Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Jamani eeh, give Jimama a break, will you?
Halafu wewe leo hulali?
Kumbe kuna kulala ee?
Jamani eeh, give Jimama a break, will you?
Halafu wewe leo hulali?
Unajua tukiamua kutoangalia habari ya maadili ni kuwa, tatizo hasa sio kujiuza, tatizo ni matokeo. Hao wanaojiuza ili wajilipie ada halafu mwisho wa siku wakafaulu sio tatizo kwa sababu wanahesabika wana elimu ambayo kweli wanayo lakini wale wanaouza ngono ili wafaulishwe ni tatizo kwa sababu mwisho wa siku wanahesabika wana elimu ambayo hawana. Hii ina maana kuwa kundi la pili ni tatizo kwa taifa zima maana kuna uwezekano wakapewa majukumu ambayo hawayawezi.
Tukirudi kwenye moral standards, wote ni tatizo ila bado hao wanaouza kwa walimu ni tatizo zaidi kwa sababu nilizoeleza hapo juu.
Kumbe kuna kulala ee?
ndiyo..hujui kwani?
Jamani eeh, give Jimama a break, will you?
Halafu wewe leo hulali?
Ndio umenikumbusha kuwa kuna hiyo kitu, nilikuwa nimesahau
wewe unashindwa kabisa kuelewa na tukikuelewesha unakasirika...
elimu ya kuipata kwa kujiuza ina faida zipi?
since when 'umuhimu wa individual ukawa ni zaidi ya umuhimu wa society?
we ukiuza bangi na kuwa tajiri utasema ni faida na muhimu kwako wewe binafsi?
na hatuna haki ya kusema sio faida wala muhimu?????
Mkuu ukiubali mchango the least you can do ni kugonga like tu. Naona jimama Lizzy ameamua kusepa lol.mkuu...
wewe umenielewa na naona unaweza zaidi kufafanua
so naomba unisaidie na watu ambao hawanielewa bado..
Najaribu nikishindwa naandamana, am sure nitapata wengi wa kunisapoti...lol
Haya kalale..
you are welcome
Yessir
You don't have a stand-by or a fill-in Mr. Caramel?
What for? Kwa kutokukuelewa kila unapoanzisha mijadala nisiyokubaliana nayo 100% ???!
Sasa unataka nibaki hapa kujibu masuali nikiuke direct order ya "haya kalale"!
The Boss, kumbe unajua kihindi eeh, lol!
This is what I believe in: u can do anything in this world as long as you are prepared for the quosequences.
Morals haswa ndo tatizo, Bible inasema 'itamfaa nini mtu apate ulimwengu wote, naye mwenyewe aje apate hasara ya nafsi yake'. Kupanga ni kuchagua.
Ningejuaje mimi? loooolulikuwa hujui?