Wasifu wa wana MMU Kuelekea katikati ya mwaka 2013

Wasifu wa wana MMU Kuelekea katikati ya mwaka 2013

nahisi unatafuta wa kufa naye
endelea na yako uzi, itakutoka roho,
pasipo ona shaka wala ajizi,
endelea kujisongeza sehemu isiyokuhusu,
nenda kule siasani ndiko kunakokuhusu
++
Naanza nawe Mtambuzi,
Asemaye mengi kwa wazi,
Mchache wa maoni kwa nyingine uzi,
Bingwa wa kutoa laiki kwa zako uzi,
Nakupa U-VC MMU.
++
gfsonwin u mwalimu hakika,
Walee Mentor na ladyfurahia,
Wajiunge na ndoa hima,
Wasichelewe ka Madame B na kiplagati,
++
lara 1 hongera kwa mada,
Huna hoja moja ka mzabzab,
Yeye kila mara kugegeda,
Mtembea majukwaa JF na mada,
MziziMkavu yako tuzo
++
Tuzo ya udadisi yako The Boss,
Mwali anakuja juu kwa huo udadis,
Tuzo ya utulivu yako Kaunga
Umetulia ka chit chat na Bishanga
++
Boflo na Bujibuji ka mapacha,
Kwa mada na Id pacha,
Lyamber na Lyagwa hatoacha,
Wanakuja kuwapita.
++
Dark City na Erickb52 wakongwe,
Prisoner na AshaDii mashahidi,
Nivea na Paloma nawasabahi,
Timu yenu nzito ka watu8,
++
Preta na Asnam pongezi,
Hamuishi radha ka Evelyn Salt,
Msiadimike ka Tetra na CHAI CHUNGU,
Mdumu ka stevoh na Zion Daughter.
++
Harus ya Heaven on earth na UNDENIABLE,
Ilindeni Ndoa ka Lisa,
Penzi ni penzi mjue Mtoto halali na hela,
Ikibidi BADILI TABIA utulie ka Blue G,
saudari mpiga picha wa MMU usikose harusi
++
Mashairi bado kinda,
Naenda darasani kwa Rutashubanyuma,
Queen Kan nisindikize,
KOKUTONA nioneshe aliko huyu mshairi,
Sitaki presha life is Short,
Nikakosa tiba kwa Lady doctor,
++
Nitarudi kuhitimisha ushairi,
Kwa member ambao sikuwataja,
Ambao MMU inajengwa na wao.
Bila hao nisowataja hapa MMU isingekuwepo
Mpaka nikirudi stay Ablessed.
++
 
umenipayusha weeeeeekend inakuja hahahaahahahah hongera sana kwakutambua uwepo wangu ndani ya mmu na cc uje umtaje HorsePower na SnowBall kwa ushauri na busara zao bila kumsahau twini wangu FP kwa ushauri nasaha snowhite dada wa misuto na Kongosho aka konnie ambaye 89%kila thread mmu yeye huwa wa kwanza kuchangia hata ikiwekwa saa 7.30 usiku hahahaha
 
umenipayusha weeeeeekend inakuja hahahaahahahah hongera sana kwakutambua uwepo wangu ndani ya mmu na cc uje umtaje HorsePower na SnowBall kwa ushauri na busara zao bila kumsahau twini wangu FP kwa ushauri nasaha snowhite dada wa misuto na Kongosho aka konnie ambaye 89%kila thread mmu yeye huwa wa kwanza kuchangia hata ikiwekwa saa 7.30 usiku hahahaha
asante sana twini wangu kwa kunikumbuka. Stay Blessed
 
Himidini nzuri kazi umefanya,
pongezi nyingi wastahili sana,
kwa niaba ya wangu Heaven on earth pongezi pokea,
mm na wangu Heaven on earth japo sio walenga.

ila pongezi lazima kupata,
ndoa yetu hakika tutalinda,
dhamira tunayo na shaka hatuna,
muda ukifika furaha kujaa.

mjumbe natumwa nikuombe jambo,
wangu Heaven on earth aomba jambo,
shairi utunge ndoa yetu hiyooo,
ndoa tutatunza wengi kuona mfano.

uchumba unaisha ndoa yaelekea,
himahima Himidini shairi lisije chelewa,
wangu Heaven on earth ujumbe nimefikisha,
wanaMMU kwa pamoja mbioni yaja ndoa.

++
Ndoa lini ili nijiandae kughani shairi?
++
 
Last edited by a moderator:
nahisi unatafuta wa kufa naye
endelea na yako uzi, itakutoka roho,
pasipo ona shaka wala ajizi,
endelea kujisongeza sehemu isiyokuhusu,
nenda kule siasani ndiko kunakokuhusu

++
Hakika ladyfurahia,
Ukipata unashangilia,
Lakini mbele fikiria,
Kuna kukosa hilo pia,
Mema mie kukutakia,
We na Mentor pia,
Ni kwa salama wazia,
Sikuwa na mbaya nia,
Nashukuru kwa hilo pia.
++
 
Last edited by a moderator:
++
Naanza nawe Mtambuzi,
Asemaye mengi kwa wazi,
Mchache wa maoni kwa nyingine uzi,
Bingwa wa kutoa laiki kwa zako uzi,
Nakupa U-VC MMU.
++
gfsonwin u mwalimu hakika,
Walee Mentor na ladyfurahia,
Wajiunge na ndoa hima,
Wasichelewe ka Madame B na kiplagati,
++
lara 1 hongera kwa mada,
Huna hoja moja ka mzabzab,
Yeye kila mara kugegeda,
Mtembea majukwaa JF na mada,
MziziMkavu yako tuzo
++
Tuzo ya udadisi yako The Boss,
Mwali anakuja juu kwa huo udadis,
Tuzo ya utulivu yako Kaunga
Umetulia ka chit chat na Bishanga
++
Boflo na Bujibuji ka mapacha,
Kwa mada na Id pacha,
Lyamber na Lyagwa hatoacha,
Wanakuja kuwapita.
++
Dark City na Erickb52 wakongwe,
Prisoner na AshaDii mashahidi,
Nivea na Paloma nawasabahi,
Timu yenu nzito ka watu8,
++
Preta na Asnam pongezi,
Hamuishi radha ka Evelyn Salt,
Msiadimike ka Tetra na CHAI CHUNGU,
Mdumu ka stevoh na Zion Daughter.
++
Harus ya Heaven on earth na UNDENIABLE,
Ilindeni Ndoa ka Lisa,
Penzi ni penzi mjue Mtoto halali na hela,
Ikibidi BADILI TABIA utulie ka Blue G,
saudari mpiga picha wa MMU usikose harusi
++
Mashairi bado kinda,
Naenda darasani kwa Rutashubanyuma,
Queen Kan nisindikize,
KOKUTONA nioneshe aliko huyu mshairi,
Sitaki presha life is Short,
Nikakosa tiba kwa Lady doctor,
++
Nitarudi kuhitimisha ushairi,
Kwa member ambao sikuwataja,
Ambao MMU inajengwa na wao.
Bila hao nisowataja hapa MMU isingekuwepo
Mpaka nikirudi stay Ablessed.
++

Hii ni complition bomba, hongera kwa ushairi wako mzuri ulioweza kutumia majina ya watu kwa ufasaha na wengine kwa sifa zao sahihi. Big up mkuu
 
++
Naanza nawe Mtambuzi,
Asemaye mengi kwa wazi,
Mchache wa maoni kwa nyingine uzi,
Bingwa wa kutoa laiki kwa zako uzi,
Nakupa U-VC MMU.
++
gfsonwin u mwalimu hakika,
Walee Mentor na ladyfurahia,
Wajiunge na ndoa hima,
Wasichelewe ka Madame B na kiplagati,
++
lara 1 hongera kwa mada,
Huna hoja moja ka mzabzab,
Yeye kila mara kugegeda,
Mtembea majukwaa JF na mada,
MziziMkavu yako tuzo
++
Tuzo ya udadisi yako The Boss,
Mwali anakuja juu kwa huo udadis,
Tuzo ya utulivu yako Kaunga
Umetulia ka chit chat na Bishanga
++
Boflo na Bujibuji ka mapacha,
Kwa mada na Id pacha,
Lyamber na Lyagwa hatoacha,
Wanakuja kuwapita.
++
Dark City na Erickb52 wakongwe,
Prisoner na AshaDii mashahidi,
Nivea na Paloma nawasabahi,
Timu yenu nzito ka watu8,
++
Preta na Asnam pongezi,
Hamuishi radha ka Evelyn Salt,
Msiadimike ka Tetra na CHAI CHUNGU,
Mdumu ka stevoh na Zion Daughter.
++
Harus ya Heaven on earth na UNDENIABLE,
Ilindeni Ndoa ka Lisa,
Penzi ni penzi mjue Mtoto halali na hela,
Ikibidi BADILI TABIA utulie ka Blue G,
saudari mpiga picha wa MMU usikose harusi
++
Mashairi bado kinda,
Naenda darasani kwa Rutashubanyuma,
Queen Kan nisindikize,
KOKUTONA nioneshe aliko huyu mshairi,
Sitaki presha life is Short,
Nikakosa tiba kwa Lady doctor,
++
Nitarudi kuhitimisha ushairi,
Kwa member ambao sikuwataja,
Ambao MMU inajengwa na wao.
Bila hao nisowataja hapa MMU isingekuwepo
Mpaka nikirudi stay Ablessed.
++

aisee nimeappreciate mkuu pokea like zangu mana kwny simu sina pa kulike, nimeipenda sana
 
Last edited by a moderator:
we una maneno huyo ni wa mtandaoni a.k.a google mi ukiniona live unaweza vunja miguu yako kwa mbio loh no mvuto at all

Hata mwandiko wako nimeupenda, sijui nao utasema ni google. Hivi unafikiri nitakutoa roho!! acha uonevu kwa mtoto
wa Mwanamke mwenzio.
 
Hata mwandiko wako nimeupenda, sijui nao utasema ni google. Hivi unafikiri nitakutoa roho!! acha uonevu kwa mtoto
wa Mwanamke mwenzio.

mbona unalia lia ww..........hebu mkabidhi bahasha kubwa my bro Mentor umsikilizie atasemaje uje uniambie thawa.Halafu Baba V asijue kama unawasiliana na my bro..........nahisi nayeye alipeleka bahasha ikapokelewa tukaingia mitini.
 
Last edited by a moderator:
Bravo . Asante kwa kunimemtion ubarikiwe sana . Unakipaji cha ushairi bro
 
kumbe unaniwazia mema,
yaliyoficha ndani hema,
sikuyatambua la hata vyema,
acha nipokee yaliyomema murua,
niweze shibika kwa hilo tamu
asante laazizi kwa yako ajizi
asante bestito nami najua kughani kidogo shairi umeoneeee!
++
Hakika ladyfurahia,
Ukipata unashangilia,
Lakini mbele fikiria,
Kuna kukosa hilo pia,
Mema mie kukutakia,
We na Mentor pia,
Ni kwa salama wazia,
Sikuwa na mbaya nia,
Nashukuru kwa hilo pia.
++
 
ila chungeni mkewe nimo,
nawaangalia tu kwa macho sawia,
yaliyopimika kamwe hayana chongo,
yametulia hakika mwenyewe akayapenda,
akaamsha bashasha lililotulia undani wake pia,
neno kulitamka bila hata kuona haya,
sasa ananilinda chake cha moyoni pia
ila sitawakataza kwani nyie ndo mamlaka,
nawaasa chungeni kwa mwandani wangu Mentor
mbona unalia lia ww..........hebu mkabidhi bahasha kubwa my bro Mentor umsikilizie atasemaje uje uniambie thawa.Halafu Baba V asijue kama unawasiliana na my bro..........nahisi nayeye alipeleka bahasha ikapokelewa tukaingia mitini.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom