Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

Mengi kwa hulka yake ni ndumila kuwili, kwenye masuala ya uchumi anajifanya ni mzalendo sana kwani kwakufanya hivyo anajua atanufaika kupitia biasahara zake; pia kwenye mambo ya sasa uzalendo unamshinda kwani kwavile ni mbinafsi anaweka maslahi yake mbele badala ya maslahi ya nchi na ndio maana anaruhusu kituo chake kitumiwe na magamba kuwapotosha wananchi, asipofanya hivyo anajua kesho TRA watakuwa mlangoni kwake! Si mnakumbuka jinsi alivyowatisha wananchi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2005 kwa kuonesha vipindi vya vita!!!!!!!!

Mkuu Bulesi sasa naanza kuelewa kidogo hoja zako. Na hii ndio maana tuna Jf inayowaitaji Magreat thinker kama wewe.Safi sana kamanda, hoja kwa hoja ndio mpango wa magreat Thinker
 
haya matangazaji mengine yanamualibia mzee mengi kipenzi cha wengi,tutaamasisha jamii kuchukia litv lenu maana bugohela kawa mwenyekiti wa ccm tawi la ITV,
 
haya matangazaji mengine yanamualibia mzee mengi kipenzi cha wengi,tutaamasisha jamii kuchukia litv lenu maana bugohela kawa mwenyekiti wa ccm tawi la ITV,

Umeona eeh!!!
 
siku zote matatizo ndani serikali na chama yananzia kwa hawa watu!
 
attachment.php
Hivi kweli viongozi wanaolala bungeni na kujifanya wanakodoa mimacho kwenye vipindi vya ajabuajabu nani atawaogopa kwenye midahalo.
Kwanini usiweke hii....

720.jpg



Au hii........
attachment.php



Au hiii....

attachment.php
 
720.jpg

Ila hapa ipo kama Elephant Dentist analichunguza hili lizee la Gombe kama anapembe ili apige dili fasta. Au nimeielewa hii picha vibaya? Maana picha huzungumza.
 
ila kila mipango haramu itashindwa na nguvu ya Alhah,walisema chadema wakristo,cuf waislamu,nccr sijui ndio wapagani sasa ni
CDM(wakristo)+CUF(waislamu)+NCCR(wapagani)JIBU LAKE NI KATIBA ILIYO BORA HAKUNA MAUCCM MAITV WALA MATBC
 
muandaaji wa kipindi inabidi awe muungwana na atumie busara kwa kualika pande zote mbili kwa wakati mmoja au kila mtu kwa mda wake ili wajibu hoja#ila kumbuken ITV ni wafanya biashara so kama watu wanalipia kipindi hawawez kataa fedha ktk capitalist world
 
Kweli ukistaajabu ya Mussa, utaona ya firauni! Kila siku wao tu!
 
Ni kweli mkuu.
Ila kinachonitatiza ni kwanini ITV ikubali kutumiwa na hawa watu hatari kwa afya ya Taifa letu?

Inashangaza hivi ni kwanini viongozi wa upinzani hawaalikwi hapo 45minutes??????, nakuuliza Regnald Mengi na Joyce Mhavile,, kwanini viongozi wa upinzani hawaalikwi hapo ITV ili kujibu hoja za hao MASISIEMU???, Take care Buhohera hicho kipindi umekigeuza kuwa kijiwe cha propaganda za viongozi wa CCM, Sisi watazamaji tumeshachoka na upuuzi huu acheni kutuudhi....
 
Watangazaji wa Kipindi hicho akili zao ndogo kama wana DIV ONE/TWO popote katika masomo nitalipia ada zao za Masters, AKILI ZAO NDOGO wanashindwa kuuliza maswali yenye utata ili jamii ipate ufafanuzi, wanacheka cheka tu na hata wakiropoka swali zuri likijibiwa kijinga jinga hawawezi kuuliza maswali ya kufuatilizia kama kwamba swali mama walikaririshwa tu, wao hawaelewi chochote.
 
Dah mm tayari nilishaacha kutazama hicho kipindi kwa sababu hicho ni kipindi cha propaganda za serikali baada ya kuona watu hatuangalii TBC serikali imenunua airtime ITV ili kupitishia propaganda za ccm na serikali yake kupitia dk 45
 
Watangazaji wa Kipindi hicho akili zao ndogo kama wana DIV ONE/TWO popote katika masomo nitalipia ada zao za Masters, AKILI ZAO NDOGO wanashindwa kuuliza maswali yenye utata ili jamii ipate ufafanuzi, wanacheka cheka tu na hata wakiropoka swali zuri likijibiwa kijinga jinga hawawezi kuuliza maswali ya kufuatilizia kama kwamba swali mama walikaririshwa tu, wao hawaelewi chochote.
Nikweli mkuu, na nakubaliana na wewe kabisa ila kama jina lako lilivyo "Fikiri kwanza" nini unafikiri we have to do kutokomeza kabisa hii tabia ya waandishi vilaza.
 
Back
Top Bottom