Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,811
- 59,367
Una mambo wewe!!!
Kwani we huna?
Una mambo wewe!!!
Lol... Una vituko wewe!
Hiyo heshima unayoitaka sio kila mtu anaihitaji kwahiyo usitegemee kila anaefanya kazi anafanya kwa sababu kama zako wewe. Hivyo hivyo hizo faida nyingine. . . kwasababu tu ni muhimu kwako haina maana ni muhimu kwangu pia. Unatakiwa uelewe kwamba binadamu tunatofautiana kwanzia sura mpaka malengo na hisia. . .
kama kawaida yakoKwani we huna?
Kwani we huna?
Thamani ya mwili wa mtu ni relative as well as subjective. Kuna namna ambayo wewe unaona ukiutumia mwili wako utakua umeushushia thamani, na mtu mwingine akaona kitu hicho hicho hakipunguzi chochote.
Swala la watu kutoa ngono ili apewe sijui majibu na nini sifagilii. . ila kumpangia mtu asiyenihusu chakufanya na mwili wake pia sifagilii vile vile kwasababu sielewi akili yake inavyofanya kazi ama kinachomsukuma kufanya hivyo. . na hapa wale dada poa wanahusu sana.
Huyo nnaempotosha ni nani?we unapotosha watu
kila society ina general principles zinazoongoza hiyo society....
huwezi kema watu wako free kufanya lolote ili mradi ni wao...
mtu asome aumize kichwa,mwingine aende kutembea na mwalimu wapewe matokeo sawa
useme eti haituhusu ni maisha yake,please.....
Kuna watu humu wanajifanya watakatifu kweli..!
Na hizi ni triki tu za kufanikisha yale waliyoyalenga.
Hahahaha. . . watajijuuu!!Wewe sikuwezi wallaah
Ndo maana watu wanataka kukumwagia tindikali
usichanganye maambo hapa
sijawazungumzia madada poa au machangudoa hapa...
kama mtu anaamua kujiuza ili ajikimu maisha yake sio hoja hapa
hoja hapa ni kujiuza ili asome au kutembea na mwoalimu ili afaulu....
Thamani ya mwili wa mtu ni relative as well as subjective. Kuna namna ambayo wewe unaona ukiutumia mwili wako utakua umeushushia thamani, na mtu mwingine akaona kitu hicho hicho hakipunguzi chochote.
Swala la watu kutoa ngono ili apewe sijui majibu na nini sifagilii. . ila kumpangia mtu asiyenihusu chakufanya na mwili wake pia sifagilii vile vile kwasababu sielewi akili yake inavyofanya kazi ama kinachomsukuma kufanya hivyo. . na hapa wale dada poa wanahusu sana.
Sioni haja ya kutupia hizi lawama familia zetu ,ofu kozi
unajua kuna vitu vingine unajifunza kwenu bila hata kujua unajifunza kitu
mfano, baba ni womanizer
hata watoto hii dhambi watairithi bila wao kujua ndani ya nafsi zao
sasa siku hizi kwa watanzania weengi kumezuka mbio za kutafuta elimu by any means neccessary..
kwa wasichana wako tayari kujiuza eti ili wapate elimu...
kutembea na walimu au wakuu wa vyuo imekuwa kawaida mradi tu wapate hiyo elimu...
sasa swali ni hili hiyo elimu ina faida kweli kama umeipata kwa njia chafu?????
nini maana ya elimu kama haiwezi kukuonesha ubaya wa unachokifanya?????????
Thamani ya mwili wa mtu ni relative as well as subjective. Kuna namna ambayo wewe unaona ukiutumia mwili wako utakua umeushushia thamani, na mtu mwingine akaona kitu hicho hicho hakipunguzi chochote.
Swala la watu kutoa ngono ili apewe sijui majibu na nini sifagilii. . ila kumpangia mtu asiyenihusu chakufanya na mwili wake pia sifagilii vile vile kwasababu sielewi akili yake inavyofanya kazi ama kinachomsukuma kufanya hivyo. . na hapa wale dada poa wanahusu sana.
tatizo nikuwa huwa hawajifunzi kitu zaidi ya kuongeza cv tu na vyeti ambavyo navyo ni feki sasa sababu vimepatikana kimagumashi!Faida ipo. . . ikiwa atajifunza kitu kweli maana hamna atakapoandikwa aliipata vipi useme waajiri wakiona CV yake watamnyima kazi.
Tatizo ni kama atajiskia amani au la, kama ataweza kuendelea huko mbele kwa juhudi binafsi au kila mara atataka urahisi.
Wewe si mmoja wa hao wajifanyao watakatifu?
Jamani SOMA UELEWE.
Umesoma alichoandika niliyemjibu?
Nishachoka na haya majadiliano ya kulazimishana chakusema. . . Cyaaa!!
Alafu kabla sijaondoka. . .anaejiuza shuleni na nje ya shuke malengo yao yanatofaitiana?Si wote wanatafuta namna ya kupambana na maisha?Si wote wanauza miili ile ile?Basi vipi upande mmoja uonekane ni bora zaidi ya mwingine?
Kama mwanafunzi mwenzio anajiuza apate majibu bila kusoma, .. . kwanini usimkasirikie na yule anaejiuza ili apate kula bila kufanya kazi kama wewe?
Faida ipo. . . ikiwa atajifunza kitu kweli maana hamna atakapoandikwa aliipata vipi useme waajiri wakiona CV yake watamnyima kazi.
Tatizo ni kama atajiskia amani au la, kama ataweza kuendelea huko mbele kwa juhudi binafsi au kila mara atataka urahisi.