Wasifu wa marehemu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasifu wa marehemu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by actus, Oct 27, 2011.

 1. a

  actus Senior Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema "kinachofuata
  > sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya
  > marehemu tuliyemzika hapa leo. karibu ndugu uliyeandaliwa kwa shughuli
  > hiyo" Msomaji: Ifuatayo in historia fupi ya marehemu tuliyemlaza ktk
  > nyumba ya milele.
  >
  > Marehemu alizaliwa juu ya mti ambapo mzazi wake alijihifadhi baada ya
  > kukimbia mafuriko miaka 26 iliyopita, hakubahatika kupata kazi ya maana
  > japo alisoma mpaka kidato cha tano, aliamua kuacha shule mwaka juzi baada
  > ya kuona elimu haina mpango kwake.
  >
  > Marehemu alikuwa kero kwa familia yake hasa kwa tabia yake chafu ya udokozi
  > wa mboga, uongo, uvutaji ban! gi, ubakaji wa mifugo na baadae ushoga.
  >
  > Mimi binafsi mjomba wake nimefurahishwa sana na kifo cha marehemu huyu

  > kwani alishawahi kunipakazia kuwa nimekufa kwa kipindupindu kiasi kwamba
  > ndugu wote wakakusanyika na kunililia msiba.
  >
  > Mtoto alitutia hasara sana kwani alikuwa mwizi wa vitu vya ndani na pesa!
  > pia tumepoteza gharama kibao kumsomesha lakini aliishia kuwa shoga tangu
  > tarehe 06/04/99.
  >
  > Marehemu hakuugua bali kifo chake ni cha kujitakia kwani kajiua baada ya
  > kukosa nauli ya kwenda Mombasa kuhudhuria onyesho la vikundi vitatu vya
  > mduara.
  >
  > Kwa niaba ya familia, wazazi na ndugu wa marehemu tunatoa pongezi kwa Mungu
  > kwa kutupunguzia kero.
  >
  > Asiilaze roho ya marehemu peponi wala asimpumzishe, kama kuna mkong'oto
  > huko ampe kiaina.
  >
  > AMINA
  >
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ooh..ooh..hapo mwisho, unadhani hata wanaposema mlaze mahali pema ndo anaenda kweli?? Hah haha ha
   
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  amen!
  Ila mtu akifa, tunasahau maovu yake, tunamzika kwa amani.
   
 4. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,710
  Trophy Points: 280
  wapo wanaopambwa na sifa kibao kumbe alikuwa kero...
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapo lazima wapenda kula msibani lazima waage kimya kimya..
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hebu weka na wa Ghadafi..... na Rais fulani siku akifa.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa atakaeweza kusoma risala kwakusema mambo ya ukweli kama hivyo kwa dunia hii ya leo hakuna hata wakupakaziwa ila kwa tpande mwingine imenichekesha
   
 8. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaazi kwei kwei
   
 9. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Aminaaaaa
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  japo kuwa kila nafsi itaonja mauti huyu angewahi tuu hana maana hata kidogo
   
 11. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hii historia ya marehemu haina fitina....mambo yote wamewekwa hadharani
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh,bwabwa hilo.
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tehe, tehe, tehe!
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hakuna wa kukupeleka peponi isipokuwa matendo yako duniani; huwa tunasema hivyo kwa mazoea tu!
   
 15. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Libya sijui ilikuwaje?
   
 16. b

  binally New Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  maovu ya marehem huwa hayasemwi! Japo kawa sumbua sana
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nimeipenda mjomba aliandaa Maneno ya kweli bila unafiki.... Almost PERFECT.... il tu hapo Mwisho mjomba mtu ilitakiwa tu aseme "Mwenyezi Mungu amlaze Marehemu vile atapenda maana hata mie mwenyewe mjombake sielewi kama nitafuzu kupumzika kwa Amani na Kwenda pepo - AMINA"
   
 18. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mhhhh, napita tu
   
 19. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Ni sawa, hata tukisahau maovu yake na kumzika kwa amani, lakini Mungu hasahau na atamlipa kwa kadiri ya matendo yake. Ndio maana inatupasa kuishi kama vile tunakufa sasa hivi kwa kutenda mema na kuishi kwa kadiri ya Mungu alivyotuagiza.
   
 20. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2013
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ifuatayo in historia fupi ya marehemu tuliyemaliza ktk
  nyumba ya milele.

  Marehemu alizaliwa juu ya mti ambapo mzazi wake alijihifadhi baada ya
  kukimbia mafuriko miaka 26 iliyopita, hakubahatika kupata kazi ya maana
  japo alisoma mpaka kidato cha tano, aliamua kuacha shule mwaka juzi baada ya kuona elimu haina mpango kwake.

  Marehemu alikuwa kero kwa familia yake hasa kwa tabia yake chafu ya udokozi
  wa mboga, uongo, uvutaji bangi, ubakaji wa mifugo na baadae ushoga.

  Mimi binafsi mjomba wake nimefurahishwa sana na kifo cha marehemu huyu
  kwani alishawahi kunipakazia kuwa nimekufa kwa kipindupindu kiasi kwamba
  ndugu wote wakakusanyika na kunililia msiba.

  Mtoto alitutia hasara sana kwani alikuwa mwizi wa vitu vya ndani na pesa!
  pia tumepoteza gharama kibao kumsomesha lakini aliishia kuwa shoga tangu tarehe 06/04/99
  Marehemu hakuugua bali kifo chake ni cha kujitakia kwani kajiua baada ya kukosa nauli ya kwenda Mombasa kuhudhuria onyesho la vikundi vitatu vya
  mduara.
  Kwa niaba ya familia, wazazi na ndugu wa marehemu tunatoa pongezi kwa Mungu kwa kutupunguzia kero. Asiilaze roho ya marehemu peponi wala asimpumzishe,kama kuna mkong'oto
  huko ampe kiaina.

  AMINA
   
Loading...