Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Huu uzi umeanzishwa mwaka jana toka uanzishwe na unaendelea Mwaka huu bado atujapata cv ya mkuu wa mkoa ambayo mleta mada alileta wakati ni mkuu wa wilaya duuu kumbe kuna cv nyingine ngumu kupatikana.
mkuu ukiona hivyo ujuee elimu ya hapo ni ya kuunga ungua2,.......
kutoka QT had chuo......mbna za kina mnyika ziko open........
CCM hamna kitu
 
Daudi Bashite alipata zero kabisa haya mambo ya makondakita sijui yalitoka wapi
 
Watakuwa wamekosea kwani baada tu ya makonda kuingia kinondoni ndio upinzani ukachukua hiyo wilaya sasa kapewa mkoa basi tena uchaguzi ujao dsm yote inaenda upinzani

Siasa za Tanzania zimeundwa upya na nchi itabadilika. Magufuli has turned the entire political dynamic in Tanzania upside down. Uchaguzi ujao Dar yote itarudi aliko Magufuli. Siipendi CCM lakini nampenda Magufuli. Na tuko wengi sana wa hali hiyo.

Masikini CHADEMA. They no longer have a narrative. They used to have the moral high ground but they lost that when they embraced Lowasa.
 
Hata ungeandika kilugha cha kwenu ungeeleweka,unafikiri hicho kidhungu ndio utapata zile nafasi 46?bythe way wewe ni nani ktk nchi hii ya watanzania 48m?wewe ni kayabo tu
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Nipe CV ya msemaji wa wabunge wa ccm Livingston lusinde au cv Profesa maji marefu , wewe Le mutuz Cv yako ni upambe Kwa Devis Mosha na kujipendekeza Kwa akina Nape .wenye cv akina Makonda mbona walifuta viatu vya Riz ? CV Za Mwakyembe zilimnunua mabehewa mabovu , akina Tibaijuka , mwandosya , Kapuya , mbilinyi, ngereja, chenge , werema, wenye cv zao wamelifanyia nini Taifa hili ?
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
cv yako ni upambe na ukuadi kukesha kwenye bar , hotel na kupiga mizinga huku ukiwaharibu mabinti under 16 kwenye school bash .
C
 
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.

Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
CV kubwa ya Makonda ni kumpiga Mzee Warioba , pili kupiga picha na makamu wa Rais, tatu kufuta viatu vya Riz, Nne kujipendekeza Kwa wakubwa, tano kununuliwa na Membe akatumika kumtukana Lowasa .
 
- hahahahaha nilidhani tatizo lenu ni Makonda kumbe na mimi hahaha nifungulie thread basi hii ni ya makonda mimi sijaomba kuwa DC wa Mufindi hahahaha I love downtown nina nafasi 3 ndani ya CCM Taifa zinanitosha leo jioni Skylight Thai Village hahahah kama kawa sitaki kazi ya kuniharibia my lifestyle hahaha tulia sasa mtapigwa tu Kinondoni hahaha

Le Mutuz
Lifestyle ya upambe Kwa Devis Mosha ? Kukesha kwenye bar kuomba bia? Kubwa jinga bado unaishi Kwa wazazi huwezi nunua hata shuka ? Bado Asubuhi unaenda kugonga dirishani kusalimia wazazi , fanya mazoezi upunguze mafuta kwenye ubongo kunenepeana sana kumeathiri Akili zote zinaelelea kwenye mafuta .
 
Le Mutuz nahisi bwabwa. Maana nikiangalia body lake na matendo yake haviendani,Hv huko kwenye danguro lenu la CCM una cheo gani vile?
Cheo cha Le mutuz ni upambe na story Za kijinga jinga tu.
 
- Ungweka CV za Sugu na Mwenyekiti wako kwanza ndio uulizie za CCM hahahahaha au huwezi nikusaidie? hahahah

Le Mutuz
lete CV ya Lukuvi ? Wapi Cv ya Profesa maji marefu , Kibajaji , na ya mama yako mkuu wa mkoa wa shinyanga , kubwa jinga wewe fanya mazoezi upunguze mafuta kwenye ubongo . cv za akina chenge, Tibaijuka , Kapuya, msabaha, kagasheki , werema nk zimetusaidia nini Kama Taifa ? Wapi cv ya Kinana? Lete cv ya Ole sendeka ? Lete cv ya Mzee mangula ? wewe unajidai Msomi lakini wenye Elimu ya darasa la pili wamekupa Kwa kila kitu .
 
- Mimi nakula batazzz na wabebezz wakareezzz mambo ya UDC wa Njombe sio yangu maaan hahahahah U know

Le Mutuz
Bata zipi unakula? Huna kazi wala biashara zaidi ya Upambe Kwa Devis Mosha , kutwa kuzunguka zunguka kwenye mahoteli na bar kupiga mizinga huna lolote.
 
Kwanza unatakiwa kufahamu kwamba Makonda anawizidi Elimu watu wafatao!
-Slaa
-Mbowe
-Lema
-Sugu
-Msigwa
-Mnyika
Lukuvi, kibajaji, Profesa maji marefu, kange lugoe, Kinana , ole sendeka, mangula, na viongozi wote wa ccm wote.
 
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.

Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Acha Ujinga Acha Ujinga pumbafu Wee Wasifu WA Mwanaume Mwenzako WA nn sasa?
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Hua sijuw tofaut ya sepetunga na huyu mzee....wote wanashobo na washua wenye madaraka au pesa...
 
Back
Top Bottom