Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

Yule mtangazaji analipwa na ccm, muda sio mrefu utasikia Membe tena amealikwa.!!
 
Uzee sio busara jamani, kuna wengine wakizeeka na busara 'zinazeeka' kwa ufupi wanazeeka vibaya na mmojawapo ni wasira! mie huwa hata sisomagi taarifa zake kwani najua busara kwishney:A S angry:
 
hiki kipindi kizuri sana kwa viongozi wa tanzania na ccm yao kwani hakina maswali magumu na hawaruhusu watazamaji kupiga simu na kuuliza maswali. kwa hiyo wakiongea pumba hakuna wa kuwakosoa
 
hiki kipindi kizuri sana kwa viongozi wa tanzania na ccm yao kwani hakina maswali magumu na hawaruhusu watazamaji kupiga simu na kuuliza maswali. kwa hiyo wakiongea pumba hakuna wa kuwakosoa
Tupo pamoja kamanda, so Njoo Arusha tuendelee na mazoezi ya viungo.
:msela::msela::msela::msela::target:
 
bado mapema mno kuanza kujaji juu ya itv kurusha upande wa serikali. Hapa tupo tunajiaandaa kuwaita baadhi ya watu upande wa upinzani ili kuzungumzia suala hilo, baadhi yao tuliokwisha kufanya nao mawasiliano wameonesha kukataa kushiriki katika kulizungumzia suala hilo kupitia luninga, na wanasema labda tuwasiliane na uongozi wa juu ndani ya chadema. Lakini viongozi wa vyama vingine vya upinzani wapo tayari kushiriki.

Hivo ni suala la muda tu, na kila kitu kitakwenda kama mnavyotaka wapenzi watazamaji wetu wa itv.

Tunashukuru sana kwa feedback yenu kupitia mambo yote mliyoyazungumza humu, tunajua hatuwezi kuwaridhisha wote, lakini pia siyo rahisi kupendwa na watu wote.

Tunachoweza kuahidi ni kuendelea kuwaletea mambo mazuri yenye tija kwa taifa letu.

Itv daima, super brand tv station in tanzania.
 
Pole sana ndugu yangu.
Naona hawa watendaji wa Serikali wameshindwa kutatua tatizo lililotokea Bungeni, walishindwa wao kuzungumzia mswada uliokuwa mbele yao wakaanza kutukana wenzao.
Mswada ukapitishwa kwa idadi inayokiuka kanuni za Bunge yaani theruthi mbili, baada ya kusutwa na wananchi wanatumia kipindi kujisafisha.
Pia na Mtangazaji / Watangazaji wanashindwa kuwa na maswali yahusuyo changamoto za nchi wanajikuta wakiruhusu mambo yasiyo na mashiko.
Wassira alikuwa TBC Jumamosi Live, Jumatatu ITV Live suala hilohilo.
Tunataka maisha bora kwa kila Mtanzania siyo kutuletea longolongo kwenye vipindi vya LUNINGA/

wanaitwa wanaojua kujibu hoja kwa kutumia hoja na sio wajibu hoja kwa maandamano! Studio hapatoshi kuandamana
 
Napenda na huwa navutiwa sana na vipindi vya ITV lakini hiki cha dak. 45 nilishaachana nacho kabisa. Hata malengo yake ni utata. Sijawahi kushuhudia akialikwa kiongozi wa taasisi yoyote tofauti na serikali na CCM. Mwazoni nilifikiri kwamba labda kina lengo la kuwapa tu nafasi watedaji wa serikali kuongea na wananchi lakini nilishangaa pale alipoalikwa Lowassa na akawa anaulizwa mambo ya kiserikali ilhali yeye si mtendaji wa serikali. Hapo ndipo nikagundua kwamba mwendesha kipindi ana malengo yaliyojificha.
 
Ukirusha jiwe gizani ukasikia kuna mtu anaguna ujue hilo limempata, Hapa nadhani Chadema mnakamuliwa kijipu uchungu.
ITV sio tawi la bavicha na haitokuwa, pelekeni hayo mawazo Tanzania Daima.
 
Wasira ni mtu makini sana, ametoa ufafanuzi mzuri sana jana kwenye kipindi cha dakika 45, imeonekana sasa Serikali kupitia Mhe. Wassira imetoa hoja mbadala dhidi ya Muungano wa Vyama vya Siasa vinavyopinga muswada huu kusainiwa na Rais, nilidhani kama vijana makini na tunaojiita Wazalendo kumuunga mkono Wassira kwa hoja hii ili tudumishe umoja na mshikamano tuliozoea hapa Tanznia.
Kama hata ushauri mzuri, na Ufafanuzi wa Kiungwana ni Makosa kwenu nyie Vijana, sasa lengo ni kutafuta Maridhiano au lengo ni kuigeuza Tanznia kuwa Kisiwa cha kumwaga damu kama yanayoendelea Kenya?

Upinzani sio fujo na vita, Wassira kaonyesha njia fuateni na muache matusi na kebehi.

issue ni kufuata sheria na kanuni za nchi/bunge kupitisha mswada na wabunge 106 kati ya 357 ni uhuni halafu walipaswa kusikiliza hoja za wapinzani na siyo kuwaitia askari
 
issue ni kufuata sheria na kanuni za nchi/bunge kupitisha mswada na wabunge 106 kati ya 357 ni uhuni halafu walipaswa kusikiliza hoja za wapinzani na siyo kuwaitia askari

Kumbe wewe ni wale wale msiyochambua mambo kwa kina, acha kukariri kuna makosa makubwa sana yaliyofanywa na Mbowe kwa kukaidi agizo la spika.
 
bado mapema mno kuanza kujaji juu ya itv kurusha upande wa serikali. Hapa tupo tunajiaandaa kuwaita baadhi ya watu upande wa upinzani ili kuzungumzia suala hilo, baadhi yao tuliokwisha kufanya nao mawasiliano wameonesha kukataa kushiriki katika kulizungumzia suala hilo kupitia luninga, na wanasema labda tuwasiliane na uongozi wa juu ndani ya chadema. Lakini viongozi wa vyama vingine vya upinzani wapo tayari kushiriki.

Hivo ni suala la muda tu, na kila kitu kitakwenda kama mnavyotaka wapenzi watazamaji wetu wa itv.

Tunashukuru sana kwa feedback yenu kupitia mambo yote mliyoyazungumza humu, tunajua hatuwezi kuwaridhisha wote, lakini pia siyo rahisi kupendwa na watu wote.

Tunachoweza kuahidi ni kuendelea kuwaletea mambo mazuri yenye tija kwa taifa letu.

Itv daima, super brand tv station in tanzania.

Haya mawazo na fikra nyepesi tumezizoeya zikitoka kwa Nape na maccm mengine.
 
naunga mkono asilimia mia....ni kipindi cha upande mmoja kama lilivyo bunge....
 
Ni kweli WASIRA HANA KIFANI CHAKE CDM na tz kwa ujumla

ImageUploadedByJamiiForums1380099325.705474.jpg

Ni kweli ni hana kifani kwa umahiri wake. Wakati watu wanajadili mambo muhimu yeye yuko kwenye njozi,ila akikurupuka hapo anatoa yote aliyoota na kuwa tamko la serikali.
 
mimi huwa nashikwa na hasira sana kila ninapo mwona wasira akiwa anaongea sababu ni kupotosha watanzania kwa makusudi kabisa!

Kwanini unaangalia? lakini ni vyema ukaangalia ili ujue ubovu wa hii katiba inayozungumziwa na jinsi watu wanavyoweza kuitafsiri kwa hali yoyote wanayotaka,hata msaafu kuna watu kama alqaeda Boko haram e.t.c wanaotafsiri wanavyotaka hadi kufikia kuua watu hovyo eti jihad .hata biblia nayo kila kikundi cha kanisa kina tafsiri yake,endelea kuangalia ili uelewe sasa umuhimu wa kuwa na katiba yenye tafsiri sahihi na isiyoweza kupotoshwa au kutafsiriwa tofauti kwa faida ya kundi fulani.
 
mimi huwa nashikwa na hasira sana kila ninapo mwona wasira akiwa anaongea sababu ni kupotosha watanzania kwa makusudi kabisa!

Hivi hiki kipindi bado kipo. Niliacha kuangalia siku nyingiiiiiiii
 
unaweza kufikiria labda tume logwa, kumbe ni uchakubangatu unatusumbua, kwa mtu makini mwenye kujua mstakabali wa taifa la tanzania hata leta ushabiki kwenye mambo mazito ya nchi, wewe unae shabikia chama cha mapinduzi jiulize mwenyewe,katiba ikiborongwa madhara yake unafikiri yatakuatu kwa [chadema] [cuf] [nccr] ??? utapata jibu hata wewe utaathirika tena sana, leo kuna ufisadi,ardhi inatwaliwa na wageni, wanyama wetu wanatoroshwa nje ya nchi, madawa osipitalin hamna, helimu ni tatizo,,pengo la wasionacho linaongezeka kila kukicha,halafu wewe unaleta ushabiki wa kichakubanga, ni lazima tuungane kwenye mambo muhimu ya taifa hili,tuache kushabika ujinga utakao tuangamiza baadae sisi na watoto wetu,,wewe unashabikia mtawala akutungie katiba ??? wewe unafikiri unamfuraisha ili akupe chochote kumbe yeye anakuona wewe ni mjinga wa kupindukia, usiejua kesho yako, mimi nawaunga mkono wapinzani kwani katiba niyawananchi tuachiwe tuiandike wenyewe, tuweke mipaka kwa viongozi wanyonyaji,
 
mlipa zumari ndo huchagua nyimbo serikali inalipia hiki kipindi kama unabisha niambie nikuletee ushaidi ambao hauna shaka
 
unaweza kufikiria labda tume logwa, kumbe ni uchakubangatu unatusumbua, kwa mtu makini mwenye kujua mstakabali wa taifa la tanzania hata leta ushabiki kwenye mambo mazito ya nchi, wewe unae shabikia chama cha mapinduzi jiulize mwenyewe,katiba ikiborongwa madhara yake unafikiri yatakuatu kwa [chadema] [cuf] [nccr] ??? utapata jibu hata wewe utaathirika tena sana, leo kuna ufisadi,ardhi inatwaliwa na wageni, wanyama wetu wanatoroshwa nje ya nchi, madawa osipitalin hamna, helimu ni tatizo,,pengo la wasionacho linaongezeka kila kukicha,halafu wewe unaleta ushabiki wa kichakubanga, ni lazima tuungane kwenye mambo muhimu ya taifa hili,tuache kushabika ujinga utakao tuangamiza baadae sisi na watoto wetu,,wewe unashabikia mtawala akutungie katiba ??? wewe unafikiri unamfuraisha ili akupe chochote kumbe yeye anakuona wewe ni mjinga wa kupindukia, usiejua kesho yako, mimi nawaunga mkono wapinzani kwani katiba niyawananchi tuachiwe tuiandike wenyewe, tuweke mipaka kwa viongozi wanyonyaji,

Mkuu mawazo mazuri sana umeyaleta hapa jamvini na hakika tunapenda kuona magreat thinker kama wewe. kiukweli nilchokoza hisia zenu kwa kukigusa kipindi cha dakika45 ila uwanja wa kufikiri ulikuwa ni mpana na umedhiirisha ilo.
Pamoja kamanda
 
Hivi hiki kipindi bado kipo. Niliacha kuangalia siku nyingiiiiiiii

Kipo na mara nyingi kama hayupo Wassira utamkuta Lukuvi. Walishaniboa kiasi kwamba huwa naangali.BBC ya Salim Kikeke wakati huo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom