Wasifu (CV) ya Patrobas Katambi

Wasifu (CV) ya Patrobas Katambi

Ina maana TISS assets ndio vil.aza hivi? Huyu jamaa amewahi achieve jambo gani popote pale? Hata siasa za majukwaani hawezi, utendaji hawezi, usimamizi nao umemshinda.

TISS kuna mediocre wengi sana

Mkuu mediocre mbona tangu kichwani kabisa? Serikali nzima inasikitisha tu.
 
Ina maana TISS assets ndio vil.aza hivi? Huyu jamaa amewahi achieve jambo gani popote pale? Hata siasa za majukwaani hawezi, utendaji hawezi, usimamizi nao umemshinda.

TISS kuna mediocre wengi sana
Kwa CCM kigezo cha kua TISS sio lazima uwe na Akili.. usisahau hilo
 
Ilikuwa lazima suala muda tu baada ya kufanya kazi maalumu kule chadema analipwa, ila kapewa wizara ya jumba bovu
 
Hii wizara ni nyeti sana uyu jamaa awezi kudumu miez 6 iyo nafasi atakuja kukaa makonda izo sarakasi zote ni kwajiri ya makonda
 
Ukweli kwenye siasa uchawi upo. Huyu jamaa huwa sioni anafanya nini kwenye uwaziri
Nasikia yupo kwenye UTISS toka kitambo, na humu Kuna mtu aliandila juzi.au jana kuhusu kuvuja Kwa barua ya DGIT jina la huyo kuwemo
 
Huyo ni Afisa Kipenyo wa teeth kitambo Sana, CV yake utaikuta Teeth zaidi kuliko huku uraiani
Alisomea lini hiyo taaluma wa "dental surgery" mbona kwenye Cv haionyeshi mwaka wowote aliyokwenda kwenye mafunzo hayo ya " dental" ? au idara hiyo unaweza kuwa "tabibu"bila mafunzo?
 
Atakuwa na CV gani ya maana zaidi tu ya uchawa, usinitch, na fitna za hapa na pale. CHADEMA walijichanganya sana kipindi kile kwa kumpa mamluki cheo cha uenyekiti Bavicha.
Dj wa kumlaumu, akiona shilingi haachi kitu alikiuza sana chama
 
Ukute amewekwa hapo Kama gelesha tu watu wana target zao. Malawi kila kitu kinawezekana
 
Ukute amewekwa hapo Kama gelesha tu watu wana target zao. Malawi kila kitu kinawezekana

Huyu mama mbona predictable sana? Hizi sarakasi tu anatazama upepo lengo ni kumpa makonda tu huo mzigo, zingine zote sanaa tu kutazama reactions za masisiemu mengine
 
Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii

Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena

---

3. Paschal Katambi Patrobas - Mbunge wa Shinyanga

Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Elimu ya Msingi: Alianza masomo yake katika Mwenge Primary School, ambapo alihitimu mwaka 1999 kwa kupata Cheti cha CPEE (Certificate of Primary Education).

Elimu ya Sekondari: Aliendelea masomo yake katika St. Mary's Nyegezi School ambapo alipata Cheti cha CSEE mwaka 2004. Baadaye alijiunga na Malangali High School kwa masomo ya kidato cha tano na sita, na alipata Cheti cha ACSE mwaka 2007.

Elimu ya Juu: Alipata Bachelor’s Degree in Law kutoka St. Augustine University of Tanzania mwaka 2011, na Master’s Degree in Law mwaka 2013. Alimaliza mafunzo yake ya uwakili kwa kupata Diploma ya Uzamili ya Uwakili kutoka Law School of Tanzania mwaka 2017.

Afisa Sheria Msaidizi: Alihudumu kama Afisa Sheria Msaidizi wa kujitolea katika Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) mwaka 2011.

Mkuu wa Idara ya Sheria: Alifanya kazi katika Sahara Media Group Ltd kama Mkuu wa Idara ya Sheria kuanzia mwaka 2011 hadi 2015.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma: Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mwaka 2018 na alihudumu hadi 2020.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu: Aliingia serikalini kama Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2020.
Kijana pia kahudumu Ofisi ya Rais hili ni siri wewe huwezi kujua
 
Hii wizara ni nyeti sana uyu jamaa awezi kudumu miez 6 iyo nafasi atakuja kukaa makonda izo sarakasi zote ni kwajiri ya makonda
makonda na habari, utamaduni,sanaa na michezo wapi na wapi? Hiyo wizara ya mambo ya ndani ni ya makonda ndiyo inamfaa, ana hulka nayo, ni mbabe
 
Atakuwa na CV gani ya maana zaidi tu ya uchawa, usinitch, na fitna za hapa na pale. CHADEMA walijichanganya sana kipindi kile kwa kumpa mamluki cheo cha uenyekiti Bavicha.
Siku Lissu akikihama chama mtamtukana sana. CHADEMA hamjawahi kuheshimu ya haki ya mtu yeyote akiwa na mtazamo tofauti. Mnatukana yeyote aliye kinyume na nyie.
 
1.Bachelor of Art in Education (SAUT)
Aliwahi kuwa Rais serikali ya Wanafunzi SAUT
Ni Usalama wa Taifa (TISS)
Alisaidia Kwa kiasi kikubwa kutoa siri za CHADEMA Kwa serikali na kufanikisha kutekwa na kuuawa Kwa baadhi ya wanachama.
Amesoma Sheria ni college mate wangu. Ni mtu ambaye Yuko straight Hana konakona. Huo Utiss ni nyie mnasema ila hakuwa huko
 
Ina maana TISS assets ndio vil.aza hivi? Huyu jamaa amewahi achieve jambo gani popote pale? Hata siasa za majukwaani hawezi, utendaji hawezi, usimamizi nao umemshinda.

TISS kuna mediocre wengi sana
Mtu hadi kaingia ndani ndani kabisa ya chama(mwenyekiti bavicha),Yaani kaaminika na chama cha upinzani kama chadema,halafu unasema ni kilaza,kilaza aliwezaje kupita hadi kuchukua nafasi ya juu ndani ya chadema!
 
Back
Top Bottom