Wasifu (CV) ya Patrobas Katambi

Wasifu (CV) ya Patrobas Katambi

Mtu hadi kaingia ndani ndani kabisa ya chama(mwenyekiti bavicha),Yaani kaaminika na chama cha upinzani kama chadema,halafu unasema ni kilaza,kilaza aliwezaje kupita hadi kuchukua nafasi ya juu ndani ya chadema!
Hakukuwa na strong candidates kabisa ugombea uenyekiti. Ingekua ile BAVICHA ya kina Heche, Kafulila, Mnyika na Silinde asingetoboa!!

Hata kura za maoni 2015 mbona aliangushwa!! Hakua na impact hiyo ndani ya Chadema.

Mtu ambaye ningeweza kuhisi ni TISS ni walau Silinde maana alikua smart and composed. Huyu kil.aza labda kama ni TISS kweli basi it says a lot kwanini nchi bado maskini mwaka wa 60 sasa
 
Siku Lissu akikihama chama mtamtukana sana. CHADEMA hamjawahi kuheshimu ya haki ya mtu yeyote akiwa na mtazamo tofauti. Mnatukana yeyote aliye kinyume na nyie.
Lissu atahama chama kwenda wapi? Unafikiri ananunulika kirahisi eeeh!! Utasubiri sana.
 
Back
Top Bottom