Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

Wassira,Lukuvi na Ndugai, kulikoni dakika 45?

mlipa zumari ndo huchagua nyimbo serikali inalipia hiki kipindi kama unabisha niambie nikuletee ushaidi ambao hauna shaka

tuwekee ushahidi kaka, kwani kama ni serikali inalipa inamaana pesa za kodi zinafujwa.
 
ndugu wana jf, sio mara moja au mbili watanzania wakilalamika na kutoa masikitiko yao juu ya kipindi cha "dakika 45"

kinachorushwa na kituo cha itv kila siku za jumatatua. Tunavyoelewa itv ni kituo bora cha utangazaji na vipimdi vyake vingi ni vyakizalendo.

Ila kinacho shangaza ni hiki kipindi cha dakika 45 kinachoongozwa na phip mulongo kinawatatiza watanzania wengi na tunashindwa kuelewa kuwa hii ni program ya itv au ya watu wasioitakia mema tanzania?

Wiki mbili zilizopita tulimshuudia naibu spika mh. Job ndugai akijisafisha juu ya swala la uongozaji bunge. Wiki iliyofuata tukamshuudia waziri mh. Lukuvi nae akimshambulia kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mh. Mbowe.

Wiki hii yani jana tumemshuudia waziri mh. Wasira akimshambulia mh. Mbowe na vyama vya upinzani.

Haya ni baadhi tu ya mambo yaliojitokeza katika vipindi vya dakika 45 ila ndani ya miaka miwili sijawai kuona kipindi hiki kikiwaalika upande wa pili ambao sio serekalia ili kujibu na kutoa ufafanuzi juu ya mambo wanayotuumiwa.

Wana jf kama tunavyoelewa jaji hawezi kutoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu, kwa kawaida mtu anaesikiliza upande mmoja basi huyo moja kwa moja hufanya kazi ya uwakili.

Je itv kupitia kipindi cha dakika 45 kimeamua kufanya kazi ya uwakili kuitetea ccm na kuwakandamiza watanzania wengi?


badilikeni itv,emmanuel buhohela uulize maswali makini na ciyo ya kuibeba ccm ,na hiki kipindi naona kimekua kona ya ccm ya kufukia majanga yao.
 
Mangi akina Nape wamealikwa na kipindi na kiongozi wako wa upinzani zamu yake ikifika ataalikwa naye atasema yake. Unakereka nini akina Nape kuzungumza? ulitaka uongo wenu usimame?...
Ndugu wana jf, Sio mara moja au mbili watanzania wakilalamika na kutoa masikitiko yao juu ya kipindi cha "Dakika 45"

kinachorushwa na kituo cha ITV kila siku za jumatatua. Tunavyoelewa ITV ni kituo bora cha utangazaji na vipimdi vyake vingi ni vyakizalendo.

Ila kinacho shangaza ni hiki kipindi cha dakika 45 kinachoongozwa na PHIP MULONGO kinawatatiza watanzania wengi na tunashindwa kuelewa kuwa hii ni program ya ITV au ya watu wasioitakia mema Tanzania?

Wiki mbili zilizopita tulimshuudia Naibu spika Mh. Job Ndugai akijisafisha juu ya swala la uongozaji Bunge. Wiki iliyofuata tukamshuudia Waziri Mh. Lukuvi nae akimshambulia kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh. Mbowe.

Wiki hii yani jana tumemshuudia Waziri Mh. Wasira akimshambulia Mh. Mbowe na vyama vya Upinzani.

Haya ni baadhi tu ya mambo yaliojitokeza katika vipindi vya Dakika 45 ila ndani ya miaka miwili sijawai kuona kipindi hiki kikiwaalika upande wa pili ambao sio Serekalia ili kujibu na kutoa ufafanuzi juu ya mambo wanayotuumiwa.

Wana Jf kama tunavyoelewa Jaji hawezi kutoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu, kwa kawaida mtu anaesikiliza upande mmoja basi huyo moja kwa moja hufanya kazi ya uwakili.

Je ITV kupitia kipindi cha dakika 45 kimeamua kufanya kazi ya uwakili kuitetea CCM na kuwakandamiza Watanzania wengi?

 
mlipa zumari ndo huchagua nyimbo serikali inalipia hiki kipindi kama unabisha niambie nikuletee ushaidi ambao hauna shaka

Mkuu Josaya, mimi sibishi juu ya usemalo ila kiukweli siamini ulicho sema maana haujaambatanisha na vidhibitisho.
Ushaidi pleas
 
ITV ilikuwa zamani...sasa hivi wamekuwa tawi dogo la TBC-CCM, chanel ten, mlimani TV na Startv kwa mbaaali kuna sera za Tz
 
Mangi akina Nape wamealikwa na kipindi na kiongozi wako wa upinzani zamu yake ikifika ataalikwa naye atasema yake. Unakereka nini akina Nape kuzungumza? ulitaka uongo wenu usimame?...

Mkuu laizer, kiukweli ninakera jinsi hiki kipindi kinavyofanya kazi, Ebu ngoja nikupe mfano upale kuelewa.
Mf:-Waziri anaulizwa swali kuusu mswada wa katiba na yeye anajibu uku akiwatupia vyama vya upinzani lawama kuwa ndio wanataka kuaribu mchakato mzima. sasa bila kusikiliza upande wa waoinzani Jamii itajua vp ukweli kuhusu jambo hilo?
Bwana Laiza amka tupa shuka kumeshakucha.
 
Back
Top Bottom