Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Huajwahi kukutana na watu ambao siku zote wako vizuri ila kipindi cha mitihani au wakati wa maandalizi wanakutana na ugonjwa unaowafanya aashindwe kufanya vizuri hiyo mitihani?
Hiyo ni exceptional case idadi ya hao wasomi wanao zungumzwa na mama huyu sidhani kama walipatwa na haya matatizo uliyosema.
 
Mmeombwa CV mmerukia kwenye kabila...
Wengi hamna hoja ni kejeli tu dhidi yake.
Ngoja atunyooshe maana tulizidi ujanja kwenye elimu.
 
Basi waundeleze ukipanga katika mabadiliko ya sera ya elimu
Ndio anachofanya, unapokuwa na uelewa wa juu unajua mambo mapema kabla ya wenzako, hivyo nikawaida kupigwa, ila wanaoenda taratibu ushtuka tayari mambo yashaaribika, na ndipo ukumbuka kumuunga mkono waliyempiga awali
 
Mada inahitaji cv nyie mnaleta longolongo, halafu mnajiita great thinkers!
 
tafadhari me ni muha usiseme hivo sisi watu safi sana
Mimi ninafanya kazi na waha 4. Kwa kweli kila waposafiri kwenda kwa huku tunabaki matumbo joto. Tunakuwa kama tuna wa rearch wapo kama amesafiri ameenda wapi? Tunatamani tuwafungi Blutusi ili kila walipo tujue. Wanatabia ya kutoaga hata kama anaenda mbali(nje ya nchi).
 
Kama kweli hukujengwa kubeza mtu, una mapungufu ya kujenga sentensi zako.
 
Kama kweli hukujengwa kubeza mtu, una mapungufu ya kujenga sentensi zako.
 
Ahsante!
ila MPhil ni masters of Philosophy!
halafu acha upambe, kama tabora girl anaenda mtu wa kwanza kitaifa tu ina maana alisoma mtu mmoja kwa mwaka? au kuna mataifa mangapi ndani ya Tanzania!
kusoma special school bado sio issue!
matokeo yake yalikuwaje, O-level na A-level! yaani scores zake zilikuwaje?
unafahamu lolote ktk hilo?
labda tukumbushane kitu, wasomi wengi wa miaka ya nyuma hawakuwa na ufaulu wa juu sana ingawa walikuwa na uelewa mzuri ktk elimu/taaluma zao! vitu kama As za biology, maths, economics kwa A-level zilikuwa nadra sana hadi miaka ya late 90s ndipo vijana wakawa wanagawana As! point 7 au 3 O-level na A-level respectively hazikuwepo, vijana wa sasa nao wanastahili heshima zao!
usishangae O-level Prof akawa labda na A moja ya Kiswahili na A-level makalai matupu!
 
Kaka hilo linahitaji pesa za kigeni kilihakikisha?kwa ule mfano wa wakurya kuwa wajasiri na wakatili unahitaji nn kuthibitisha naongea hv nikiwa Mkurya halisi kuanzia wanawake mpaka wanaume wote ni jasiri hujawahi sikia mama wakikurya amepambana na majambazi yenye silaha na kufanikiwa kuwapora na kuwadhibiti?hujawahi sikia kijana wa kikurya amejitahiri mwenyewe?unafikiri kwanini tarime serikari iliahamua kuwa kanda maalumu ya kipolisi ?Hv unahitaji kwenda Shule kuhakikisha kwamba wachaga na wakinga ni wafanyabiashara maarufu Tanzania Basi hizi ndio tunazohita Sifa za jumla zaweza kuwa mbaya au nzuri!
 
Nasubiri akujibu..

 
Huyu mama nawagi sana, namfaamu na kaka yake Rev Fr Ndalichako, very bright. Nilikutana nae Israel pale Galilaya enzi hizo bado nina meno. Ni mbobezi sana wa hesabu. Mama ainyooshe Elimu tu bila kujali kusikia sauti ya wasiojitambua...twende kaziiiii
Bado upo karne ya tatu wewe! Elimu hainyooshwi kienyeji mkuu ni lazima kunyoosha huko kuwe na positive impact sio kunyoosha tu ilimradi uonekane unanyoosha wakati hakuna matunda yeyote baada ya kunyoosha. Dunia imebadilika haija simama tangu ujio wa mitume
 

Soudy brown ni nani ndugu asikataliwe? Duh!
 

Acha kujichanganya, Hizo A unazoongea sasa zinaweza linganishwa na ubora wa hao wa awali. Tabora Boys and Girls alienda mtu wa kwanza kiwilaya, Zanzibar alitoka mmoja tu kimkoa, hivyo darasa lilikuwa na watu 105 Enzi hizo. Elimu ya miaka ya 1980's na kuishia 1990's inatofauti sana, nenda kaudhurie interview ndio utajua hizo A wanazopata zinamaana gani.
 
A ya NECTA haina umri ni A tu mwaka wowote!
yes mazingira yalikuwa tofauti sana!
usijidanganye, tofauti ni kuwa sasa kuna spectrum kubwa sana ya wanafunzi!

wapo hao wenye A zao ambao wako extremely good na wapo vil.aza!
cohort ya kila Ndali haikuwa na spectrum kubwa sana, waliofaulu ndio haohao tu waliokuwa wanapatikana ktk masoko (interviews)! kwa sasa unawapata wote na ndio maana utaona vil.aza pia!

lakini pamoja na yote, hivi prof. Ndali, Tiba, Lipumba wewe unaona wamefanya wonders gani ktk nafasi walizokuwa nazo kiasi cha kuwaona kuwa ni wazuri na taaluma zao zina msaada tofauti na za hawa watendaji wenye degree za leo!
 
Hasiyefahamu maana ngumu kuelewa maana, kama bado unafikiri ubora wa elimu ya mpaka 1990's mwishoni product ni sawa, endelea kupiga propaganda humu. Elimu ipo ICU, pitia post za vijana wa leo wanawaza nini na wanavyoargue utapata jibu, hakuna haja ya kupoteza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…