Wasifu wa wana MMU Kuelekea katikati ya mwaka 2013

Wasifu wa wana MMU Kuelekea katikati ya mwaka 2013

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
++
Naanza nawe Mtambuzi,
Asemaye mengi kwa wazi,
Mchache wa maoni kwa nyingine uzi,
Bingwa wa kutoa laiki kwa zako uzi,
Nakupa U-VC MMU.
++
gfsonwin u mwalimu hakika,
Walee Mentor na ladyfurahia,
Wajiunge na ndoa hima,
Wasichelewe ka Madame B na kiplagati,
++
lara 1 hongera kwa mada,
Huna hoja moja ka mzabzab,
Yeye kila mara kugegeda,
Mtembea majukwaa JF na mada,
MziziMkavu yako tuzo
++
Tuzo ya udadisi yako The Boss,
Mwali anakuja juu kwa huo udadis,
Tuzo ya utulivu yako Kaunga
Umetulia ka chit chat na Bishanga
++
Boflo na Bujibuji ka mapacha,
Kwa mada na Id pacha,
Lyamber na Lyagwa hatoacha,
Wanakuja kuwapita.
++
Dark City na Erickb52 wakongwe,
Prisoner na AshaDii mashahidi,
Nivea na Paloma nawasabahi,
Timu yenu nzito ka watu8,
++
Preta na Asnam pongezi,
Hamuishi radha ka Evelyn Salt,
Msiadimike ka Tetra na CHAI CHUNGU,
Mdumu ka stevoh na Zion Daughter.
++
Harus ya Heaven on earth na UNDENIABLE,
Ilindeni Ndoa ka Lisa,
Penzi ni penzi mjue Mtoto halali na hela,
Ikibidi BADILI TABIA utulie ka Blue G,
saudari mpiga picha wa MMU usikose harusi
++
Mashairi bado kinda,
Naenda darasani kwa Rutashubanyuma,
Queen Kan nisindikize,
KOKUTONA nioneshe aliko huyu mshairi,
Sitaki presha life is Short,
Nikakosa tiba kwa Lady doctor,
++
Nitarudi kuhitimisha ushairi,
Kwa member ambao sikuwataja,
Ambao MMU inajengwa na wao.
Bila hao nisowataja hapa MMU isingekuwepo
Mpaka nikirudi stay Ablessed.
++
 
Last edited by a moderator:

Akujaze kheri Moula wetu karimu,Daima unatanguliza wema na hekima zako zenye neema. Bravo Mwana wa pwani Kiswahili lugha umeimakini na kuitawala. Sijui nikushukuru vipi kwani nimepata kigugumizi na kutamka neon la kukupongeza halitoshi, basi nakuombea kwa Allah mwenye wingi wa fadhila akuhifadhi hapa Duniani na akhera.amin hadi wenzangu ulowataja watakao kukulaaki siku za mbele.AlaMsiiki
 
Aiseee, una kipaji mkuu
safi sana
 
Mh! You are so lovely malenga wetu......btw: Usijali ntakusindikiza!!
 
himidin mie ndoa yangu na UNDENIABLE tutaitunza sana....
ombi...unaweza kututungia shairi la harusi yetu we will
appreciate
Himidini nzuri kazi umefanya,
pongezi nyingi wastahili sana,
kwa niaba ya wangu Heaven on earth pongezi pokea,
mm na wangu Heaven on earth japo sio walenga.

ila pongezi lazima kupata,
ndoa yetu hakika tutalinda,
dhamira tunayo na shaka hatuna,
muda ukifika furaha kujaa.

mjumbe natumwa nikuombe jambo,
wangu Heaven on earth aomba jambo,
shairi utunge ndoa yetu hiyooo,
ndoa tutatunza wengi kuona mfano.

uchumba unaisha ndoa yaelekea,
himahima Himidini shairi lisije chelewa,
wangu Heaven on earth ujumbe nimefikisha,
wanaMMU kwa pamoja mbioni yaja ndoa.
 
Last edited by a moderator:
hivi Lisa unatumia silaha gani kulinda ndoa yako?
naingia huko soon so nataka niwe full prepared

Mimi silaha yangu kubwa ni Mungu, ndiye ananisaidia kuilinda kwa nguvu zote, siwezi sema eti hanikosei la,ananikosea sana na tena ameshazaa nje ya ndoa sema, mungu akanipa ujasili wa kwenda kuchukua yule mtoto ili nikate mzizi wa fitina , Pia kuwa msikivu na mvumilivi, mheshimu , mpende. Ingawa kuna kipindi anaweza kufanya madudu mpk lile penzi likaisha utamu, ila kunabakia uvumilivu.
Pia usiingie kwenye Ndoa na Mizani Ya EVA, what i mean is that, usifananishe ndoa ya mwenzio na ya kwako, maana kila ndoa ni kama nchi zina utawala wake.
Mengine usiache kumuomba Mungu kila uchao na mawio, kwa kumshukuru , ombea familia yako, muombee mumeo hii inasaidia hata kama anataka kukusaliti anakuwa na huruma na wewe pamoja na watoto wake.

kabla ya hiyo ndoa yako, funga na kusali kwa muda wa siku tatu, na ukiwa unatoa sadaka ili Mungu akupe mume mwema na mwenye kheri na wewe, atakayekujali, kukutunza na kukuthamini. Kama atakuwa muongo harudi tenaaaaaaaaaaaaa!!!! Kwa hiyo mungu atakuwa amekuepusha na mabaya.
 
Lisa mbona ulinitosa kwenye anivesare?:disapointed:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom