Kweli huku ni kujishaua. Tabia ni jumla ya maisha ya mtu. mtoa mada hana exposure anatuletea mtazamo wa huko kwao. Mwanamke sio mpaka avae madera ndo aonekane anafaa kuwa mke.mnajishaua tu hapa...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Good kabisa.uko wapu nikupeleke Harvard weweeee
Sheria ya nchi inasemaje?Tunawafundisha kuwa wasiwe static, cha msingi wasivunje sheria ya nchi.
Basi tembeeni vyupiUchi hatutembei maana tulishahasi Eden, tunajisitiri maeneo muhimu tu.
Hata anaevaa jeans hajavaa vibaya. Na tupo katika globalization,kuvaa vizuri labda avae kaniki Maana Hata madera yana mpasuoHaya bhana
Kila mtu abaki na msimamo wake,mimi wanangu nitaendelea kuwafundisha kuvaa vizuri,najua nikielimisha wasichana 10,watano watanielewa
Shona zingine mate.Mi saivi nguo za kushona zote hazinitoshi
Nimeongeza mpaka nakereka sasa
Wewe ni great thinker. Watu wanazuga tu hapa. Wanapenda kuwatazama hao waliovaa hizo nguo wanazo zikataa.unafki unafki tu mnajifanya hampendi hzo nguo wake zenu wakivaa madera mbona mnawafata wanaovaa hizo nguo mnazosema za kudhalilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuletea na ya kwangu basi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nipo hapa nachanachana suruali yangu maana naona haikuchanwa vizuri.
Ikifikia huko hamna shida tutazoea tu, mbona nyie mnatembea na vyupi maana suruali ziko chini ya chupi.Basi tembeeni vyupi
AiseeKuzingua kupo akilini mwako tu.
Nenda beach tunavaa vyupi kuleBasi tembeeni vyupi
Wewe humo?Ngoja waje
Wakwanza huyowanafki tu nyie...
Simo kabisa kundi hilo mimWewe humo?
Kuhusiana na mavazi???Sheria ya nchi inasemaje?
Mate Usawa huu Usawa lol!Shona zingine mate.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee
Mikono hewani mama
Acha nikaelimishe watoto wangu.