Wasira kwenye kashfa ya dawa za pamba

Wasira kwenye kashfa ya dawa za pamba

Wasirra kila kipindi cha uchaguzi anawaambia wana Bunda wampigie kura ili akamilishe mradi wa maji Bunda mjini akishachaguliwa anasahau mradi mpaka kampeni nyingine. Amewaroga wana Bunda!
 
Ukoo wake wote umemstukia na wapo CHADEMA
Wasirra kila kipindi cha uchaguzi anawaambia wana Bunda wampigie kura ili akamilishe mradi wa maji Bunda mjini akishachaguliwa anasahau mradi mpaka kampeni nyingine. Amewaroga wana Bunda!
 
naam kaka makoye;mi nimpiga kura wa jimbo la huyo mchapa kazi"tyson wa maendeleo na misimamo" tunamfahamu vizuri hivyo msizushe.tusubili huo 'ushahidi tujilidhishe,nahisi haya yanayosemwa hapa mpaka na picha za kufananisha na sokwe na kuitwa mkoma labda kwaajili ya tamko na msimamo wake against cdm,kama hatuna jipya tuappriciate.nasubili hizo evidence kwa hamu.
La ukoma sio mnamsimgizia ni kweli alikuwa na ukoma na akatibiwa na kupona, angalia kwenye majina ya watu waliotibia ukoma miaka ya nyuma yumo.
 
Amesema 'aliyekuwa'. Sentensi iko sahihi tu. Wasira amewaji kuwa waziri wa kilimo
 
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo
Mkuu bado hujazipata hizo facts...?
 
Back
Top Bottom