ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,967
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Kubwa jinga le mutuz cv yako ipoje? Miakka54 bado kula kwa mama