Ngoja nikufundishe kuwa analyst mzuri...
Wewe mtoto wa Mzee Malecela una degree tatu (kwa mujibu wako, binafsi sina uhakika na hilo kwa vile hufanya ni na mtu mwenye degree tatu, nina maana wewe ni mweupe sana kichwani) Makonda ana degree moja tena ya magumashi kwa vile alikuwa hafanyi assignment na kutafuta watu wa kumsaidia, cha ajabu wewe mwenye degree tatu za vyuo vya kata kutoka sijui wapi hujazawadiwa hata ukarani wa afisa wa serikali ya mtaa, ila Makonda ni DC.
Sasa swali langu....
Utaacha lini kusifia wenzio tena vijana wadogo kama Makonda na umri wako ulionao? Wewe kila saa upo mitandaoni kusifia wanaume lini na wewe utasifiwa mkuu? Wewe ni nani nchi zaidi ya kuwa mtoto wa Malecela?
Hivi kwa umri wako, degree zako feki unazojisifiaga na umbo lako, wewe ni mtu wa kujikomba kwa Makonda kweli? Mwizi wa simu! Kijana asiye na nidhamu kwa wazee? Kijana anayetetea wezi?
Brother this is too low for you, badilika mkuu! Kuna siku nilipata nafasi ya kuongea na wewe nikakwambia wewe hustahili haya yote, ukijurebisha huenda ukawa hata RPC lakini si kwa tabia yako ya sasa.
Hata maccm wenzako na kudharau ndo maana huwajawahi kukupendekeza uwe japo afisa wa serikali ya mtaa.
Jifunze kujitathimini mkuu, achana na utoto wewe ni babu sasa, hauko level ya akina Makonda. Wewe ni baba yake Makonda kwa umri wako, so stop!