Wasifu wa wana MMU Kuelekea katikati ya mwaka 2013

Wasifu wa wana MMU Kuelekea katikati ya mwaka 2013

++
Naanza nawe Mtambuzi,
Asemaye mengi kwa wazi,
Mchache wa maoni kwa nyingine uzi,
Bingwa wa kutoa laiki kwa zako uzi,
Nakupa U-VC MMU.
++
gfsonwin u mwalimu hakika,
Walee Mentor na ladyfurahia,
Wajiunge na ndoa hima,
Wasichelewe ka Madame B na kiplagati,
++
lara 1 hongera kwa mada,
Huna hoja moja ka mzabzab,
Yeye kila mara kugegeda,
Mtembea majukwaa JF na mada,
MziziMkavu yako tuzo
++
Tuzo ya udadisi yako The Boss,
Mwali anakuja juu kwa huo udadis,
Tuzo ya utulivu yako Kaunga
Umetulia ka chit chat na Bishanga
++
Boflo na Bujibuji ka mapacha,
Kwa mada na Id pacha,
Lyamber na Lyagwa hatoacha,
Wanakuja kuwapita.
++
Dark City na Erickb52 wakongwe,
Prisoner na AshaDii mashahidi,
Nivea na Paloma nawasabahi,
Timu yenu nzito ka watu8,
++
Preta na Asnam pongezi,
Hamuishi radha ka Evelyn Salt,
Msiadimike ka Tetra na CHAI CHUNGU,
Mdumu ka stevoh na Zion Daughter.
++
Harus ya Heaven on earth na UNDENIABLE,
Ilindeni Ndoa ka Lisa,
Penzi ni penzi mjue Mtoto halali na hela,
Ikibidi BADILI TABIA utulie ka Blue G,
saudari mpiga picha wa MMU usikose harusi
++
Mashairi bado kinda,
Naenda darasani kwa Rutashubanyuma,
Queen Kan nisindikize,
KOKUTONA nioneshe aliko huyu mshairi,
Sitaki presha life is Short,
Nikakosa tiba kwa Lady doctor,
++
Nitarudi kuhitimisha ushairi,
Kwa member ambao sikuwataja,
Ambao MMU inajengwa na wao.
Bila hao nisowataja hapa MMU isingekuwepo
Mpaka nikirudi stay Ablessed.
++

Shukrani Himidini.
Btw kiplagati26 yuko Kusini mwa China.
Hvo nafasi yake ame-cover mpenzi wangu Ben Saanane na Remote.
 
Last edited by a moderator:
Himidini umetisha mkuu wangu una kipaji endelea hivyo hivyo naamini utafika mbali.
++
Naanza nawe Mtambuzi,
Asemaye mengi kwa wazi,
Mchache wa maoni kwa nyingine uzi,
Bingwa wa kutoa laiki kwa zako uzi,
Nakupa U-VC MMU.
++
gfsonwin u mwalimu hakika,
Walee Mentor na ladyfurahia,
Wajiunge na ndoa hima,
Wasichelewe ka Madame B na kiplagati,
++
lara 1 hongera kwa mada,
Huna hoja moja ka mzabzab,
Yeye kila mara kugegeda,
Mtembea majukwaa JF na mada,
MziziMkavu yako tuzo
++
Tuzo ya udadisi yako The Boss,
Mwali anakuja juu kwa huo udadis,
Tuzo ya utulivu yako Kaunga
Umetulia ka chit chat na Bishanga
++
Boflo na Bujibuji ka mapacha,
Kwa mada na Id pacha,
Lyamber na Lyagwa hatoacha,
Wanakuja kuwapita.
++
Dark City na Erickb52 wakongwe,
Prisoner na AshaDii mashahidi,
Nivea na Paloma nawasabahi,
Timu yenu nzito ka watu8,
++
Preta na Asnam pongezi,
Hamuishi radha ka Evelyn Salt,
Msiadimike ka Tetra na CHAI CHUNGU,
Mdumu ka stevoh na Zion Daughter.
++
Harus ya Heaven on earth na UNDENIABLE,
Ilindeni Ndoa ka Lisa,
Penzi ni penzi mjue Mtoto halali na hela,
Ikibidi BADILI TABIA utulie ka Blue G,
saudari mpiga picha wa MMU usikose harusi
++
Mashairi bado kinda,
Naenda darasani kwa Rutashubanyuma,
Queen Kan nisindikize,
KOKUTONA nioneshe aliko huyu mshairi,
Sitaki presha life is Short,
Nikakosa tiba kwa Lady doctor,
++
Nitarudi kuhitimisha ushairi,
Kwa member ambao sikuwataja,
Ambao MMU inajengwa na wao.
Bila hao nisowataja hapa MMU isingekuwepo
Mpaka nikirudi stay Ablessed.
++
 
Last edited by a moderator:
Himidini umetisha mkuu wangu una kipaji endelea hivyo hivyo naamini utafika mbali.
++
Naanza nawe Mtambuzi,
Asemaye mengi kwa wazi,
Mchache wa maoni kwa nyingine uzi,
Bingwa wa kutoa laiki kwa zako uzi,
Nakupa U-VC MMU.
++
gfsonwin u mwalimu hakika,
Walee Mentor na ladyfurahia,
Wajiunge na ndoa hima,
Wasichelewe ka Madame B na kiplagati,
++
lara 1 hongera kwa mada,
Huna hoja moja ka mzabzab,
Yeye kila mara kugegeda,
Mtembea majukwaa JF na mada,
MziziMkavu yako tuzo
++
Tuzo ya udadisi yako The Boss,
Mwali anakuja juu kwa huo udadis,
Tuzo ya utulivu yako Kaunga
Umetulia ka chit chat na Bishanga
++
Boflo na Bujibuji ka mapacha,
Kwa mada na Id pacha,
Lyamber na Lyagwa hatoacha,
Wanakuja kuwapita.
++
Dark City na Erickb52 wakongwe,
Prisoner na AshaDii mashahidi,
Nivea na Paloma nawasabahi,
Timu yenu nzito ka watu8,
++
Preta na Asnam pongezi,
Hamuishi radha ka Evelyn Salt,
Msiadimike ka Tetra na CHAI CHUNGU,
Mdumu ka stevoh na Zion Daughter.
++
Harus ya Heaven on earth na UNDENIABLE,
Ilindeni Ndoa ka Lisa,
Penzi ni penzi mjue Mtoto halali na hela,
Ikibidi BADILI TABIA utulie ka Blue G,
saudari mpiga picha wa MMU usikose harusi
++
Mashairi bado kinda,
Naenda darasani kwa Rutashubanyuma,
Queen Kan nisindikize,
KOKUTONA nioneshe aliko huyu mshairi,
Sitaki presha life is Short,
Nikakosa tiba kwa Lady doctor,
++
Nitarudi kuhitimisha ushairi,
Kwa member ambao sikuwataja,
Ambao MMU inajengwa na wao.
Bila hao nisowataja hapa MMU isingekuwepo
Mpaka nikirudi stay Ablessed.
++
 
Last edited by a moderator:
++
Naanza nawe Mtambuzi,
Asemaye mengi kwa wazi,
Mchache wa maoni kwa nyingine uzi,
Bingwa wa kutoa laiki kwa zako uzi,
Nakupa U-VC MMU.
++
gfsonwin u mwalimu hakika,
Walee Mentor na ladyfurahia,
Wajiunge na ndoa hima,
Wasichelewe ka Madame B na kiplagati,
++
lara 1 hongera kwa mada,
Huna hoja moja ka mzabzab,
Yeye kila mara kugegeda,
Mtembea majukwaa JF na mada,
MziziMkavu yako tuzo
++
Tuzo ya udadisi yako The Boss,
Mwali anakuja juu kwa huo udadis,
Tuzo ya utulivu yako Kaunga
Umetulia ka chit chat na Bishanga
++
Boflo na Bujibuji ka mapacha,
Kwa mada na Id pacha,
Lyamber na Lyagwa hatoacha,
Wanakuja kuwapita.
++
Dark City na Erickb52 wakongwe,
Prisoner na AshaDii mashahidi,
Nivea na Paloma nawasabahi,
Timu yenu nzito ka watu8,
++
Preta na Asnam pongezi,
Hamuishi radha ka Evelyn Salt,
Msiadimike ka Tetra na CHAI CHUNGU,
Mdumu ka stevoh na Zion Daughter.
++
Harus ya Heaven on earth na UNDENIABLE,
Ilindeni Ndoa ka Lisa,
Penzi ni penzi mjue Mtoto halali na hela,
Ikibidi BADILI TABIA utulie ka Blue G,
saudari mpiga picha wa MMU usikose harusi
++
Mashairi bado kinda,
Naenda darasani kwa Rutashubanyuma,
Queen Kan nisindikize,
KOKUTONA nioneshe aliko huyu mshairi,
Sitaki presha life is Short,
Nikakosa tiba kwa Lady doctor,
++
Nitarudi kuhitimisha ushairi,
Kwa member ambao sikuwataja,
Ambao MMU inajengwa na wao.
Bila hao nisowataja hapa MMU isingekuwepo
Mpaka nikirudi stay Ablessed.
++

hahahaaaa....! Thanx Himidin, sikunyingine ukihitaji tiba nione bwana usiwe unajificha
 
Last edited by a moderator:
Hebu vipange vizuri,hivyo vina na mezani
Uoneshe umahiri,kua ni ngwiji wa fani
Huo wangu ushauri,utilie maanani
Kutunga ni kazi njema, sio kazi ya kihuni

Ushairi ni sanaa, kama sanaa nyengine
Inaburudisha sana,wasomaji wasinune
Wenye fani wakina,watakutupa shinene
Kerebisha mwendo wako,usitufanye tunune

Ushairi na utenzi,wote ni baba mmoja
Mashairi yamepenzi,hujengwa na nyingi hoja
Ninatoa pingamizi,siwezi kuvisha koja
Na kama nimekuuzi,msamaha naungoja
 
Hebu vipange vizuri,hivyo vina na mezani
Uoneshe umahiri,kua ni ngwiji wa fani
Huo wangu ushauri,utilie maanani
Kutunga ni kazi njema, sio kazi ya kihuni

Ushairi ni sanaa, kama sanaa nyengine
Inaburudisha sana,wasomaji wasinune
Wenye fani wakina,watakutupa shinene
Kerebisha mwendo wako,usitufanye tunune

Ushairi na utenzi,wote ni baba mmoja
Mashairi yamepenzi,hujengwa na nyingi hoja
Ninatoa pingamizi,siwezi kuvisha koja
Na kama nimekuuzi,msamaha naungoja

Shairi limekaa katika mfumo sahihi wa ushairi, mkuu Himidini njoo upate ushauri ulioitiwa huku jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu lakini umenionea aisee, mbona mie nimchangiaji sana kwa nyingine nyuzi..
kama huamini muulize Paloma au Madame B wananijua vizuri sana

Kweli Babu Mdogo Mtambuzi.
Wewe unagusa nyanja zote, si MMU pekee, mpaka sehemu ingine za ujana mpaka uzee.
Na unacheza na sisi wajukuu wako wa Dar vizuri tu.
Kwa Tanga wanacheza na Babu Mkubwa DC Dark City.
 
Last edited by a moderator:
Mimi silaha yangu kubwa ni Mungu, ndiye ananisaidia kuilinda kwa nguvu zote, siwezi sema eti hanikosei la,ananikosea sana na tena ameshazaa nje ya ndoa sema, mungu akanipa ujasili wa kwenda kuchukua yule mtoto ili nikate mzizi wa fitina , Pia kuwa msikivu na mvumilivi, mheshimu , mpende. Ingawa kuna kipindi anaweza kufanya madudu mpk lile penzi likaisha utamu, ila kunabakia uvumilivu.
Pia usiingie kwenye Ndoa na Mizani Ya EVA, what i mean is that, usifananishe ndoa ya mwenzio na ya kwako, maana kila ndoa ni kama nchi zina utawala wake.
Mengine usiache kumuomba Mungu kila uchao na mawio, kwa kumshukuru , ombea familia yako, muombee mumeo hii inasaidia hata kama anataka kukusaliti anakuwa na huruma na wewe pamoja na watoto wake.

kabla ya hiyo ndoa yako, funga na kusali kwa muda wa siku tatu, na ukiwa unatoa sadaka ili Mungu akupe mume mwema na mwenye kheri na wewe, atakayekujali, kukutunza na kukuthamini. Kama atakuwa muongo harudi tenaaaaaaaaaaaaa!!!! Kwa hiyo mungu atakuwa amekuepusha na mabaya.

kwa ruhusa yako Lisa naomba ni copy huu ujumbe ktk akili yangu,nafikiri ni bonge la ushauri kama ninaoupataga ktk posts/comments mbali mbali za mwalimu wangu gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Hebu vipange vizuri,hivyo vina na mezani
Uoneshe umahiri,kua ni ngwiji wa fani
Huo wangu ushauri,utilie maanani
Kutunga ni kazi njema, sio kazi ya kihuni

Ushairi ni sanaa, kama sanaa nyengine
Inaburudisha sana,wasomaji wasinune
Wenye fani wakina,watakutupa shinene
Kerebisha mwendo wako,usitufanye tunune

Ushairi na utenzi,wote ni baba mmoja
Mashairi yamepenzi,hujengwa na nyingi hoja
Ninatoa pingamizi,siwezi kuvisha koja
Na kama nimekuuzi,msamaha naungoja

^^
Nimekuelewa mahirtwahiri,
Kwa kujawa ujasiri,
Kulikosoa hili shairi,
Mambo mawili fikiri,

La kwanza nakuambia
Ushairi wa Tanzania
Umegawika kitathnia
Kundi la usasa anzia
Wasofata mizani pia
Vina hawataangalia
Ujumbe ndio yao dira.

Wanamapokeo jingine
Shairi lazima liimbike,
Vina Mizani zingatie,
Kwa sanaa lighanike,
Mishororo iwe minne,
Jukwaani lisifiwe.

Upo kundi lipi rafiki,
La kwanza au la pili,
Usasa napenda zaidi,
Ujumbe jambo fahari,
Huo ndo moyo fasihi,
Najidai na digitali,
Analojia nilihama.

Siko peke yangu ujue,
Kezilahabi mwingine,
Mulokozi usimpuuze,
Self Khatibu yuko tele,
Hao wasomi wachache,
Nina mahali pa kusemea.

Sikuzingatia ule ukale,
Amri Abeid na wenzake,
Shaaban Robert yule,
Na misingi yao ya kale,
mahrtwahir nambie,
Upande usimamao we,
Karibu Jukwaani tusaidiane.
^^
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu lakini umenionea aisee, mbona mie nimchangiaji sana kwa nyingine nyuzi..
kama huamini muulize Paloma au Madame B wananijua vizuri sana

^^
VC Mtambuzi,
Mie ni mchokozi,
Nilitaka kusikia sauti,
Unavyojitetea ati,
Nadhani umenipata,
Kunitimua wazo futa,
Chuo Kikuu MMU nataka kudumu.
^^
 
Last edited by a moderator:
Shairi limekaa katika mfumo sahihi wa ushairi, mkuu Himidini njoo upate ushauri ulioitiwa huku jukwaani.

^^
Ushauri nimeuona,
Lyagwa nachokiona,
Mtazamo wake ndugu,
Anataka nifuate kanuni,
Urari wa vina na mizani,
Ni ushairi wa mapokeo,
Lakini mie mwenzio,
Ni mwana usasa,
Nachozingatia hasa,
Ni ujumbe si muwala.
Hapo ndipo ilipo tofauti.
^^
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom