schlumberger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 890
- 350
Usituhukumu bure. WAHA TUNA AKILI SANA. NIKIKUONYESHA PERFORMANCE YANGU SHULENI UTAKIMBIA.Waha ni nature, na vinyongo ndo wenyewe.
Don't assume. Waha wana roho mbaya, wachawi, vinyongo ndo penyewe. Ubishi ndo balaa!
Usituhukumu bure. WAHA TUNA AKILI SANA. NIKIKUONYESHA PERFORMANCE YANGU SHULENI UTAKIMBIA.
NINACHOJUA KUHUSU DADANGU NDALICHAKO NI KUWA "ALIFELI FORM SIX PALE TABORA GIRLS SECONDARY SCHOOL"! SASA KUHUSU ALIVYOENDELEA MIMI SIKUFUATILIA.
HahahahaMimi kuna mmoja alipata div 4 ya 31 form four , eti nae kagraduate degree kule TIA . Ila sasa yaani huwa wanachanga hela wanampa lecturer ili awafaulishe . Yaani ni vi la za mpaka walimu wao . Joyce acha ainyooshe elimu .
Acha uongoNape waanze nae aliunga unga sana elimu
Tupe mrejesho basi ww c umefikaNadhan ww ujawai ata kufka kigoma ,ungeenda ungerudisha mrejesho
Jesca naye afutwe basiHajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki
Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree
Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu
Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa
Chuki binafsi hizo hazifai, ivi ww ni kabila gani, kwa jinsi unavyojibu tu unaoneka we unaroho sana, maneno yako yanareflect jinsi ulivyo, kwa sababu sehemu inayoongoza kwa matukio ya kuuana na matukio ya ajabu ajabu ni musoma, shinyanga, mbeya huko kwa hiyo na wenyewe tuwahesabu wana roho mbaya au roho mbaya ni ipi nijuzeKwa hiyo mnavosemaga wachaga hivi au mhaya vile mbona huwa sioni comments za mazingira mtu aliyokulia but general?
Tu generalize na hili kabila pia, 75% tabu tupu.
Walikufanya nini, anzisha thread yako inayohusu waha walichokufanya, kama uliwaibia watakuwa walikukomeshaMi siko kuchangia cv ya huyo Ndalichako! Hanihusu simhusu apite kushoto.
Niko kuchangia comment moja ya waha &
God Forbid!
Sitaki muha hata wa awe na hela kuliko jayz na beyonce!
Hajafuta diploma to degree umemuelewa vibaya kiongozi na wala CV yake hapo haihusiki
Kama umesoma diploma kwa ufaulu mdogo kidato cha nne hutaruhusiwa kusoma degree hadi upate alama zitakazo kuwezesha kusoma degree
Mi nadhani anasimamia viwango vya ubora wa elimu
Haiingii akilini una division 4 alafu una degree haviendani kabisa
Watoto hawa Njuka,first year wamekuja na Nepi wanataka kuhoji Credibility ya Ndalichako?
Hivi ninyi watoto mnajielewa kweli nyie!
Yesu awasaidie
Ukishindwa kuishi na msukuma huwezi kuishi na kabila loloteinaonekana alikukera sana huyo binti huenda ikawa alikuwa msukuma akasingizia ni muha ajichukulie point
Hivi huna habari kuwa ameshafutwa?Jesca naye afutwe basi
Mmh! Hatareeee!tunasifiaga ujinga,To,to bongo!!!magumashi tu.Wataalam wa sayansi na hisabati tulishawazika,km. akina Newton,Avogadro,Faraday,Arrhenius,N.k wengine ni maboga tu.
acha watukane boss wanapoteza muda wao wa kujiandaa kurudia mtihaniUtatukanwa, usilalamike
Kuna watu wanapata four olevel afu wanapiga certificate mpaka degree ufaulu unakua wa hali ya juu sana olevel elimu ya kukalili iyo isifanye mtu kukosa degree kama certificate na diploma ana first classUkiona ulipata 4 O level halafu una degree inaleta mashaka juu ya ufaulu wako! Hayo ndiyo huyu mama hataki. Mimi binafsi sijaona alipo kosea. Tukipata wasomi waliokidhi viwango ni fahari ya Taifa.
Majimarefu naye ni profesaNi Profesa bado unataka cv ya nini?unafikiri kusoma sana ni kuondoa ujinga??