haha vipi niliona mahala kiongozi wenu ambaye haruhusiwi kuoa katafuna mke wa mtu , usipoteze muda na njiwa JF mi nimeruhusiwa kuoa hadi 4 , kachunge mkeo .. wameamua kuchinja basi wanachinja hadi wake za watu
Wasira mbona yuko poa tu, hata akiwa Presidaa atafaa ona hii
View attachment 92025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg.Stephen Masato Wasira-2015.
Idd Amin alikua handsome kuliko hata huyu jamaa!
kinachoangaliwa ni kipato cha mtu,u handsome bila kazi ya maana,na kipato cha maana ni bure,hakunna maana.Idd Amin alikua handsome kuliko hata huyu jamaa!