Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
2,412
Reaction score
1,928
Ndugu wana jf, Sio mara moja au mbili watanzania wakilalamika na kutoa masikitiko yao juu ya kipindi cha "Dakika 45"

kinachorushwa na kituo cha ITV kila siku za jumatatua. Tunavyoelewa ITV ni kituo bora cha utangazaji na vipimdi vyake vingi ni vyakizalendo.

Ila kinacho shangaza ni hiki kipindi cha dakika 45 kinachoongozwa na PHIP MULONGO kinawatatiza watanzania wengi na tunashindwa kuelewa kuwa hii ni program ya ITV au ya watu wasioitakia mema Tanzania?

Wiki mbili zilizopita tulimshuudia Naibu spika Mh. Job Ndugai akijisafisha juu ya swala la uongozaji Bunge. Wiki iliyofuata tukamshuudia Waziri Mh. Lukuvi nae akimshambulia kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh. Mbowe.

Wiki hii yani jana tumemshuudia Waziri Mh. Wasira akimshambulia Mh. Mbowe na vyama vya Upinzani.

Haya ni baadhi tu ya mambo yaliojitokeza katika vipindi vya Dakika 45 ila ndani ya miaka miwili sijawai kuona kipindi hiki kikiwaalika upande wa pili ambao sio Serekalia ili kujibu na kutoa ufafanuzi juu ya mambo wanayotuumiwa.

Wana Jf kama tunavyoelewa Jaji hawezi kutoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu, kwa kawaida mtu anaesikiliza upande mmoja basi huyo moja kwa moja hufanya kazi ya uwakili.

Je ITV kupitia kipindi cha dakika 45 kimeamua kufanya kazi ya uwakili kuitetea CCM na kuwakandamiza Watanzania wengi?

Pole sana ndugu yangu.
Naona hawa watendaji wa Serikali wameshindwa kutatua tatizo lililotokea Bungeni, walishindwa wao kuzungumzia mswada uliokuwa mbele yao wakaanza kutukana wenzao.
Mswada ukapitishwa kwa idadi inayokiuka kanuni za Bunge yaani theruthi mbili, baada ya kusutwa na wananchi wanatumia kipindi kujisafisha.
Pia na Mtangazaji / Watangazaji wanashindwa kuwa na maswali yahusuyo changamoto za nchi wanajikuta wakiruhusu mambo yasiyo na mashiko.
Wassira alikuwa TBC Jumamosi Live, Jumatatu ITV Live suala hilohilo.
Tunataka maisha bora kwa kila Mtanzania siyo kutuletea longolongo kwenye vipindi vya LUNINGA/
 
Ni kweli mkuu.
Ila kinachonitatiza ni kwanini ITV ikubali kutumiwa na hawa watu hatari kwa afya ya Taifa letu?
 
Lukuvi+ Ndugai+Wassira = :A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Ni kweli mkuu.
Ila kinachonitatiza ni kwanini ITV ikubali kutumiwa na hawa watu hatari kwa afya ya Taifa letu?

najua kinachowasumbua ni kuona ITV ambayo inamilikiwa na mchaga mwenzenu ikitumiwa na CCM kueneza sera zake. Kama vipi anzisheni CHADEMA TV na si kuishia kwenye youtube tu
 
mimi huwa nashikwa na hasira sana kila ninapo mwona wasira akiwa anaongea sababu ni kupotosha watanzania kwa makusudi kabisa!

WASIRA ni mtu makini na mahiri na hakuna kifani chake ndani ya CHADEMA.
 
mimi huwa hata siangalii hilo likipindi linachefua
 
wanatulazimisha tutumie macho yao kuona njia yetu.
tutatumbukiaje kwenye shimo!

. . . . . . . . . . chajiuza, kibaya chajitembeza!!!!
 
Ndugu wana jf, Sio mara moja au mbili watanzania wakilalamika na kutoa masikitiko yao juu ya kipindi cha "Dakika 45"

kinachorushwa na kituo cha ITV kila siku za jumatatua. Tunavyoelewa ITV ni kituo bora cha utangazaji na vipimdi vyake vingi ni vyakizalendo.

Ila kinacho shangaza ni hiki kipindi cha dakika 45 kinachoongozwa na PHIP MULONGO kinawatatiza watanzania wengi na tunashindwa kuelewa kuwa hii ni program ya ITV au ya watu wasioitakia mema Tanzania?

Wiki mbili zilizopita tulimshuudia Naibu spika Mh. Job Ndugai akijisafisha juu ya swala la uongozaji Bunge. Wiki iliyofuata tukamshuudia Waziri Mh. Lukuvi nae akimshambulia kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh. Mbowe.

Wiki hii yani jana tumemshuudia Waziri Mh. Wasira akimshambulia Mh. Mbowe na vyama vya Upinzani.

Haya ni baadhi tu ya mambo yaliojitokeza katika vipindi vya Dakika 45 ila ndani ya miaka miwili sijawai kuona kipindi hiki kikiwaalika upande wa pili ambao sio Serekalia ili kujibu na kutoa ufafanuzi juu ya mambo wanayotuumiwa.

Wana Jf kama tunavyoelewa Jaji hawezi kutoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu, kwa kawaida mtu anaesikiliza upande mmoja basi huyo moja kwa moja hufanya kazi ya uwakili.

Je ITV kupitia kipindi cha dakika 45 kimeamua kufanya kazi ya uwakili kuitetea CCM na kuwakandamiza Watanzania wengi?

Hiki kipindi ni magumashi au kinalipiwa ama na ccm au serikali ,mara ngapi tunamuona Wassira anakuja na vikaratasi vyenye majibu ya maswali atakayoulizwa,nahisi wanapanga maswali ya kuulizwa. Mtangazaji mwenyewe bomu huwa hana uhakika na anachouliza na huwa anaonyesha kuwaogopa mawaziri :hatari:
 
WASIRA ni mtu makini na mahiri na hakuna kifani chake ndani ya CHADEMA.

Nakuunga mkono ni mtu makini sana kupotosha kila lenye manufaa kwa watanzania. Tena ni mahiri kwa kuropoka. waropokaji wamekumbatiwa sana ni wapendwa kwa maccm e.g. Tambwe Hiza, Lusinde, Mwigulu nchemba, Nape Nnauye. . . . . . . orodha ni ndefu.

Mnunulieni karolaiti basi, mbona nape mmemuwezesha!
 
najua kinachowasumbua ni kuona ITV ambayo inamilikiwa na mchaga mwenzenu ikitumiwa na CCM kueneza sera zake. Kama vipi anzisheni CHADEMA TV na si kuishia kwenye youtube tu

Nashukuru sana mkuu kwa kulikiri hilo. "hapo kwenye red"
 
WASIRA ni mtu makini na mahiri na hakuna kifani chake ndani ya CHADEMA.

Sikupingi mkuu ila sijajua unamaanisha nini unaposema "hana kifani ndani ya chadema" pengine you talk about physical appearance
 
Wasira ni kiboko yenu ukiona chadema wanalia ujue amewaumiza
 
Wasira ni mtu makini sana, ametoa ufafanuzi mzuri sana jana kwenye kipindi cha dakika 45, imeonekana sasa Serikali kupitia Mhe. Wassira imetoa hoja mbadala dhidi ya Muungano wa Vyama vya Siasa vinavyopinga muswada huu kusainiwa na Rais, nilidhani kama vijana makini na tunaojiita Wazalendo kumuunga mkono Wassira kwa hoja hii ili tudumishe umoja na mshikamano tuliozoea hapa Tanznia.
Kama hata ushauri mzuri, na Ufafanuzi wa Kiungwana ni Makosa kwenu nyie Vijana, sasa lengo ni kutafuta Maridhiano au lengo ni kuigeuza Tanznia kuwa Kisiwa cha kumwaga damu kama yanayoendelea Kenya?

Upinzani sio fujo na vita, Wassira kaonyesha njia fuateni na muache matusi na kebehi.
 
Back
Top Bottom