Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,633
Wewe aliyekuroga atakuwa kafa sijui itakuwaje maana itabidi ubaki hivyo ulivyo.....hasara kweli.katafute bangi huko hakuna mtazania mwenye akili timamu mwenye hamu na CCM. CCM hashindi kwa kura hata siku moja isipokuwa ni kada Lubuva ndio anayewasaidia. ebu ekeeni tume huru ya uchaguzi kama kweli munajiamini