Wasomi na kiingereza

Unashangaa degree holder kushindwa kuongea au kuandika kiinglish wakati huo tuna miwatu ina Phd/degree tatu lakini kutamka kaneno kadogo kama Entrepreneur tu inakuwa mtihani.
 
Watakwambia wao wameendelea, sasa huwa najiuliza kabla kuendelea kiichumi walitumia kiingereza?
 
Ukubali ukatae kt the irreplaceable . English ni Kiswahili cha dunia. Na lugha ya ajira na soko Tz ni English .

Kosa ni kuwaanzisha watoto masomo kwa Kiswahili elimu ya msingi na kubadika secondary huku walimu wakiwa hawana msingi mzuri wa English
 
Kiingereza tunakisoma na kukitumia kwa sababu inatubidi, lakini kutokukijua haimaanishi kwamba huna akili wala uelewa.

Akili unaweza kuwanayo lakini ukakosa elimu kwani kiingereza ndiyo lugha iliyojaa elimu kubwa kuliko kiswahili.
 
Akili unaweza kuwanayo lakini ukakosa elimu kwani kiingereza ndiyo lugha iliyojaa elimu kubwa kuliko kiswahili.
Ndo maana nasema inabidi tukisome tu kwa sababu ya umasikini wetu, laiti nchi yetu ingelikuwa na uwezo kama yalivyo mataifa mengine basi hiyo elimu yote iliyo kwa kiingereza ingekuwa kiswahili.

Leo hii tusingekuwa tunakejeliana kwa kutokujua kiingereza.
 
yes is me coming now now.
 
Ukubali ukatae kt the irreplaceable . English ni Kiswahili cha dunia. Na lugha ya ajira na soko Tz ni English .

Kosa ni kuwaanzisha watoto masomo kwa Kiswahili elimu ya msingi na kubadika secondary huku walimu wakiwa hawana msingi mzuri wa English
Labda dunia ya tatu, lakini kwa wenzetu wanauza movies zao zilizo na lugha zao mfano wahindi, wachina na sasa wakorea. Kiingereza ni lugha ya kitumwa kwa waafrika...
 
Labda dunia ya tatu, lakini kwa wenzetu wanauza movies zao zilizo na lugha zao mfano wahindi, wachina na sasa wakorea. Kiingereza ni lugha ya kitumwa kwa waafrika...
Utapinga kwa itikadi za ki communist na haipindui ukweli. Lakini ukweli unabaki tembelea duniani uone. waTz wengi wakivuka mipaka wanakuwa mabubu
 
Utapinga kwa itikadi za ki communist na haipindui ukweli. Lakini ukweli unabaki tembelea duniani uone. waTz wengi wakivuka mipaka wanakuwa mabubu
Huo ububu unatokana na huo utumwa wa kifikra kwamba atadharaulika kutojua kiingereza, kitu ambacho si kweli
 
Huo ububu unatokana na huo utumwa wa kifikra kwamba atadharaulika kutojua kiingereza, kitu ambacho si kweli
Turudi kwenye hoja, utamalizaJe PhD huku English ikikupiga chenga, na ilhali ndiyo lugha uliosomea na kufanyia uwasilishaji ?!

Tatizo liko wapi ?! Hebu lijibu kitaaluma na si kishabiki !!
 
Turudi kwenye hoja, utamalizaJe PhD huku English ikikupiga chenga, na ilhali ndiyo lugha uliosomea na kufanyia uwasilishaji ?!

Tatizo liko wapi ?! Hebu lijibu kitaaluma na si kishabiki !!
Nitakujibu kitaaluma na si kishabiki.

Lugha huwasilishwa na namna mbili written na spoken. Mara nyingi mashuleni tunatumia written na si spoken.

Sasa basi spoken language inahitaji practice ya kutosha kuanzia matamshi n.k lakini pia unapozungumza huna muda wa kufikiri ndo maana mara nyingi tunashindwa.

Sasa huyo Ph. D holder huenda alitumia zaidi written na si spoken
 
Nimesoma comments kidogo hapo YouTube, sijaona hata mmoja akimkrash, unaona tu lugha sio ishu manake wengi ni kama wameelewa na wanamuelewa.
 
ukipenda kizungu ukajifunza vyema nakufanyia mazoezi huwezi kwama
ukikishika ni rahisi sana kujua lugha zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…