Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 119,559
- 142,332
Magufuli na assistant kijazi
wakati wa kuanza ujenzi wa daraja la kigamboni wakati huo waziri wa ujenzi akiwa magufuli na katibu mkuu ujenzi akiwa kijazii
walipinga kwa nguvu zote gharama za uanzishwaji wa mradi huu...
kwa kuwa walizidiwa nguvu na wakina sefue na jk
kikwete akaamua kumuamisha wizara magufuli na kumpeleka ujenzi
na kijazi... akawa balozi india
siku chache baadae zabuni ikapitishwa na kampuni CRJE wakashinda zabuni...
figisu figisu zikawaondoa wizara ya ujenzi Magu na kijazi...
haya sasa staring anakuja kulipa kisasi kamludisha jamaa ake nchini na kuchukua nafasi ya aliekuwa bosi wake usijeshangaa omben anakuwa balozi india yaani rafiki wako mkubwa ni rahisi kuwa adui na adui wako mkubwa ni rahisi kuwa rafikiau wadhungu wanasemaga from.hero to zero.or zero to hero