Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Halafu anatumia jina la mtu,anaitwa Paul Christian yupo Tabora huko ni mtangazaji wa station moja ya radio. Yeye akaongezea akaitwa Paul Christian Makonda.Alifeli ndo akatumia jina hilo kujiendeleza.
 
Halafu anatumia jina la mtu,anaitwa Paul Christian yupo Tabora huko ni mtangazaji wa station moja ya radio. Yeye akaongezea akaitwa Paul Christian Makonda.Alifeli ndo akatumia jina hilo kujiendeleza.

mijitu mingine bana mi naishangaa sana...kwani hata PhD hapati?
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
hapo kwenye red:halafu unatuambia una digrii tatu,yes unaweza kuwa nazo lakini lazima itakuwa john malecela alipiga simu utunukiwe hizo shahada.Kubwa jinga linaongea kama darasa la pili.
 
1.Aliwahi kuwa waziri mkuu -MUCCOBS
2. Alipiga hela za wanafunzi ikapelekea kuzuia sherehe za kukaribishana wanafunzi
3.Hajawahi fanya assignment akiwa chuo ila alifanyiwa na frnds zake kama Edy+ Ino akiwaahidi kuwatafutia kazi wakimaliza chuo
4. Aliwahi kumtishia kumpiga dean wa chuo (mrs nk) endapo angeendelea kumzuia kutimiza tamaa zake za kimadaraka.
5.Alijitahidi kukuza chama cha CCM MUCCOBS(nampongeza sana kwa hili),
6. Aliwaahidi wana ccm wote muccobs kupewa kazi nzuri wakimaliza chuo(hope atatimiza hili sasa bila ubishi)
7. Makonda oyeeeeeee

MUCCOBS ndiyo nini.......................................!!?
 
Halafu anatumia jina la mtu,anaitwa Paul Christian yupo Tabora huko ni mtangazaji wa station moja ya radio. Yeye akaongezea akaitwa Paul Christian Makonda.Alifeli ndo akatumia jina hilo kujiendeleza.
mambo yanaanza kumwagika
 
Halafu anatumia jina la mtu,anaitwa Paul Christian yupo Tabora huko ni mtangazaji wa station moja ya radio. Yeye akaongezea akaitwa Paul Christian Makonda.Alifeli ndo akatumia jina hilo kujiendeleza.
anaungana na nchemba,kigwangala,mulugo,nape na mafisadi wengine wa elimu wa ccm.
 
Inaelekea Mh.DC mpya wa Kinondoni hana mvuto katika jamii.Kwa vile ni mteule wa Mh Rais,zinahitajika juhudi za kumfanya apate mvuto katika jamii.
 
mdogo wangu kasomanae USHIRIKA MOSHI anamsifia kwa uongozi bora.
 
Watanzania Tuna chuki binafsi sana ,Hususani likija swala la kimaendeleo .
Kila mtu anatamani fursa ya kuwa Kiongozi katika nafasi flani hususani sisi vijana

Linapokuja Swala la mtu kukosa fursa hiyo basi kila Kinachotokea Kwnye nchi hii juu ya siasa ni kibaya .

Kilicho ulizwa hapa ni wasifu wa Makonda,badala yake watu mmekuja na matusi ,kejeli na Wivu

Kwa lolote alailifanya Mm naona Anastahili Pongezi... Swala la kujulikana tu na Raisi kupewa fursa hatuna bidi kusema kijana kapambana .

Kama na ww unaona kufanya ujinga kutakufanya kujulikana na Raisi ,basi ufanye ili na ww uonekane unafaa .
Acheni chuki .
 
Inaelekea Mh.DC mpya wa Kinondoni hana mvuto katika jamii.Kwa vile ni mteule wa Mh Rais,zinahitajika juhudi za kumfanya apate mvuto katika jamii.

- Mvuto wa jamii upo CCM ndio maana ni Watawala toka tupate uhuru, wasio na mvuto wapo pembeni wanalipwa kupiga kelele ok!!

Le Mutuz
 
Unachosha na wewe na kejeli zako za kijingaaaa, msomi wa dunia awe makonda??? au unataka sifa, umekosa hata uDC, mama kapata Unaibu tulia.

- hahahahahaha wanasema ukitaka kujua elimu za wengine sema yako kwanza sasa si ungeanza na Mwenyekiti wako kwanza and then Sugu na Mnyika ndio uulizie ya CCM au hata ya Dr. Slaa eti huwa ni Doctor wa nini hasa? hahahaha

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom