Wasira alisema CCM ilisimamisha mgombea wao lakini wanachama wa CHADEMA wakawa wanatukanana kwa siku 31 badala ya kuchagua mgombea wao

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA

Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31

Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya matusi iliyompoteza Mbowe

Je, CHADEMA mnalipi la kujitetea?

View: https://youtu.be/ZQcPmXWHbUI?si=1G5gvzCKnx4kZWXh
 
Mpina tu mwana CCM mwenzenu aliwatisha mbogamboga ndio maana mkaamua kumpiga Lissu minyororo mfanye maigizo ya uchaguzi.
 
Hatari sana, Wasira alisema CCM ilisubiri mgombea wa CHADEMA haikumuona
 
Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA

Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31

Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya matusi iliyompoteza Mbowe

Je, CHADEMA mnalipi la kujitetea?

View: https://youtu.be/ZQcPmXWHbUI?si=1G5gvzCKnx4kZWXh

Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Sasa itakuwaje
 
Akisema pia kuanzia saa5 siku Ile ya uchaguzi walimu njaa walilipwa laki 3 waliamriwa kuanza kutiki Ili mama ashinde kwa asilimia 100?
Hajasema, hayo ni madai ya CDM?
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Haya ya CHADEMA tuwaachie CHADEMA, na hata kabla hatujaongelea hizo 98 percent na Harufu ya Ballot Stuffing; Vipi mwendelezo wa danadana na kutokuwajibika wa wauwaji (Yaani sio Civilians against Civilians bali State against Civilian) - haya yatazungumzwa lini ? Sababu hizi ngonjera ni kutonesha vidonda waliopoteza ndugu zao
 
Sawa sawa sasa itakuwaje kwasababu kila upande una makosa
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Tutafanyaje sasa
 
Back
Top Bottom