Wasichana wa siku hizi..na kutafuta elimu..........

simply i can say dat ya nini kujisumbua na elimu knowing dat 2moro soon afta graduating unakufa
 
wangekuwa hivyo kwa uwazi ingekuwa bora kuwaelewa
lakini hawako hivyo...
wanahubiri morality still...na unajua kuwa wamefika hapo kwa njia chafu..

ni sawa na wanasiasa kuhubiri vita dhidi ya ushirikina while wao ndo wateja nambari one...

Nihilist per se huwa hashabikii wala hamhubirii mwengine morals, ila wapo watu ambao katika kusimamia misimamo yao wanajikuta wanaangukia huko

Thread ya aina hii Si ya kwanza hapa, watu wanaoomba kazi kwa ngono walishajadiliwa kwa kujaza kurasa wakiwemo hao hao waliogeuka "nihilist" kwa leo
 
Jamani SOMA UELEWE.
Umesoma alichoandika niliyemjibu?
Nishachoka na haya majadiliano ya kulazimishana chakusema. . . Cyaaa!!

Alafu kabla sijaondoka. . .anaejiuza shuleni na nje ya shuke malengo yao yanatofaitiana?Si wote wanatafuta namna ya kupambana na maisha?Si wote wanauza miili ile ile?Basi vipi upande mmoja uonekane ni bora zaidi ya mwingine?

Kama mwanafunzi mwenzio anajiuza apate majibu bila kusoma, .. . kwanini usimkasirikie na yule anaejiuza ili apate kula bila kufanya kazi kama wewe?
Yaani huoni tofauti ya anayejiuza ili apate kula na yule anayejiuza ili apate cheti(ambacho kwa makosa kinamfanya ahesabiwe ana elimu)??!! Kwa kukusaidia tu ni kuwa huyu mwenye elimu anahesabiwa kuwa ana elimu ambayo hana, wakati huyu mwenye msosi anahesabiwa ana msosi ambao kweli anao. Ningeweza kuendelea zaidi lakini inaonekana uhuru wako wa kuifikirisha akili unaanza kukufanya kuwa kilaza sana, hivyo kuna uwezekano mkubwa hutanielewa.
 
Nihilist per se huwa hashabikii wala hamhubirii mwengine morals, ila wapo watu ambao katika kusimamia misimamo yao wanajikuta wanaangukia huko

Thread ya aina hii Si ya kwanza hapa, watu wanaoomba kazi kwa ngono walishajadiliwa kwa kujaza kurasa wakiwemo hao hao waliogeuka "nihilist" kwa leo

unajua tukisema kwamba 'the end justify the means'
ni sawa na kuhalalisha crime za aina zote......
 
Hapana. anatakiwa aende shule ili apate elimu na nguvu ya kuepuka kuishi kupitia ngono.
sasa kama hata hatua hiyo ya kwanza anatumia ngono si heri aache asijisumbue na aende moja kwa moja club akapige shughuli ?

Sure sure. . . sio vizuri. .
Ila mimi nisichotaka ni watu kuwathaminisha wenzao kwa standard wanazozitumia kwao binafsi bila kujua wao ni wao, na walivyo sivyo walivyo wengine.

Kama tungejadili tu kama ni haki au sio haki mtu kutoa rushwa ya ngono kwa cheti wakati wengine wanasoma tungeenda vizuri sana. . . ila tunapoingiza mambo ya "hathamini mwili wake, elimu yake haina faida" wakati hatujui nini ni muhimu kwa huyo mtu tunaemhukumu tunakoroga magadi, unga na majani ya chai pamoja.
 
Vipi wale wanaojiuza ili wapate hela za kujilipia ada? Yaani hawajiuzi kwa walimu ili wapasishwe.

Manake kwenye nchi za watu kuna ma strippers kibao ambao hu strip ili wajilipie college as opposed to taking out student loans. Wao hawa mnawaonaje?
 
wewe unashindwa kabisa kuelewa na tukikuelewesha unakasirika...
elimu ya kuipata kwa kujiuza ina faida zipi?
since when 'umuhimu wa individual ukawa ni zaidi ya umuhimu wa society?
we ukiuza bangi na kuwa tajiri utasema ni faida na muhimu kwako wewe binafsi?
na hatuna haki ya kusema sio faida wala muhimu?????
 
Na mkisema anakasirika mnakuwa mumemhisi japo hamjui ukweli wake!
Hahahaha
 
Vipi wale wanaojiuza ili wapate hela za kujilipia ada? Yaani hawajiuzi kwa walimu ili wapasishwe.

Manake kwenye nchi za watu kuna ma strippers kibao ambao hu strip ili wajilipie college as opposed to taking out student loans. Wao hawa mnawaonaje?
Unajua tukiamua kutoangalia habari ya maadili ni kuwa, tatizo hasa sio kujiuza, tatizo ni matokeo. Hao wanaojiuza ili wajilipie ada halafu mwisho wa siku wakafaulu sio tatizo kwa sababu wanahesabika wana elimu ambayo kweli wanayo lakini wale wanaouza ngono ili wafaulishwe ni tatizo kwa sababu mwisho wa siku wanahesabika wana elimu ambayo hawana. Hii ina maana kuwa kundi la pili ni tatizo kwa taifa zima maana kuna uwezekano wakapewa majukumu ambayo hawayawezi.

Tukirudi kwenye moral standards, wote ni tatizo ila bado hao wanaouza kwa walimu ni tatizo zaidi kwa sababu nilizoeleza hapo juu.
 
I see...
 
Back
Top Bottom