Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Kubwa jinga upo?endelea kusifia wanaume wenzio na kipiga picha na warembo umr ushakutupa mkono ujue
 
Le Mutuz nakuheshimu mkuu
Pamoja na kwamba baba yako na familia yako mnaishi kwa mgongo wa kodi za wavuja jasho jaribuni kuwa wakweli panapo hitaji ukweli.
Sigiyemwisi alilokuwa kijana alikuwa mtu wa kutegemewa sana hata kidogo ni mwone mwalimu kama alitaka kumzima miaka ile ya udiplomasia pale NY.
Lakini sasa naanza kuona kuwa lipo tatizo kwenu maana unaona hata vituko vya kina Lusinde.
Sasa kwa heshima niliyo nayo kwako jaribu kuwa mtu wakusaidia taifa hili usiwe kama washabiki ambao hawana exposure.
Achana na omba omba by nature
 
Mfunga kamba za viatu hawez itwa msaidiz ni mpambe saw na house boy,hii nchi ilipofika watz tuamke kabisa kwan tunazid kudharauliw na mtu tuliyempa ajira pale magogon!kwa nn lakn yaan nchi hii ukijitoa ufaham ukawatetea ccm na maovu yao unaingizwa kundini haraka haraka!!!
 
Please tuone C.V ya Le Mutuz tuone kama kodi zetu zilitumika vizuri !

Huyo tukunyema akikuonesha cv yake au cheti chake au shahada yake yoyote basi mimi nitamwomba invisible anipige BAN ya miaka mitano
 
Last edited by a moderator:
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz

Msomi wa dunia ndio msomi gani huyo😡😡
 
- hahahahahaha wanasema ukitaka kujua elimu za wengine sema yako kwanza sasa si ungeanza na Mwenyekiti wako kwanza and then Sugu na Mnyika ndio uulizie ya CCM au hata ya Dr. Slaa eti huwa ni Doctor wa nini hasa? hahahaha

Le Mutuz

Pasipokuwa na shaka wwe ni ngese!! Elewa swali watu wanapaswa kueleweshwa sio kuropokaropoka tu kila wakati....
 
Wewe mwenyewe umesema haiwezekani kubadili nyekundu kuwa njano, mwenzio ameshapata ulaji wewe unaulizia CV ya nini? Nani alikwambia CV za uongozi au vigezo ni zile unazofikiria wewe ili uzihakiki na halafu iweje. Nenda kale ugali wako ukalale ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Unajichelewesha bure kutafuta nauli ya kesho ya daladala ndugu yangu.
 
Wadau mwenye cv ya mh. Mkuu wa mkoa wa Dar aiweke hapa, na wala si dhambi mtu kuomba wasifu wa mtu anayekuongoza.
 
Anayeijua atuwekee humu, na atueleze ni lini nyota yake ilianza kung'aa
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
Naona siku hizi umeanza kupata nguvu baada ya mama kupata tena kibarua
 
Kama cv ni muhimu iangalie ya waziri wako kivuli sugu.acha udaku fanya kazi unaweza kuwa hata katibu tarafa.ona wenzako sasa ni waheshimiwa
Mbona wewe unafanya kazi kona bar na bado unaitwa mheshimiwa?
 
Kinachoangaliwa sio unachodhani. Kwa sasa wanaangalia, wilaya kwa wilaya, ni nani ataweza "kushughulikia" chaguzi zinazokuja. Ndiyo maana imebidi wafanye mabadiliko makubwa saa hizi. Makonda ameonekana ndiye ataweza hiyo mikiki Kinondoni.
Watakuwa wamekosea kwani baada tu ya makonda kuingia kinondoni ndio upinzani ukachukua hiyo wilaya sasa kapewa mkoa basi tena uchaguzi ujao dsm yote inaenda upinzani
 
Back
Top Bottom