Wasifu (CV) wa January Makamba

Hapo kwenye red hapo,Malizia wakithubutu kusema ukweli na kuacha udanganyifu na unafiki kama wazee wao.

Umemaliza kabisa mkuu.

Amemaliza kabisa kivipi?Bila kutoa majibu ya tuhuma?
 
Kumbe ndo hawa walikuwa wamemzunguka JK, no wonder the whole team is made of low brainers.
 
Chuki mchukien roho yake mwachien,nyota njema huonekana asubuhu,go January Goooo
 
Chuki mchukien roho yake mwachien,nyota njema huonekana asubuhu,go January Goooo
Umemaliza. Ni zamu ya vijana wenye uweledi, maarifa, na nia ya dhati ya kuleta maendeleo endelevu kwenye jamii ya WaTanzania na Africa kwa ujumla.
 
Lazima watu watambue wazee ndo sehemu ya matatizo ya nchi hii na huwezi kuwa sehemu ya tatizo ukaondoa tatizo! Enzi wakiwa na nguvu walipewa nafasi huku wakiwa wamesomeshwa na Mwl Nyerere na kwa kupewa kila kitu mpaka maziwa vyuoni na wakimaliza tu wanapangia ofisi za kufanyia kazi. Cha kushangaza pesa walizochuma ndo wanazotumia kuwafunga midomo vijana kwa njia kuwawezesha kuja na fake ID tena mtu mmoja ana ID zaidi ya moja. Tumikeni lakini sio kuwadiscourage vijana haijalishi ni itikadi gani hebu jiulizeni Mwl asingewapa nafasi wakina mh. Samwel Sita, Mh Salim A. Salim na wengine wengi akiwemo Mh. Rais wa sasa tusingekuwa na viongozi hivi sasa? Vijana tusipotumia ujana wetu kuwepo kwenye nafasi za maamuzi na akili zikiwa fresh mnataka tuje kuamua uzeeni. Nyerere alikabidhiwa nchi akiwa kijana mdogo wa miaka 39 na kulikuwa hakuna madaktari wa kutosha hakuna wahandisi wa kutosha na wasomi lakini nchi na uchumi ulikuwa mzuri mpaka baada ya vita ya Uganda ndo tukalegalega. Tuangalie vijana waadilifu na wachapa kazi waliopo na mnatumika humu kwa fake ID kwa ajili ya kuingia kwenye maamuzi kuanzia kijiji mpaka taifa! Mnyika, makamba, zitto, vicent nyerere, lazaro Nyalandu na wengine wengi!
 
JK amerahisisha sana hili swala la mtu kutaka kuwa rais... kesho unaweza sikia nae Nape anataka kuwa rais....

acha masihara mkuu,nape atake urais amuongoze nan?anafaa huko huko ccm.
 
Hapo kwenye red hapo,Malizia wakithubutu kusema ukweli na kuacha udanganyifu na unafiki kama wazee wao.

Amemaliza kabisa kivipi?Bila kutoa majibu ya tuhuma?
dogo tumekuzeaa kwa wivu wako.fanya yako watu wakuone acha kupiga kelele komaa na mambo yako kutafuta attention kwenye mambo ya watu. mbona wao walitoka kivyao fanya yako utatoka.mara unaugomvi na zito, Makamba jr tena.hivi ulitaka wewe peke yako ung'ae kwenye siasa kama kijana.
Ushauri wa bure fanya yako dogo.
 
Hata dunia ikipasuka vipande vipande January Makamba hawezi kugusa ikulu.kwani Ana akili kama za baba yake mstaafu Wa magamba
 
Hata dunia ikipasuka vipande vipande January Makamba hawezi kugusa ikulu.kwani Ana akili kama za baba yake mstaafu Wa magamba
Dunia haitapasuka utapasuka wewe ukimuona January kwenye jumba jeupe ndio chaguo vijana wamesema, acha wivu
 
naam yale maelezo YA JANUARI/RAJABU pale juu yananatanata kama fenesi lakini hayana utamu wa fenesi.yanadhihirisha kuna kitu Mhe Makamba Junior anachotuficha!Tutaona mbele ya safari
 
Oh Kumbe huu ni wivu ehh.Kama kukemea udanganyifu kwenye mitihani ni wivu basi wivu huu nitauendeleza na haya ndiyo yangu
 
Oh Kumbe huu ni wivu ehh.Kama kukemea udanganyifu kwenye mitihani ni wivu basi wivu huu nitauendeleza na haya ndiyo yangu
umekemea nini? unafahamu maana ya kukemea? so what next usipende kuishi kwa kufikiri kumwangusha mtu ndo kunakupandisha wewe.fanya yako kupanda mbona wewe tu unakomalia hili swala? Ok waliiba what next mbona wewe watu wamekupetezea unajiita mzalendo wa CDM wakati ulikua MASALIA na kutembea na sumu za panya?
 
Oh Kumbe huu ni wivu ehh.Kama kukemea udanganyifu kwenye mitihani ni wivu basi wivu huu nitauendeleza na haya ndiyo yangu

Tupe ushahidi sio maneno ya mitaani, fanya utafiti kidogo! Uliza waliosoma na January Forest wakwambie kaka!.
 
JK amerahisisha sana hili swala la mtu kutaka kuwa rais... kesho unaweza sikia nae Nape anataka kuwa rais....

nepi** lbd awe rahisi co raisi!! hawakawii kujikana yule,utackia "mm co rais km raisi ningesemaje ivo"
 
Hizo syntax za Kiswahili zinakushinda na wewe ulijifunza syntax za Java, C, C++ ukiwa "young boy" bada ya kumaliza kidato cha nne tu? Maana logic za kumtuhumu mtu kuiba mtihani halafu kudai "unless he comes out clean" ni kielelezo tosha kuonyesha kuwa uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana. No wonder hicho chama chenu kila kukicha inakuja na sindimba mpya ya kisiasa!
 
Kwahiyo wewe umejiunga leo kuja kutafuta cv ya mtu-unadhani hili jukwaa la mipasho?

ukisikia unafik ndo huu sasa,, kwani obama ni Dr???? suleimanim daudi, Yesu, ??? walikuwa na masters mbona mnawakubali
 
Wewe ndiyo mwenye uwezo mdogo.Mimi niliripoti kuwa alituhumiwa kuiba mitihani na kumtaka ajitokeze kuweka mambo sawa.Wewe unadai mimi ndiye niliyemtuhumu?You must be sick!
 
Umemaliza. Ni zamu ya vijana wenye uweledi, maarifa, na nia ya dhati ya kuleta maendeleo endelevu kwenye jamii ya WaTanzania na Africa kwa ujumla.

Kwa Logic ya kawaida unaonekana wewe ni JANUARY MAKAMBA,unaweza kunikosoa lakini,

Kama niko sahihi,basi sion tija ya kujibizana na kujitetea kwa hizo tuhuma ikiwa wewe una uhakika kwmba uko innocent.na kuna baadhi ya watu humu jukwaani wao wanahisi wanavyofahamika na baadhi ya watu humu ndan basi hudhani wana fahamika jamii yote kwa ujumla,ni njaa kali tuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…