Wasira kwenye kashfa ya dawa za pamba

Wasira kwenye kashfa ya dawa za pamba

Ndege wenye mbwawa sawa huruka pamoja, ndivyo wahenga wanavyosema
 
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo
Ukiingia kwa undani ndipo utakapopata jibu kuwa ili uwe nahodha (kiongozi wa juu) kwenye moja ya meli (wizara na vitengo) za CCM ni sharti uwe fisadi kwanza.
 
Wassira hana mpango alikuwa anakufa njaa miaka michache iliyopita pale msasani alipokuwa ameajiriwa kuuza samaki....ni lazima amlambe JK miguu kwa kuwa amemuokoa pale anatetea roho yake maskini....alipokuwa KILIMO amempa dili kubwa sana mwanaye....
 
Sishangai kusikia madudu kama hayo maana huyu jamaa nasikia akiwa Wizarani hapo aliunda kampuni kwa kila aina ya kazi. Hayo madawa pamoja na mbolea za wachina ziliwahi kusambazwa hata bila kujalibiwa na kupitishwa na TPRI!

Aulizwe kampuni ya wahindi ya madawa ya kilimo ya MUKPAR walikuwa wanampelekea pesa kwenye briefcase nyumbani kwake za nini?
 
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo

Mkuu ahsante kwa taarifa lakini anzia hapo kwenye maandisi mekundu kupata facts, ninavyojua huyu jamaa yuko wizara nyingine awamu hii. Labda enzi hizo alipokuwa waziri wa wizara uliyotaja.

Mkuu na wewe angalia hapo kwenye bluu, maana umepata myopia kwenye bluu na kuangalia red tu. Tuangalie tusiwe tunajaza idadi ya posts bila kuwa na mchango wowote ule wa kuboresha ama kukosoa kwa lengo la kuboresha.
 
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo
. Leo ni mara ya kwanza kuchangia hapa lakini nimeshangaa kuanza na mwenzangu huyu anaeunda kashfa zisizokuwepo;nimjuavyo huyo waziri hajawahi kuhusishwa na kashfa yoyote ni miongoni mwa mawaziri wenye juhudi na wenye misimamo kkatika majukumu yao;nashauri tusiwe mashabiki na waunda kashfa "hewa"tunaidhalilisha jf.napenda ukweli.argue with evidence. Am new in the forum but not on matters.
 
Na uso wote ule anaiba alidhani hatutammulika na tochi? Hebu weka hizo facts hapa ili tujridhishe then tumpe tamko la kujipima kama aendelee na uwaziri au aakae pembeni? ndo maana alikuwa na hofu sana na PEOPLES POWER ilipokuwa kanda ya ziwa kwenye PAMBA!!

Hivi huyu jamaa ana kale kaugonjwa ka UKOMA au??? Maana jamaa uso wake unatisha,sijui sababu ya u-tyson alimwagiwa TINDI KALI au?Hebu wale mnaojua facts za huyu Wassira a.k.a Tyson mtu-datishe zaidi.

Hivi Kiwete anapenda kumteuteua kwenye BMT kwa sababu ya u-tyson akifikiri kuwa kuna siku atamsaidia kupigana makonde kwenye medani ya siasa???

I hate the old chap. Ana-bore stiff!!!
 
. Leo ni mara ya kwanza kuchangia hapa lakini nimeshangaa kuanza na mwenzangu huyu anaeunda kashfa zisizokuwepo;nimjuavyo huyo waziri hajawahi kuhusishwa na kashfa yoyote ni miongoni mwa mawaziri wenye juhudi na wenye misimamo kkatika majukumu yao;nashauri tusiwe mashabiki na waunda kashfa "hewa"tunaidhalilisha jf.napenda ukweli.argue with evidence. Am new in the forum but not on matters.

We fyeka wewe,

Nakutilia shaka. You are either tyson himself or a close relative to the old chap!

Kwanini umeguswa sana na hili la kusema kuwa huyu Wassira anaweza kuwa anahusika na KASHFA ZA PEMBEJEO ZA PAMBA kwa maana ya MADAWA??? Kwamba hujawahi kuchangia kwenye JF, lakini hili la Wassira na UFISADI wa MADAWA YA PAMBA umeamua kujimwaga uwanjani!!!It have raises an eyebrow to me my friend.

We subiri watu wapate facts za Kashfa hii maana kwanza ndo imeanza kutokota. Kanda ya Ziwa wamesha-ramba 5 Bilions+ kwenye ufisadi huu. Wassira ni CCM damu. What I know all CCM leaders and members are corrupt to the core. Wassira won't be unique!

Mashikolomageni hebu fuatilia kwa karibu umwage vitu hapa ili tumchambue kama karanga huyu mkoma!!!
 
Naomba msome mwananchi la leo j2. Kuna taarifa kuwa dawa za pamba zinauzwa 2500/= badala ya 1000/= kwani kwa kila chupa serikali inatia ruzuku ya 1500/=. Hii ni kweli kabisa na watu wamepiga mabilioni ya shs, kama ni kampuni ni ya wasira inawezekana kwani huyu jamaa ni mjanja sana yy ndie alileta kampuni ya kunua pamba ya virian tz ltd.
 
We fyeka wewe,

Nakutilia shaka. You are either tyson himself or a close relative to the old chap!

Kwanini umeguswa sana na hili la kusema kuwa huyu Wassira anaweza kuwa anahusika na KASHFA ZA PEMBEJEO ZA PAMBA kwa maana ya MADAWA??? Kwamba hujawahi kuchangia kwenye JF, lakini hili la Wassira na UFISADI wa MADAWA YA PAMBA umeamua kujimwaga uwanjani!!!It have raises an eyebrow to me my friend.

We subiri watu wapate facts za Kashfa hii maana kwanza ndo imeanza kutokota. Kanda ya Ziwa wamesha-ramba 5 Bilions+ kwenye ufisadi huu. Wassira ni CCM damu. What I know all CCM leaders and members are corrupt to the core. Wassira won't be unique!

Mashikolomageni hebu fuatilia kwa karibu umwage vitu hapa ili tumchambue kama karanga huyu mkoma!!!
naam kaka makoye;mi nimpiga kura wa jimbo la huyo mchapa kazi"tyson wa maendeleo na misimamo" tunamfahamu vizuri hivyo msizushe.tusubili huo 'ushahidi tujilidhishe,nahisi haya yanayosemwa hapa mpaka na picha za kufananisha na sokwe na kuitwa mkoma labda kwaajili ya tamko na msimamo wake against cdm,kama hatuna jipya tuappriciate.nasubili hizo evidence kwa hamu.
 
Wassira si a convicted criminal by court of law of URP.

Mwaka 1995 Wassira aligombea ubunge wa Bunda kupitia NCCR-Mageuzi dhidi ya Jaji Sinde Warioba wa CCM. Wassira akatangazwa mshindi na tume ya uchaguzi. Jaji Warioba akakata rufaa kupinga matokeo. Mahakamu kuu kanda ya Mwanza akamkuta Wassira na KOSA LA KUTOA/KUTUMIA RUSHWA wakati wa uchaguzi. Matokeo ya ubunge yakatenguliwa.

Pia mahakamu kuu ikampiga marufuku Wassira kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa kuchaguliwa kwa kipindi cha miaka 5. Hukumu hii ipo kafanyeni reference mahakama kuu.

Hivyo Wassira is a convicted corrupt person, siwezi kushangaa madai hayo. Ninachoshangaa aliweza vipi kupata UWAZIRI wakati mahakamu kuu bila mashaka yoyote ilimuona mtoa/mla rushwa? Be the judge yourself
 
ndiyo mawazir wetu hawa eti utasikia wanasema tuna nia ya maendeleo kwa watanzania wote mimi nawashangaa kwanza wanaowapa kura watu wamekuwepo miaka 50 wameshindwa leo eti wana nia mimi nwashangaa sana watanzania wenzangu
 
Ngoma ya Urais imenoga kila Mtangaza nia ataanikwa Hadharani hasa ukizingatia kuna kuchapana vikumbo Baraza la Mawaziri
 
Huyu Jamaa aliwahi kuuza hadi tairi la defender Enzi zake, sasa hivi anauza sembe na vipusa....
 
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo

hapa ndipo umuhimu wa azimio la arusha linapoonekana juu ya viongozi
 
Back
Top Bottom