugeu wake. Mmkumbuke alikimbilia nccr mageuzi kwa kukosa nafasi Ccm wakati akipambana na Mh Jaji Warioba Bunda... hafai
 
Kwa sasa huyu hatufai watanzania!!! Hajawai kuwa makini hata siku moja!!

Tanzania hatutaki mtu wa kubebwa bebwa au anayependa kutukuzwa.....
Tunataka mchapakazi, mwenye uwezo wa kufanya maamuzi kwa maslahi mapana ya taifa!
Hatutaki muongo na mnafiki!
Tunataka mwenye uwezo wa kujitokeza na kusimamia maamuzi yake!
Hatutaki anayeahidi mbingu!
Hatutaki omba omba!
Hatutaki mropokaji au mchekeshaji... tunataka mchapakazi atakayerudisha thamani ya watanzania ndani na nje ya nchi!!
Tunataka mtu mwenye maono na fikra pevu!! Tunataka mtu anayefikia ustawi wa nchi yetu na vizazi vijavyo!

Zaidi ya yote tunataka mtu anayejua kuwa ili nchi iendelee TANGANYIKA ni lazima irudi rasmi.... vinginevyo tutaendelea kuishi unafiki na uonevu!
 
kwa mtu mwenye akili timamu lazima atakubali kuwa huyu anafaa kuwa rais wa nchi hevdeserve na sifa zote anazo
 
Kinachonihuzunisha zaidi ni kwamba kuna wajinga wengi watakaokuwa tayari kumpigia kura.

mkuu usihuzinike maana hata ukitunga mtihani mzima maswali moja jumlisha moja hapo watakoka wakwanza na wamwisho iyo kawaida
 
huyu jamaa sijawai kusikia akitajwa kwenye kashfa yoyote. Ila kutuongoza kama rais hapana huyu afai. Kwanini anaitwa tyson. Huyu si atatufumua mangumi. Arafu sura yake sasa ni baraa. hapana huyu atufai

Wewe mvivu ndio maana hujawahi kusikia kashfa Zake! unajua mke wake kampataje? unajua mume wa mke wake wa sasa yuko wapi? kwa taarifa yako amerestishwa in peace!! Usifikiri ana hurumaa huyo ndugu yangu usiwe kiziwi na kipofu wengine mabomu yaliyouwa Arusha ilikuwa cha mtoto if a wife you have ni tunda la mauaji!!
 
mhhhh!!!!URAIS UMEKOSAWENYEWE AISEH...... Yaaani negye enkolya
 
Hahahaha..... CCM bhana.... hahahah
Wasira naye anautaka urais, ametangaza nia...
Ameombwa na wananchi wengi sana hahahaha, mke wake, watoto wake na ndugu zake nao ni wananchi pia na ni wengi sana... hahahah
Kwa namna hii CCM kweli ni chama kisicho na kiongozi, haiwezekani kila mtu akawa na uhuru wa kuwa juu ya Chama. Kukosekana kwa utaratibu, nidhamu na heshima ndani ya CCM ndio matunda ya Ufisadi na kukosekana kwa viongozi wenye uwezo wa kuwawajibisha wengine.
Hahahaha.....CCM bhana.... hahaha
 
Back
Top Bottom