Wasichana wa siku hizi..na kutafuta elimu..........

we unapotosha watu
kila society ina general principles zinazoongoza hiyo society....
huwezi kema watu wako free kufanya lolote ili mradi ni wao...
mtu asome aumize kichwa,mwingine aende kutembea na mwalimu wapewe matokeo sawa
useme eti haituhusu ni maisha yake,please.....
Infact there is no such thing as freedom.
 
Hao hawatafuti elimu.Wanatafuta short cut ya maisha kwa "kuiba vyeti" wakati hawana sifa.
Wanawake kama hao sioni wanatofauti gani na wanaogushi!Ni wezi tu maana wanavuna pale ambapo hawajapanda.
Kupanua miguu au kuvua siyo kusoma! Inafika mahali tuanze kukemea na kupiga vita kwa nguvu zote.Na wanawake kama hawa tukiwajua, tusione aibu kuwaimbia kindumbwendumbwe hata huko watakakoajiriwa.NI NAME AND SHAME TU KWENDA MBELE!

Tausi
nashkuru kwa mchango wako mzuri..
but naomba urekebishe fonts ili isomeke vizuri....
 
subconciously
ukioa mwanamke akafanya aliyoyafanya mama ako
hutomwacha
utadhani ni kawaida wanawake kufanya hivyo

Sioni haja ya kutupia hizi lawama familia zetu ,
Kupata madhara kutokana na kuwa na wazazi/walezi irresponsible ni suala tofauti kabisa na
kuiga tabia ya kuwa irresponsible ,
Binafsi nachukia tabia zisizo za maana za wazazi wangu , na always naapa
kutokuoa mwanamke mwenye mapungufu sawa na ya mama yangu
 
The boss hawa wasichana unaozungumzia labda wanataka kujikomboa kwa hali na mali lol! i mean by any means!
 
ndo tatizo la vijana tulio wengi....... ata pata vyeti tena vizuri sana lakini elimu aliyopata kamwe haiwezi kumsaidia kufuta ujinga,

ebu kuweni wazi ndugu zangu, nilini ulipata salary yako ukasema unatoa 30,000 unaenda kununua novel ya Sidney Sheldon kati ya novel zake18 ambayo hujaisoma?

nilini ulisema by any means lazimi nisome daily newspaper japo Mara mbili kwa wiki? au ulipopata kazi na magazeti ukayapa kisogo?

wangapi wetu nyumbani tuna dictionary kubwa zinazotumiwa na watu wenye elimu kama uliyonayo?

wengine wajajiuza ila walipata elimu zao kwa nguvu zao ila walipoambiwa una upper second, ndo vitabu vikafungwa. mtu wa style hii ana tofauti na unayemzungumzia.

Duniani tunapita, if you will not be care, ata maeneo ya mwenge, sinza, ubungo etc, in 70 years to come after your life, hakuna atakayejua kuwa kulikua na mtu kama wewe duniani,
 
Taib!

Sasa naanza kupata picha ya kwa nini watu wana hamu ya kukumwagia tindikali.

Siutanikingia mkono lakini? Au ninunulie hata mwamvuli maana nawindwa kama swala msituni. . . lolz
 
nakusamehe bura
kama tabia za mama yako mwenyewe huzipendi
ije kuwa mie

unajiumiza bure kwa kubeba haya
maisha ni rahisi mno
swit boy grow up
 
ndo tatizo la vijana tulio wengi....... ata pata vyeti tena vizuri sana lakini elimu aliyopata kamwe haiwezi kumsaidia kufuta ujinga,

ebu kuweni wazi ndugu zangu, nilini ulipata salary yako ukasema unatoa 30,000 unaenda kununua novel ya Sidney Sheldon kati ya novel zake18 ambayo hujaisoma?

nilini ulisema by any means lazimi nisome daily newspaper japo Mara mbili kwa wiki? au ulipopata kazi na magazeti ukayapa kisogo?

wangapi wetu nyumbani tuna dictionary kubwa zinazotumiwa na watu wenye elimu kama uliyonayo?

wengine wajajiuza ila walipata elimu zao kwa nguvu zao ila walipoambiwa una upper second, ndo vitabu vikafungwa. mtu wa style hii ana tofauti na unayemzungumzia.

Duniani tunapita, if you will not be care, ata maeneo ya mwenge, sinza, ubungo etc, in 70 years to come after your life, hakuna atakayejua kuwa kulikua na mtu kama wewe duniani,

zamani form four wanasoma Daily news
siku hizi masters wanasoma udaku tu...lol
 
Jamani SOMA UELEWE.
Umesoma alichoandika niliyemjibu?
Nishachoka na haya majadiliano ya kulazimishana chakusema. . . Cyaaa!!

Alafu kabla sijaondoka. . .anaejiuza shuleni na nje ya shuke malengo yao yanatofaitiana?Si wote wanatafuta namna ya kupambana na maisha?Si wote wanauza miili ile ile?Basi vipi upande mmoja uonekane ni bora zaidi ya mwingine?

Kama mwanafunzi mwenzio anajiuza apate majibu bila kusoma, .. . kwanini usimkasirikie na yule anaejiuza ili apate kula bila kufanya kazi kama wewe?

hapa kuna mantinki, yeyote anayejiuza ili apate elimu au pesa ya kujikimu wote wako katika hali ya kutafuta maisha!
 
Ni wale wasiokubaliana na dhana nzima ya morality na religion beliefs

Kwao kila kitu ni halali

wangekuwa hivyo kwa uwazi ingekuwa bora kuwaelewa
lakini hawako hivyo...
wanahubiri morality still...na unajua kuwa wamefika hapo kwa njia chafu..

ni sawa na wanasiasa kuhubiri vita dhidi ya ushirikina while wao ndo wateja nambari one...
 
Faida ipo. . . ikiwa atajifunza kitu kweli maana hamna atakapoandikwa aliipata vipi useme waajiri wakiona CV yake watamnyima kazi.

Tatizo ni kama atajiskia amani au la, kama ataweza kuendelea huko mbele kwa juhudi binafsi au kila mara atataka urahisi.

Hapana. anatakiwa aende shule ili apate elimu na nguvu ya kuepuka kuishi kupitia ngono.
sasa kama hata hatua hiyo ya kwanza anatumia ngono si heri aache asijisumbue na aende moja kwa moja club akapige shughuli ?
 
Back
Top Bottom