Wasifu (CV) ya Patrobas Katambi

Wasifu (CV) ya Patrobas Katambi

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
3,933
Reaction score
2,805
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaidi ya hapo simkumfuatilia kwa ukaribu Tena

---

3. Paschal Katambi Patrobas - Mbunge wa Shinyanga

Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Elimu ya Msingi: Alianza masomo yake katika Mwenge Primary School, ambapo alihitimu mwaka 1999 kwa kupata Cheti cha CPEE (Certificate of Primary Education).

Elimu ya Sekondari: Aliendelea masomo yake katika St. Mary's Nyegezi School ambapo alipata Cheti cha CSEE mwaka 2004. Baadaye alijiunga na Malangali High School kwa masomo ya kidato cha tano na sita, na alipata Cheti cha ACSE mwaka 2007.

Elimu ya Juu: Alipata Bachelor’s Degree in Law kutoka St. Augustine University of Tanzania mwaka 2011, na Master’s Degree in Law mwaka 2013. Alimaliza mafunzo yake ya uwakili kwa kupata Diploma ya Uzamili ya Uwakili kutoka Law School of Tanzania mwaka 2017.

Afisa Sheria Msaidizi: Alihudumu kama Afisa Sheria Msaidizi wa kujitolea katika Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) mwaka 2011.

Mkuu wa Idara ya Sheria: Alifanya kazi katika Sahara Media Group Ltd kama Mkuu wa Idara ya Sheria kuanzia mwaka 2011 hadi 2015.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma: Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mwaka 2018 na alihudumu hadi 2020.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu: Aliingia serikalini kama Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2020.
 
Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii

Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena

Huyo ni Afisa Kipenyo wa teeth kitambo Sana, CV yake utaikuta Teeth zaidi kuliko huku uraiani
 
Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii

Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
Kawekwa kwa mda ili.kuweza kumtafuta waziri sahihi hana ubavu wa kuongoza hiyo wizara
 
Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii

Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
Anaitwa petrobas katambi sio parabas, Mama kanyaga twende mbele Kazi Kazi.
 
Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii

Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
Ana shahada ya sheria na alikuwa mwanasheria wa star tv
 
Atakuwa na CV gani ya maana zaidi tu ya uchawa, usinitch, na fitna za hapa na pale. CHADEMA walijichanganya sana kipindi kile kwa kumpa mamluki cheo cha uenyekiti Bavicha.
1.Bachelor of Art in Education (SAUT)
Aliwahi kuwa Rais serikali ya Wanafunzi SAUT
Ni Usalama wa Taifa (TISS)
Alisaidia Kwa kiasi kikubwa kutoa siri za CHADEMA Kwa serikali na kufanikisha kutekwa na kuuawa Kwa baadhi ya wanachama.
 
Mtu mijino michafu kama anakula mavi ya ng'ombe
GhfJRpEacAEgTRK.jpeg
 
Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii

Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
Pale BAVICHA alikuwa anafaa?
 
Back
Top Bottom