Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.

John Malecela- Mtera.
- Mkuu jaribu kuwa na jipya maana sasa umeanza kupitwa na wakati na hizi sumu zako, vipi General Mboma anafaaa au? Bwa! ha! ha!Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.
FMES,
Mtu anakuwa mbunge miaka zaidi ya 30 na sasa ana umri wa miaka 75 na ni mzee tayari: si hekima akapumzika tu kama Kawawa au Warioba?
Eti: wananchi wanawahitaji: ni kweli?????????????? Wananchi gani wenye uelewa upi??

- Mzalendohalisi kwa nini usiongelee jimbo laKo, ninakwambia hivi kwenye jimbo letu la Mtera, huyu mbunge akiondoka tu tumekwisha, sasa msituletee matatizo yenu ya siasa zenu huko Mbeya, sisi Dodoma hatuna matatizo halafu naomba unisaidia sheria iansema nini kuhusu umri wa uongozi?
- Kwani wewe una uelewa upi huo ambao umetufanya tukawa na rais tuliyenaye sasa, wewe una uelewa mkubwa sana tilipataje huyu rais? Muwe mnafikiri kavbla ya kuandika hapa JF!
FMEs!
Teh teh teh teh mtu wa miaka 75 hata kufikiri hawezi apishe vijana ale pension yake bana...
- Mkuu Uwiano jimbo la Mtera bado tunamuhitaji sana mbunge wetu, kama una ubavu njoo na wewe ugombee naye, otherwise acheni majungu, sisi wananchi wa hayo majimbo ndio tunaojua nani anatufaa, mmeshindwa kuchagua rais anayefaa leo eti mna ubavu wa kutuchagulia wabunge, acheni hizo mkuu chukua fomu kama una ubavu!

Kwani na wewe haupigi kura kuchagua raisi? Tuku chagulie raisi anaye faa we unashindw nini kumpigia kura mtu anayefaa kuwa raisi?- Acha matusi mkuu, Mtera bado tunamuhitaji sana, kama mnazo akili za kujua kiongozi anayefaa basi tusaidieni rais anayefaa, otherwise kaeni msubiri tuwachagulieni tunaopiga kura kila uchaguzi unapokuja!
- Mimi baba yangu ni mzee wa miaka 75 na ana akili zake kama kawaida, inawezekana baba yako baada ya kufikia umri huu ameishiwa akili kutokana na kukosa matunzo na maisha yetu ya bongo pole sana sio wazee wote wako kama wa kwako mkuu, Bwa! ha! ha! ha! maana huwezi kusema bila ya kuwa na mfano wa karibu bwa! ha! ha!
FMEs!
FMES,
Sina neno Mkuu! Hoja yangu ni ili basi angalua awe na mda wa kula pensheni yake ya Uwaziri Mkuu na VP!
Hiyo ndo heshima ya kuwa mzee! Na anabakia tu na jukumu la ushauri!
sasa hiyo pensheni ataila lini Mkuu???
majungu gani banawee kafanya nini mzee yule hana dira kaishiwa sera hana jipya..akapumzike 75 yrs ni umri wa yeye akae na wajukuu zake hana jipya jimboni.....- Mkuu Uwiano jimbo la Mtera bado tunamuhitaji sana mbunge wetu, kama una ubavu njoo na wewe ugombee naye, otherwise acheni majungu, sisi wananchi wa hayo majimbo ndio tunaojua nani anatufaa, mmeshindwa kuchagua rais anayefaa leo eti mna ubavu wa kutuchagulia wabunge, acheni hizo mkuu chukua fomu kama una ubavu!
FMEs!
- Majungu matupu wasirudi ili aingie nani, wewe? Yaaani sasa mnaweza kuwachagulia wananchi nani aongoze majimbo yao? Acheni majungu haya, wananchi wa majimbo ndio wanajua nani anawafaa, labda muongelee majimbo yenu ambayo huwa mnapigia kura, kama kweli huwa mnapiga kura!
- Halafu mtutajie wabunge wanaofaa na walichofanya!
FMEs!
Atupishe huko, kachoka, uwezo wa kufikiri umepungua, sijui ile shughuli nyingine kama bado anaperform.
Mkuu wangu, subiri muda wa kuchukua form ndio utajua nani atachukua form Mtera. Huna moral authority ya kusema eti watu wa Mtera bado tunamhitaji. Nikiwa kama Mwanamtera, nasema huyu mzee aachie ngazi. Malecela hawezi tena, akili imesha wear-out, ajiuzulu asisubiri kuja kugaragazwa.
mkuu naona na wewe akili zako zinaanz akugota mwisho......kwa hiyo akifa leo inakuwaje? malecela kachoka bana ile press yake na wandishi wa habari pumba alizoongea ni kidhibitisho tosha kuwa hana jipya.....- Mzalendohalisi kwa nini usiongelee jimbo laKo, ninakwambia hivi kwenye jimbo letu la Mtera, huyu mbunge akiondoka tu tumekwisha, sasa msituletee matatizo yenu ya siasa zenu huko Mbeya, sisi Dodoma hatuna matatizo halafu naomba unisaidia sheria iansema nini kuhusu umri wa uongozi?
- Kwani wewe una uelewa upi huo ambao umetufanya tukawa na rais tuliyenaye sasa, wewe una uelewa mkubwa sana tilipataje huyu rais? Muwe mnafikiri kavbla ya kuandika hapa JF!
FMEs!
- Ubunge wa Malecela unakutatiza vipi mkuu ni muda sasa umeshupalia haya vipi amekuchukulia mkeo nini, maana hapa ni wewe na Bangusule kila kukicha mna tatizo na Mzee na mkewe huenda mna serious problem lisemeni tunaweza kuwasaidia maana sijawahi ona hii obsession, kama ni ubunge ni sisi wa jimbo lake ndio tunajua faida ya kuwepo kwake jimboni kwetu!
- Pension amekuwa akiila kwa muda mrefu sana sasa ndio maana siku zote yuko majuu, au huko majuu kuna bunge la Tanzania? Sasa hivi yuko njiani kwenda London na US, majuzi alikuwa Nairobi kushirki mkutano wa ma-chancellor wote wa EAC, si unajua ni Chancellor wa Open University kwa hiyo mkuu hiki kikorosho kitakukwama maana haendi kokote mkuu! Bwa! ha! ha!
- Ungekwua unawajali wananchi wa Mtera, basi usingekwua na chuki na huyu mzee, acha ubinafsi, halafu naomba tutajie mbunge anayefaa?
FMES!