Wasifu wa Katibu Mkuu Kiongozi mpya Balozi Mhandisi John William Kijazi

Habari wana jamvi!

Hii habari ya Mh. Balozi Kijazi kupewe nafasi ya Katibu Mkuu nimeipokea kwa mikono 3...! Tafadhali, mwenye CV yake naomba aiweke hapa, tumjue kwa undani huyo kiongozi wetu mpya.

Hana undugu na Bosi wa TANAPA, wanafanana kwa mbaali. Hakika Mzazi wao alizaa majembe. Hongera kwao na wake zao na watoto zao...!
 

Attachments

  • 1457275034370.jpg
    1457275034370.jpg
    42.1 KB · Views: 318
Mungu Mkubwa Aende Kufanya Kazi Asiwe Kama Huyu Aliyetumbuliwa Maana Binadam Hakosi Mapungufu
Maana Jpm Alisema Ukifukuzwa Ndiyo Ukafanye Sherehe
 
Miundombinu mibovu hii tunayolilia kila siku. Sijuhi kama ikuru iko salama
Ikuru ni nini kwanza?

Yaweza kuwa mibovu ila sidhani ni 100%, hakuna kilichokikamilifu chini ya jua, lakini wakati mwingine siasa nazo zinatoa picha isiyo sahihi au informers wanamisinform, mfano juzijuzi hapa mkuu kalalamikia barabara za bariadi kuwa ni gharama kubwa na kuna harufu ya ufisadi lakini PM ameenda juzi na kutambua kuwa kazi pale ni kubwa tofauti na picha inayojengwa hivyo tusiwahukumu maEngineer bila uthibitisho maana sometimes ni siasa
 
Ikulu ipo chini ya Mikono salama ya Ma Engineer!
Ikulu sasa ni maabara na pia ni karakana. Kwa taaluma za hawa jamaa naiona Tanzania ikiwa imekarabatiwa sana, kila kitu kinaenda sawasawa.

Eti wengine walitaka Ikulu wampe msanii, kweli? Pawe panachezwa disco za kimasai za kurukaruka. Watz waligoma, kapewa injinia, hapa kazi tu.
 
Karibu Civil Eng walikuwa na JPM kama katibu wake miaka ya nyuma so atakuwa anatambua mchango wake kwenye kazi.
Sasa ikulu ni mwendo wa Eng less words kazi zaidi blah blah unawekwa kando
 
Ikulu sasa ni maabara na pia ni karakana. Kwa taaluma za hawa jamaa naiona Tanzania ikiwa imekarabatiwa sana, kila kitu kinaenda sawasawa.

Eti wengine walitaka Ikulu wampe msanii, kweli? Pawe panachezwa disco za kimasai za kurukaruka. Watz waligoma, kapewa injinia, hapa kazi tu.
Umesahau kuwa CCM wote ni wasanii?Hata Magufuli analazimishwa na chama kuwa na hiyo fani I'm so sorry to think aloud....
 
Naomba nipatiwe taarifa sahihi ili niweze ku-connect au ku-disconnect dots.Kuna mtu kanitonya hivyo
 
Uteuzi wowote ule lazima uwe unamjua fika uyo unayemteua hasa kwa nafasi nyeti kama iyo kama ulishawai fanya nae kazi somewhere inakuwa njema zaidi kuliko kuleta mtu ambaye hujawai fanya nae kazi unaweza kuja kuwa embarrassed mbele ya safari
 
Back
Top Bottom