SVOCA.Kiingereza ni kujua kanuni ya S+V+O huku ukiweza kuzijua vema aina kuu mbili za uumbaji sentensi kutokana na nyakati. Pia Ukishakuwa na uelewa wa maneno magumu 1000 tu ya kiingereza, tayani umefuzu.
We subiri siku akukamateAchana na graduate,kuna ile PhD fulani!View attachment 1668364
Lugha na uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha ni muhimu sana. Ndio njia pekee uwezo na ujuzi alionao mtu unaweza kudhihirika, kusambazwa na kutunzwa kwa ajili ya Watu wengine.siku mkiacha utegemezi,mtakuwa mmejikomboa sana.
kiingereza safi sio kielelezo cha usomi wa mtu,ndio sababu mnatapeliwa kizembe na wajanja wajanja,ukilazimishwa kukijua kiingereza katika mazingira yako utakijua tu utake usitake.
hiyo ni lugha tu,labda tuangalie output ya msomi husika sasa badala ya lugha ya kiingereza na bla bla zingine.
kiingereza sio lugha rasmi ya kusomea shule za msingi,inakuja kuwa lugha rasmi ya kusomea sekondary,ambako ni wazi sasa mtu wakati huu anachukua ujuzi,sijui nini cha ajabu hapa!!!
Waziri ni kiunganisho kati ya Lumumba na serikali tu, kiingereza ni katibu mkuu ambaye ni mtendaji, huyu hafiki Lumumba.Abigail.
Kama waziri wa elimu hajui kiingereza unategemea mwanafunzi au hata mwalimu kwenye shule zilizo chini ya huyo waziri ajue kiingereza?
Haha hiyo African English imekuwa categorised kuanzia lini?😂😂Firstly, you choose one , either American, British or African English.
let's start. 😒
hivyo vitu havikwepeki,hasa muingiliano wa jamii mbali mbali unapokuwepo.Lugha na uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha ni muhimu sana. Ndio njia pekee uwezo na ujuzi alionao mtu unaweza kudhihirika, kusambazwa na kutunzwa kwa ajili ya Watu wengine.
Lazima Utumie lugha kwa usahihi. Na sio kiingereza tu.. shida yetu leo hata kiswahili hatujui. Tunaandika mambo kama tuna mtindio wa ubongo.. funny enough hata Radio presenters (who once were the pinnacle for excellence) Kiswahili chao ni utumbo wa kiwango cha Lami ya Kibaha!
Hatuna tena namna sahihi ya kuucondition Umma maana kinacholetwa kwao kwa sasa ni majanga matupu, iwe Filamu, Makala, Hadithi, Hotuba, Nyimbo, Mashairi, Tenzi, Nk hakuna kinachoandikwa kwa weledi.. na kinachozingatia matumizi sahihi ya lugha kinaitwa "boring".
Matokeo yake kila kitu kwa sasa kinawalenga Watu wenye kiwango kikubwa cha ujinga. 🙂
U waziri unasomewa ama ni nafasi itokanayo na siasa?Abigail.
Kama waziri wa elimu hajui kiingereza unategemea mwanafunzi au hata mwalimu kwenye shule zilizo chini ya huyo waziri ajue kiingereza?
Naona unaendelea kujivua nguo.I knew it
How can you mention something that doesn't exist?
I've never seen it anywhere
So I had to hear it from you for the first time
Call it self trap
Ndo kupamba moto?The things have been cottoned fire[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu cheki hadi unavyichemka kwenye kiswahili wakati umezaliwa nachoLugha unaisomea kwa said ya miaka kumi.
Halafu namuuliza kuhusu hiyo lugha hujui kitu
Ulikua unaitumiaje?
Mambo yamepamba motoNdo kupamba moto?
Mimi niko against shule za mitaala ya Kizungu. Kabisa.. shida shule zilizoko maeneo ninayoishi za serikali ziko underfunded na hazikidhi kutoa elimu inayofaa kwa mtoto.hivyo vitu havikwepeki,hasa muingiliano wa jamii mbali mbali unapokuwepo.
leo hii mmasai kutokea manyara huko ndani,anasafari ndefu sana ya kuongea au kuandika kiswahili fasaha,achana na kiingereza.
kiingereza imekuwa lugha rasmi kwa kipindi kirefu sasa,na ni muhimu lakini sio lazima.inachukua miaka mingapi mtu kujifunza kiingereza ili aishi mazingira yanayomlazimu kukijua???hata mwezi hauishi.
hatuwezi worship kiingereza mpaka kuamini ni chanzo cha matatizo tuliyo nayo,ni dalili za utegemezi,tena ni dhana mbovu kabisa, ni ile ile inayowafanya wazazi kutafuta shule za kiingereza kwa gharama yoyote ile,wakati soko la mtaani linataka uwasilishaji wa taaluma.
Big up mkuu,i salute you kwa hii comment.Kwa bahati mbaya sana, vijana wa sasa hapa Tz sio tu wanashindwa kuzungumza au kuandika Kiingereza:- Hata Kiswahili wanachoandika au kukiongea mara nyingi sana kina makosa. Ukitaka kujua tatizo ni lugha (iwe Kiswahili au Kiingereza), pitia tu mambo watu wanayoandika wanapochangia mada kwenye mitandao.
a) WENGI SANA hawawezi kutofautisha kati ya herufi L na R. Unamsikia mtu anasema "nilipokuwa nachumbia mahari ambapo mahali ilipelekwa ni kwa mjomba"
b) Ni Watanzania wengi (hata baadhi ya viongozi wanasiasa) wanasema:- "Tangia sasa...." wakimaanisha kuanzia sasa. Hawajui wangepaswa kusema "Tangu sasa", au "kuanzia sasa"
c) Wapo pia watu wengi ambao hawajui the difference between a subject and a predicate (samahani kwa kuchanganya kimombo ndani maana hata mimi yapo maneno ya Kiswahili siyajui - kwa mfano subject and predicate). Nilitaka kusema kwamba watu wengi "wanachanganya mambo" wakati wanazumgumzia mambo mawili tofuati.
Kwa mfano mtangazaji wa habari anasema:- 'Lile gari lilimgonga mtu na kufa" Maana ya mstari huu ni kwamba gari ndio lilikufa. Angetaka kusema mtu ndie kafa angesema "lori lilimgonga mtu akafa"
d) Makosa yapo mengi tu kwenye Kiswahili kinachozungumwa na baadhi ya wasomi wa Tanzania. Kosa lingine ni pale mtoa habari anaposema:- "Alipigwa risasi akaweza kufa" badala ya kusema alipigwa risasi akafa. Unaposema mtu ameweza kitu fulani una maana hicho ni kitu ambacho alikuwa anataka akipate na akajitahidi mpaka akakipata. Hivyo sio sawa kusema mtu aliyepigwa risasi aliweza kufa maana hakuwa anajitahidi kufa.
So, my question to your dear readers is this:- If we can make SO MANYA MISTAKES in Kiswahili which is our mother tongue, do you expect us to be proficient, and efficient in making utterences in a foreign language? No way ! CIAO !
Sijibizani na mjingaHebu cheki hadi unavyichemka kwenye kiswahili wakati umezaliwa nacho
I mentioned engineering field as an example
There are doctors,accountants, marketers and so many more