Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,452
- 4,577
Sure!Kweli kabisa
Hata Jakaya alimteua Philemon Luhanjo aliekuwa Katibu Mkuu wake pale Foreign affairs kuwa Chief Secretary, alipostaafu Luhanjo akajipanga kumteua Personal Secretary wake aliekuwa nae Foreign affairs (wakat huo akiwa katibu Nishat na madini) Ndg Jairo akatumbuliwa na Bunge ndipo akaenda kumteua Rafiki yake Balozi Sefue aliekuwa Balozi Washington,
Hata Mwl Nyerere aliteua Poti wake watupu wakat wake akina Apiyo na Mkurugenz wa Mwl Nyerere foundation Mzee Butiku.