Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 909
Kuolewa hao watasubiri sana maana sababu zote za kuoa wameziharibu wenyewe.Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.
Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).
Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.
Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Yani espy hata ukiamua kutembea uchi kwani nani atakayekuuliza?Hiyo khanga na vitenge ndio utamaduni wetu? Ninavyofahamu khanga ni utamaduni wa waswahili(mie sio mswahili)
Kwahiyo nikishoka suruali ya khanga nikaichanachana na kimini si itakua poa as still ni khanga? Au nifunge khanga niende ofisini?
Hata sisi wamasai wanatuwakilisha vyema. Na vitenge na khanga zinavaliwa sanaaaa ila bado haizuii kuvaa mavazi mengine.Upo sahihi
Nchi kama India mbona wameweza kwa kiasi kikubwa kulinda utamaduni wao?
Na wanavyojifanya watashi kununua boxer nyeupe kufua na kuzitunza hawawezi zinakaa mwilin mpaka zinabadilika rangi na kufanana na rangi za miili zao. Yaani huyu alikataliwa na msichana bomb a alievaa hivo sasa kwa hasira he just come spread some shit wadada hivi wadada vile. Acheni hizoooo wakakaMbona chupi tunavaa za wazungu hawasemi sio culture yetu?
Is all about western culture,tena wenyewe wakituona tunavomezwa na tamaduni zao wanafurahi sana.Nyinyi mbona hamvaagi msuli,mko busy now days na vinjuga,vile vipensi vinavyoishia mapajani..Hapo Hapo mnazishusha chini tuone mavyupi yenu boxer chafuuuu znatoa harufu mbaya
Si ndio kama hivi mnauliza humu?Yani espy hata ukiamua kutembea uchi kwani nani atakayekuuliza?
Na wamegundua fimbo ya kumchapia mwanamke ni kuolewa, wangapi wameolewa na wanavaa hivyo hivyo!! Au wameolewa na wanawake wenzao!!Na wanavyojifanya watashi kununua boxer nyeupe kufua na kuzitunza hawawezi zinakaa mwilin mpaka zinabadilika rangi na kufanana na rangi za miili zao. Yaani huyu alikataliwa na msichana bomb a alievaa hivo sasa kwa hasira he just come spread some shit wadada hivi wadada vile. Acheni hizoooo wakaka
Hayo hayanihusu mim huwa hayo simavazi yang kabisa ndo maan ni nikasema ngoja waje nadhan unalifaham hilo zzWaje wapi? siujitetee.. au hayakuhusu?
Hata wao wanayapenda Sana mavazi ya kitenge na khanga,all about cultural exchange. sasa msianze kutusema vibaya wadada,that's what I hateIs all about western culture,tena wenyewe wakituona tunavomezwa na tamaduni zao wanafurahi sana.
By the way Tanzania ni ya kidijitali,sasa hivi hata ukitaka kutembea uchi hamna wa kukuuliza
Ndo mana nikakwambia kwa asilimia kubwa india wamejitahidi,na kwa Tanzania kabila ambalo bado halijakumbwa na upepo wa western culture ni masai,ni ngumu sana dunia ya leo kuishi bila kua affected na mzungu sema ndo usikubali ukaingia mazima,vingine tunajiongeza wenyewe km mavavi n.kHata sisi wamasai wanatuwakilisha vyema. Na vitenge na khanga zinavaliwa sanaaaa ila bado haizuii kuvaa mavazi mengine.
Je kwao(wahindi) ukienda hizo suruali zilizochanwa chanwa huzikuti?
Sawa kuolewa kunaleta heshima,lakn usiniambie eti kisa nmevaa suruali ya kuchana chana basi sitoolewa. Ghkaaaa,!!basi na wao wanaume wajue hawatotupata wa kutuoa kwa style hii ya kuvaa chupi za wadogo zao zinazoishia mapajani mwao na bado wanazishusha kwenye makalio,Yaani akinifuata mwanaume aliyevaa hivo nkamwambia kajioe mwenyewe[emoji41]Na wamegundua fimbo ya kumchapia mwanamke ni kuolewa, wangapi wameolewa na wanavaa hivyo hivyo!! Au wameolewa na wanawake wenzao!!
Wewe unapenda mwanamke wako avaeje??THIS IS THE POST OF THE DAY!!!! BIG UP
Mbona wakija wanashona na kununua khanga, na sijawahi waona wakishangaa.Hata wao wanayapenda Sana mavazi ya kitenge na khanga,all about cultural exchange. sasa msianze kutusema vibaya wadada,that's what I hate
Kama wao wanaiga kuvaa kanga na sisi tunaiga kuvaa vimini na kupiga kata k.Hata wao wanayapenda Sana mavazi ya kitenge na khanga,all about cultural exchange. sasa msianze kutusema vibaya wadada,that's what I hate
Hata hao wanaovaa hizo suruali zilizochanwa pia wana nguo zao za vitenge na wana khanga pia.Ndo mana nikakwambia kwa asilimia kubwa india wamejitahidi,na kwa Tanzania kabila ambalo bado halijakumbwa na upepo wa western culture ni masai,ni ngumu sana dunia ya leo kuishi bila kua affected na mzungu sema ndo usikubali ukaingia mazima,vingine tunajiongeza wenyewe km mavavi n.k
Mimi naamini mavazi ni maamuzi binafsi ya mtu
Hapo nimeshakupatia vitenge vya Wax !!Hayo hayanihusu mim huwa hayo simavazi yang kabisa ndo maan ni nikasema ngoja waje nadhan unalifaham hilo zz
waambie bhana!! waoaji wana vitu wanavyoangalia! mficha .. hazaiwanafki tu nyie...
ππππππππππ nyuzi kama hizi huwa hazipiti kushoto ee?Aseeh
Ha ha haSi ndio kama hivi mnauliza humu?