Ndyo nini icho au bado unatype?Anaitwa Daudi
Hawamalizagi hawa ....kirahisi wakazi wa "maeneo " ya k/nyama choma!!Alipataga GPA ya 2.9 kwa kusaidiwa pale muccobs baada ya kufeli na kurudiarudia mana alikuwa hamalizi
Wewe nae uachage kujipendekeza aisee jibaba zima ulipaswa uwe na familia sasa hivi unaishia kuwa kuwadi tu na mpambe kazi kuomba kupiga picha na wadada wa mjini tu kwenye sehemu za starehe,kuwadi mkubwa ww- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Wote wametenda makosa.... wa unga na wa vyeti feki...Acheni! hizo tupambane na wauzaji sumu za kulevya!
Hizi haziwezi kuachika ghafla hivyo ... tujue!!! ni muhimu kwa mustakabali wa mbele ... haiwezekani ... hili ni muhim sana kwa sasa kuliko hata hizo sumu za kulevya ...Acheni! hizo tupambane na wauzaji sumu za kulevya!
Acha kutetea upimbi ww ...kwnn uhukumu wenzio kwa kuto kuvaa viatu angali ww mwenyewe uko peku??Unafiki Wa watanzania.....juhudi zake ndo zimemfikisha hapo ikumbikwe miaka ya zamani watu walikuwa na tabia ya kurudia darasa la saba ili wapate nafasi ya naenda kidato cha kwanza!! Unakuta mtu akiamua kurudia darasa la sita au la saba Mara nyingi Mwl Mkuu alikuwa akiwapatia majina ya wanafunzi walioacha kazi na mtu anapopewa lile jina urudia shule!! Na kama atafanya vyema na kuendelea utasema ye ni jipu!! Tuache unafiki Wa ki****
Nafkiri kuna kitu umekosea hapa ... issue sio kurudia shule kwa jina lingine kisha kumaliza shule na kutunukiwa cheti kwa jina jinginr hapana ... issue hapa ni Kununua Vyeti baada kumaliza shule bila ya kutunukiwa cheti kwa sababu ulifeli sawa!!!Unafiki Wa watanzania.....juhudi zake ndo zimemfikisha hapo ikumbikwe miaka ya zamani watu walikuwa na tabia ya kurudia darasa la saba ili wapate nafasi ya naenda kidato cha kwanza!! Unakuta mtu akiamua kurudia darasa la sita au la saba Mara nyingi Mwl Mkuu alikuwa akiwapatia majina ya wanafunzi walioacha kazi na mtu anapopewa lile jina urudia shule!! Na kama atafanya vyema na kuendelea utasema ye ni jipu!! Tuache unafiki Wa ki****
Ujue uvccm hawana marinda kwa sababu hiyoWewe nae uachage kujipendekeza aisee jibaba zima ulipaswa uwe na familia sasa hivi unaishia kuwa kuwadi tu na mpambe kazi kuomba kupiga picha na wadada wa mjini tu kwenye sehemu za starehe,kuwadi mkubwa ww
Ha ha ha haaaa!!! .... ukizangitia RC ni nafasi nyeti sana ... hili sio la kuachwa jamani ni bora tuweke pembeni habari ya sumu za kulevya tumalize hili kwanza ...Acha kutetea upimbi ww ...kwnn uhukumu wenzio kwa kuto kuvaa viatu angali ww mwenyewe uko peku??
Sitaki kuamini kua mkoa wa DSM unaongozwa na mbabaishaji kielemu na kitaaluma ... hili likithibitika nt aomba mkurugenzi Usalama wa taifa awajibike ....Nimekuta sehemu kuwa inasemekana Daudi Albert Makonda alinunua vyeti vya mtangazaji Paul Christian Kagezi.
Kwa wale waliosoma naye primary na secondary hebu tujulishe. Ni kweli hapo nyuma Alikuwa akiitwa Daudi Albert Christian Kagezi ila alipopata division 0 ndyo akanunua cheti?
Wale pia mliosoma naye chuo vipi uwezo kitawake wa darasani?