Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Kubwa jinga ana digrii tatu za Marekani kama zile za Lyatonga Mrema
Le Mutuz kichwani hamna kitu hizo Digrii zitakuwa za kukariri na kuiba mitihani hana Taaluma kichwani kabsa, ebu fikiria jitu Lina miaka 54 bado linakaa nyumbani Kwa wazazi huku likiwa lipambe Kwa Devis Mosha mwenye miaka midogo kwake , wote anaowaabudu ni wadogo kwake kiumri . Huko marekani atakuwa alinunua vyeti kichwani ni mtupu hana Taaluma yeyote .
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
CV ya Mheshimiwa Mbowe.
Amekijenga chama cha demokrasia na maendeleo kutoka kwenye kuwa na wabunge wasiozidi hamsini mpaka kwenye kuwa na wabunge zaidi ya sitini, amekiwezesha chama kutoka kuwa na halimashauri na manispaa sifuri mpaka kuongoza majiji makubwa takribani yote Tanzania bara na halimashauri nyingi tu. Amefanya upinzani liwe ni jambo la kujivunia tofauti na zamani ambapo upinzani ulionekana kama dhambi miongoni mwa wanajamii. Isipokuwa kwa watu ambao hawajitambui tu ndo hawaelewi maana na umuhimu wa upinzani kama ulivo wewe.
 
Mutuz naona wamekusahau tena ukuu wa wilaya

- Tatizo siwezi kuacha maisha yangu kwa sababu ya UDC, I am happy boss sijawahi kuomba hiyo kazi hahahahaha pole sana!, kumbe mnatukana watu hapa mkitegemea Lowasa akiwa Rais awape Udc? hahahahaha

le Mutuz
 
weka cv yako kwanza pia uweke cv ya Mwenyekiti wako anayeishi Msoga aliyeondoka na kuacha Hazina ikiwa Tupu , Thamani ya shilingi inazidi kushuka dola ipo juu , usikariri Akili za boss wako Nape na kusahau kuwa wenye hizo cv zako ndiyo wamelifikisha Taifa kwenye Utitiri wa Majipu , acha kujitoa Fahamu fanya mazoezi upunguze Mafuta kichwani angalau utazinduka na kuacha Ujinga .

- Mimi nipo sana nina kula maisha kwa sababu ninatumia akili kufanya kazi wenye matatizo na maisha ndio kazi kulia lia hapa weka CV ya mwenyekiti wako from six tuone kama inaweza kuifikia ya Makonda, mnauliza CV za Viongozi wadogo wenye elimu kubwa badala ya kuwahimiza Viongozi wenu wazee waende Shule? Mnaongozwa na Degree ya Sanaa hahahahaha halafu mnauliza CV za wakali? jahahahahaha

le Mutuz
 
Wewe Kubwa jinga CV yako ni nini ? Weka cv ya ole sendeka, Kinana , mangula , kibajaji , Lukuvi , Ana kilango, Profesa maji marefu na wenzako wote wanaokulea , Umeng'ang'ania cv kila siku !! Hivi Nani kakuambia cv hapa Tanzania zinasaidia kitu ? Kama zina msaada mbona Hosea wa Takukuru , akina Dau wa NSSF , ombeni Sefue wenye cv mmewatumbua Majipu? Mwenye Cv nzuri akina chenge , werema, Tibaijuka , Kapuya, Mwakyembe , mwandosya na wenzao wamelifanyia nini Taifa hili ?

- Mbona unaruka ruka kama ndege weka CV ya Mwenyekiti wako tuone hapa hahahahahaha, sasa wewe elimu yangu utalinganisha na Mwenyekiti wako? hahahahahaha

le Mutuz
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
ni muda muafaka, ma DC bado kuteuliwa
 
du, kazi kweli! kwamba naye ni mteule wa Raisi! ndiomaana rasimu ya jaji warioba ilikua inaelekeza namna ya kupunguza mamlaka ya raisi kwenye teuzi mbalimbali
...Kweli Rasimu hii IKIPITA teuzi (za nafsi) za Raisi kama kumpa ulaji Makondakta, zitaisha......
 
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
we kaka we yako inasomekaje?! Na ulizia ya mbowe leta yako kwanza
 
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.

Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
Hakuna haja ya cvyake kwa sababu mtu mwenye uwezo kiakili huwa anajiamini na kuringa kwa kuwa anajua kuwa anajua hawezi kujikomba na kulamba watu miguu achumie tumbo!
 
- Mbona unaruka ruka kama ndege weka CV ya Mwenyekiti wako tuone hapa hahahahahaha, sasa wewe elimu yangu utalinganisha na Mwenyekiti wako? hahahahahaha

le Mutuz
Elimu gani unayo ? wewe utakuwa uliiba mitihani au kupiga chabo kichwani huna Taaluma yeyote , vyeti vyako ni vya kununua tu, hiyo CV yako ya kushinda Kwa Devis Mosha , school bash na kukaa Kwa wazazi ndiyo unajivunia?
 
- Mimi nipo sana nina kula maisha kwa sababu ninatumia akili kufanya kazi wenye matatizo na maisha ndio kazi kulia lia hapa weka CV ya mwenyekiti wako from six tuone kama inaweza kuifikia ya Makonda, mnauliza CV za Viongozi wadogo wenye elimu kubwa badala ya kuwahimiza Viongozi wenu wazee waende Shule? Mnaongozwa na Degree ya Sanaa hahahahaha halafu mnauliza CV za wakali? jahahahahaha

le Mutuz
Makonda aliiba mitihani amesoma Kwa kukariri tu hana Taaluma kichwani , style ya kununua vyeti Kama wewe Le Mutuz , hamna cha cv wala nini wewe na Makonda kichwani bado mpo darasa la nne mnatembelea nyota za wengine kijanja janja tu .cv zenu ni feki feki tu .
 
Cv yake utaiona kutokana na utendaji wake, hakuna sababu ya kujua maisha yake maana hayakuhusu, cha mhimu ni kiongozi anayejielewa anafanya nn kwa Taifa.
Huko ccm wanamtumia kibajaji mda wote wenye cv wapo Wapi? CV za ccm zote ni za kichina China .
 
Back
Top Bottom