Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!

Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.

Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?
Za kichina au?
 
Dr Slaa udokta wake hauna na hauwezi kuwa na tija kwa taifa ..Kimsingi Dr slaa ameishia kidato cha sita..elimu ya dini inatija kanisani tuu!
Endelea kumponda dr wako wa mihogo ila jiangaie hicho kibarua chako cha kufagia hapo ofisini lumumba kisiote mbawa
 
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba nafasi ya uteuzi ya Paul Makonda ni ya umma. Mleta post ameona ni vyema kupata wasifu wake,kama ambavyo raia yoyote angeomba ajuzwe. Nafikiri siyo namna nzuri ya kujibu,tukiendekeza political sentiments tutashindwa kuhabarishana masuala.

You know......
Huyo ndiye mtoto wa waziri mkuu mstaafu,aka kk
 
1.Aliwahi kuwa waziri mkuu -MUCCOBS
2. Alipiga hela za wanafunzi ikapelekea kuzuia sherehe za kukaribishana wanafunzi
3.Hajawahi fanya assignment akiwa chuo ila alifanyiwa na frnds zake kama Edy+ Ino akiwaahidi kuwatafutia kazi wakimaliza chuo
4. Aliwahi kumtishia kumpiga dean wa chuo (mrs nk) endapo angeendelea kumzuia kutimiza tamaa zake za kimadaraka.
5.Alijitahidi kukuza chama cha CCM MUCCOBS(nampongeza sana kwa hili),
6. Aliwaahidi wana ccm wote muccobs kupewa kazi nzuri wakimaliza chuo(hope atatimiza hili sasa bila ubishi)
7. Makonda oyeeeeeee

Nimesoma ni katafakari ile hutuba yake ya juzi ...there iz alot in cvr

Wenye akili hutambua kitu...
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Huwa nasikia watu wakisema tu. Kumbe ni kweli wewe le mutuz kichwa chako hovyo kbs. No wonder ktk umri huo uko hivo ulivo
 
- Mimi nakula batazzz na wabebezz wakareezzz mambo ya UDC wa Njombe sio yangu maaan hahahahah U know

Le Mutuz
Hivi are you okay upstairs? It beggers belief really. At that age? With grown up child who most likely reads what you write? What the hell is your brain like?
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Nashangazwa na jibu hili, mtoa mada kauliza CV ya Mkuu wa Mkoa Dar As Salaam, wewe una dilly Daly kujibu. Katika hoja ya mtoa mada hajataja chama Chochote cha siasa, wewe badala ya kujibu kwa kutoa hiyo CV ya Mh. Makonda unazunguka. That's why wanafunzi wengi hufeli mitihani, kwa kujibu off point. Unaulizwa swali hili wewe unajibu vile.

Toa CV brother. Not merely Maneno matupu.
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Na wewe kumbe upo unasubiri appointment ya rais kwenye u-DC?maana ulifanya sana kampeni ila siku hizi kule instagram sijui bado upo?
 
Dr Slaa udokta wake hauna na hauwezi kuwa na tija kwa taifa ..Kimsingi Dr slaa ameishia kidato cha sita..elimu ya dini inatija kanisani tuu!
Wewe Ruttashobolwa ni mpuuzi na mpumbavu sana. Akili yako kimsingi inakutosha kutembea na kunya tu na labda kukuhudumia mumeo anapo hitaji mzigo. Unawezaje kumdhalilisha hivi Dr. Slaa kwa kumshusha chini ya mtu wa degree moja? Siku nyingine mwambie mumeo akukune vizuri ili akili ikae Sawa kufikiri mambo muhimu.
BTW heri ya pasaka
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Da huyu babu huyu sisi tunataka kujua ya makonda hatujauiza habari za sugu namna hyo unafel mtihan babu le mbwembwez
 
Cjadema should be proud kwa kuwa now ndiyo reference ya kila Tanzania,yaani huwezi amini kama imeanza after 1992
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Nenda haja kubwa kwanza kapunguze uchafu then urudi tena hapa.
 
Kwa system hii ya watu bomu na useless kama Le Mutuz raia watakuwa hawana haki ya kujua mambo yanayowahusu viongozi wao!!!

Bad consious inawawinda usiku na mchana mpaka mnakuwa hamjiamini hata katila mambo madogo! Akili yako ilivyo ndogo kama umeme wa LUKU inakutuma kuwa pengine hiimada imeletwa kisiasa! Wise up we boya, u r getting old afu ujinga ndo unakujaa kiasi hiki😱😱
 
Hakuna haja ya elimu kubwa katika nafasi hizo za dc na rc. Kwa kuwa kazi zao ni kuelekeza , kusimamia na kumuwakilisha rais. Kinachombeba mtu pale ni ujanja, akili ya kuzaliwa nayo,japo akiwa na elimu itamsaidia kidogo.
Mfano, sisi wana Dar es salaam tunajua utendaji wa mh Makonda, lakini mnaweza kuniambia kuna kazi gani aliyoifanya ikahusisha elimu kubwa ambayo mtu wa form 4 asingefanya?
Yule dogo ni mjanja sana , na kwa awamu hii atafika mbali kwakuwa tumempata rais mzuri anayetembelea sera za ukawa.
Tuwaombee , watende kazi zao kwa kujua kuwa, madara hutoka kwa Mungu
 
Huu uzi umeanzishwa mwaka jana toka uanzishwe na unaendelea Mwaka huu bado atujapata cv ya mkuu wa mkoa ambayo mleta mada alileta wakati ni mkuu wa wilaya duuu kumbe kuna cv nyingine ngumu kupatikana.
 
Back
Top Bottom